Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie madogo wa 2005 hamsomi hata historia?Lowasa yupi, wa wapi?
Hakika safari ile ya matumaini hautaishia njianiKwaheri Mzee mwema
Ulisalitiwa na uliowasaidia kuingia ikulu
Ugomvi wenu ukatuepushia yule fisadi mwenzao membe
Mungu akatupeleka kwa mzalendo Magufuli
Wewe na magufuli kazi yenu bado haijakwisha yupo mzalendo ataimalizia
Sijui alituroga na uchawi gani watz mpaka wakamwamini
Hakuna cha kusalitiwa kwani lazima kila mtu awe raisi?Kwaheri Mzee mwema
Ulisalitiwa na uliowasaidia kuingia ikulu
Ugomvi wenu ukatuepushia yule fisadi mwenzao membe
Mungu akatupeleka kwa mzalendo Magufuli
Wewe na magufuli kazi yenu bado haijakwisha yupo mzalendo ataimalizia
Poleni UKAWA poleni MonduliTaarifa zaidi itatolewa na familia na Serikali. Poleni wote
====
EDWARD NGOYAI LOWASSA AFARIKI DUNIA
Aliyewahi kugombea nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Edward Ngoyai Lowassa amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu. Mtoto wake Fredrick Lowassa amethibitisha
Pia, Lowassa aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kwa kipindi cha mwaka 2005 hadi 2008 na kuweka rekodi ya kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kujiuzulu.
Taarifa zaidi itatolewa na familia na Serikali. Poleni wote
====
EDWARD NGOYAI LOWASSA AFARIKI DUNIA
Aliyewahi kugombea nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Edward Ngoyai Lowassa amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu. Mtoto wake Fredrick Lowassa amethibitisha
Pia, Lowassa aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kwa kipindi cha mwaka 2005 hadi 2008 na kuweka rekodi ya kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kujiuzulu.r. taba
Mr. Tabasamu anajisikiaje kwa matendo mabaya aliyomtendea rafiki yake huyu,hadi kupeleka kupata stroke na mwishowe mauti!?Taarifa zaidi itatolewa na familia na Serikali. Poleni wote
====
EDWARD NGOYAI LOWASSA AFARIKI DUNIA
Aliyewahi kugombea nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Edward Ngoyai Lowassa amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu. Mtoto wake Fredrick Lowassa amethibitisha
Pia, Lowassa aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kwa kipindi cha mwaka 2005 hadi 2008 na kuweka rekodi ya kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kujiuzulu.
Alimaliza kero ya maji kwenye mji wa Kahama na mji wa Chalinze.Mh. Lowassa, Atakumbukwa kwa mradi wa kupeleka maji ya Ziwa Victoria sehemu mbalimbali za Tanzania. Nakumbuka kabla ya kupeleka huo mradi, baadhi ya sehemu hapa nchini, ndoo ya maji ya lita 20, ilikuwa inauzwa 500/=. Lakini baada ya mradi, ndoo ya maji ikashuka hadi 20/=!
Huo ndo unafuu wa maisha tunaoutaka.
Lakini mapuuzi mengine, yenyewe yapo yapo tu, kazi kuongeza ugumu wa maisha kwa wananchi hasa wa hali ya chini kwa kuongeza kodi za ajabu ajabu zisizo na tija.
Nani dogo mzee, punguza ujuaji.Nyie madogo wa 2005 hamsomi hata historia?