Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Alisababisha tukaitupa DHAHABU yetu kwa ajili yake, lakini akaitusaliti katikati ya vita!Huu uzi utaibua mambo mengi sana.
Any way, R.I.P!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alisababisha tukaitupa DHAHABU yetu kwa ajili yake, lakini akaitusaliti katikati ya vita!Huu uzi utaibua mambo mengi sana.
NakaziaMaisha ya kifala sana, hata uruke ruke vipi kufa kuko pale pale!
"Roho ya umauti inaiandama namba mbili kati ya zile awamu SITA"nabii rollinga.alitabiri hivyo!Wapo wangapi?
Wagombea wote waliokuwa na nguvu wakati huo wametangulia.Kumbe 2015 angepita Leo hii tungekuwa nusu mlingoti
Alikatwa ili kumpunguzia membe ushindani but wote wakakosa maana wote walitumia pesaAlikatwa na sababu zilikuwepo na hasa matumizi makubwa ya pesa.
Naomba tuachane na hili tujikite kwenye huu msiba maana kila binadamu ana mapungufu yake
Bora tuendelee kuwa Wakulima tu, hizo Siasa zao tuwaachie wenye ngozi ngumu na walioaga kwaoMwaka huu Tunarudi kati tena blv me.
Halafu kuna kitu nyingine ipo nje ya Boksi, nayo itatiki.✅️, acha na hii iliyotengwa asaivi inasubiri refa tuu.
Ha ha haaaHujaelewa nini hapo. Mimi siyo mwandishi wa habari kwendaa.
Hata CCM alikubarika sana kuliko hata upinzaniWatu Wameichoka Sana CCM Ndiyo Maana Alipopiga U Turn Akaonekana Kutosha
Huwezi Kujua Labda Kutia Nia Ama Kukikalia Kiti Tu Mengine YakajibuMwaka 2015 haukuwa rafiki kwa wagombe nafasi ya urais , hakuna yoyote angemaliza term yake ya 10 years ikiwa wangeshinda
1. JPM
2. BERNARD MEMBE
3.MAALIM SEIF
4.EDWARD LOWASSA
5. nani anafuata?
Fala yuleNamsubiri makamba senior msibani akipayuka wazuri hawafi
Samia Suluhu Hassan.Mwaka 2015 haukuwa rafiki kwa wagombe nafasi ya urais , hakuna yoyote angemaliza term yake ya 10 years ikiwa wangeshinda
1. JPM
2. BERNARD MEMBE
3.MAALIM SEIF
4.EDWARD LOWASSA
5. nani anafuata?
🙏🙏🙏AminInna Lillahi wa inna ilayhi raji'un
He would bring a one-term president according to makubaliano ya UKAWA. Kwa afya yake miaka 10 ni unrealisticna Leo pengine ingekuwa tunatangaziwa kifo Cha Rais anaetarajia kumaliza awamu yake ya pili ya urais.
Una haraka sana
Kumbe kuna wakati pesa hazina msaada wowote kwa Mwanadamu......
Hivi kweli Lowassa ni wa kufia Muhimbili????
Nakumbuka aliwahi kusema "sitakufa kabla sijawa Rais wa Tanzania" mwisho wa kunukuu!