TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia


Kwa Mungu binadamu tuko sawa isipokuwa binadamu ndo tunaweka matabaka huyu flani yule flani hana maana.

Finally sote tutakufa tu kwahyo hata wachelewe kutangaza hata wasitangaze kabisa ila kwa Mungu hakuna rushwa wala connection
 
Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Edward Lowassa (70) amefariki dunia leo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete, Dar es Salaam.

Taarifa ya kifo chake imetangazwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango.

Source :swahilitimes
 
Haya ni yakooo mkuu
 


1. JPM

2. Jasusi Mbobezi

3. Lowassa

2015 mmoja kati yao alikuwa na uwezekano mkubwa kuwa rais 2015-2025, ila by 2024 February wametangulia! Dah!

#UPDATE Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametangaza siku tano za maombolezo ambapo bendera zitapepea nusu mlingoti kuanzia leo Februari 10, 2024 kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa.

#EastAfricaTv #RIPLowassa
 
Not true, amefariki leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…