TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

Kwaheri Mzee mwema

Ulisalitiwa na uliowasaidia kuingia ikulu

Ugomvi wenu ukatuepushia yule fisadi mwenzao membe

Mungu akatupeleka kwa mzalendo Magufuli

Wewe na magufuli kazi yenu bado haijakwisha yupo mzalendo ataimalizia
Hakika safari ile ya matumaini hautaishia njiani
 
Poleni UKAWA poleni Monduli
 

Mr. Tabasamu anajisikiaje kwa matendo mabaya aliyomtendea rafiki yake huyu,hadi kupeleka kupata stroke na mwishowe mauti!?
 
Alimaliza kero ya maji kwenye mji wa Kahama na mji wa Chalinze.
Chalinze ingawa imezungukwa na maji ya mto Ruvu, mto Ngerengere na mto Wami lakini miaka na miaka ulikuwa mji mkavu kabisa.
Edward Lowassa akishirikiana na mbunge wa wakati huo mh Kikwete waliibadirisha kabisa Chalinze.
Apumzike kwa amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…