TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

Mwaka 2015 haukuwa rafiki kwa wagombea nafasi ya urais , hakuna yoyote angemaliza term yake ya 10 years ikiwa wangeshinda
1. JPM
2. BERNARD MEMBE
3.MAALIM SEIF
4.EDWARD LOWASSA
5.Ana Mgwila
6. nani anafuata?
 
Mwaka 2015 haukuwa rafiki kwa wagombe nafasi ya urais , hakuna yoyote angemaliza term yake ya 10 years ikiwa wangeshinda
1. JPM
2. BERNARD MEMBE
3.MAALIM SEIF
4.EDWARD LOWASSA
5. nani anafuata?
Huwezi Kujua Labda Kutia Nia Ama Kukikalia Kiti Tu Mengine Yakajibu
Tunangoja Utabiri Wa Gwiji Almaruhm Sheikh Yahaya Alisema Lazima CCM Itapisha Tu
 
Back
Top Bottom