TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
R.I.P Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa. Poleni familia Poleni watanzania. Mzee Lowassa utakumbwa kwa mchango wako katika Taifa hili kiutumishi na kisiasa.Edward Ngoyai Lowassa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
R.I.P Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa. Poleni familia Poleni watanzania. Mzee Lowassa utakumbwa kwa mchango wako katika Taifa hili kiutumishi na kisiasa.Edward Ngoyai Lowassa
My feeling ni kwamba aliondoka siku nyingi Sana SEMA Protokali za kikubwa ndio.zilichekewesha kumtangaza!!
Nafsi yangu inaniambia yupo mwingine hatangazwi Hadi Hawa kwanza watangazwe ndio huyo atafuata coz yeye ni mkubwa zaidi kuliko Hawa wanaotangulia Sasa hivi!!
Ngoja tuone!!
Akawabadilishe atakaowakuta kuzimu.Elimu Elimu Elimu
Mabadiliko Lowassa Lowassa Mabadiliko
RIP mzee wa mabadiliko
DuhMy feeling ni kwamba aliondoka siku nyingi Sana SEMA Protokali za kikubwa ndio.zilichekewesha kumtangaza!!
Nafsi yangu inaniambia yupo mwingine hatangazwi Hadi Hawa kwanza watangazwe ndio huyo atafuata coz yeye ni mkubwa zaidi kuliko Hawa wanaotangulia Sasa hivi!!
Ngoja tuone!!
R.I.P Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa. Poleni familia Poleni watanzania.
Uzi huu unahitaji News Alert, Mheshimiwa Lowassa alikuwa mtu muhimu nchi hii. Asante.
Haya ni yakooo mkuuMy feeling ni kwamba aliondoka siku nyingi Sana SEMA Protokali za kikubwa ndio.zilichekewesha kumtangaza!!
Nafsi yangu inaniambia yupo mwingine hatangazwi Hadi Hawa kwanza watangazwe ndio huyo atafuata coz yeye ni mkubwa zaidi kuliko Hawa wanaotangulia Sasa hivi!!
Ngoja tuone!!
Ngoja tuone isije kuwa ni uongo
Sad day todayWaziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai Lowassa amefariki dunia nchini Afrika Kusini alipokuwa akipatiwa matibabu.
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametangaza hii leo.
JakayaSouz ama Jakaya?
Not true, amefariki leoMy feeling ni kwamba aliondoka siku nyingi Sana SEMA Protokali za kikubwa ndio.zilichekewesha kumtangaza!!
Nafsi yangu inaniambia yupo mwingine hatangazwi Hadi Hawa kwanza watangazwe ndio huyo atafuata coz yeye ni mkubwa zaidi kuliko Hawa wanaotangulia Sasa hivi!!
Ngoja tuone!!