Edwin Mtei aliposikitishwa na Tundu Lissu kumtusi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere

Tundu Lissu na rekodi yake ya kisiasa, ati sasa naye anautaka Urais.
...............

APR
17

EDWIN MTEI ASIKITISHWA NA ALAANI KITENDO CHA TUNDU LISSU KUMTUKANA BABA WA TAIFA, MWL. NYERERE

Nilimsikiliza Mheshimiwa Tundu Lissu na nasikitika kwamba sikubaliani naye jinsi alivyoeleza shutma juu na dhidi ya Mwalimu Julius Nyerere, Baba na Muasisi wa Taifa letu.

Inajulikana na umma wa Watanzania, kwamba mimi binafsi, kama Waziri wa Fedha, nilitofautiana na Mwalimu, nikajiuzulu Uwaziri Decemba,1979, nikimwomba ateuwe Mtanzania mwingine atakayeshauri mambo ya Uchumi na Fedha. Lakini tuliendelea kuwasiliana kwa maelewano bila chuki, na hata aliniteuwa niwe Mwakilishi wa Tanzania na Afrika inayoongea Kiingereza katika IMF (Shirika la Fedha Duniani) chini ya miaka mitatu baadaye Novemba, 1972.

Nimekuwa na mawasiliano na maelewano mazuri sana na Mwalimu hata baada ya kuasisi CHADEMA, Julai 1992 na tulipokamilisha Katiba na Sera za Chadema, nilimtembelea Nyumbani kwake Butiama nikampa azisome ajionee jinsi tulivyonuia kuwahudumia Wananchi wetu. Hata siku moja siwezi kumtusi Muasisi wa Taifa letu. Iwe ni mwiko pia kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kumtusi Baba wa Taifa.

Ningewashauri uongozi wa Chadema na hasa Vijana wa M4C (Vuguvugu la Mabadiliko) tuendelee na uhamasishaji : kwa umakini, tukiwa na huruma kwa wanyonge maskini wa kutupwa, tukijiandaa kwa umakini na kiutaalamu Sera na Mikakati ya kuwakomboa toka katika umaskini wa kutupwa kwa kutumia nguvu ya umma (Peoples Power) tukitumia mikakati sahihi: kwani Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke:

Mikakati na Sera sahihi ikiwa ni kutumia misingi ya Uchumi na Miundombinu tulionayo licha ya uhalisia dhoofu tulioridhi; tukiwaenzi walioijenga na kuturidhisha kwa unyofu wao.

Roho ya Julius Nyerere ilale mahala pema Peponi. Amen!

With all due respect to Hon. Tindu Lissu, this smacks BAD TASTE.

Edwin Mtei,

Founder Chairman of CHADEMA.

Laana ya Allah iwe juu ya kiumbe huyu Nyerere
ALIYETUVAMIA na kutuulia ndugu na wazee wetu kwa maalfu na mpaka leo tuko katika makucha ya uvamizi na mauwaji
 
Kichwa na habari haviendani. In btn mzee Mtei mwenyewe anaelezea hapo kwamba Nyerere alichemsha na yeye hakukubaliana nae.

Kumtusi mtu ni kutumia F word nk lakini kusema kwamba sera zake zilikuwa mbovu hamna tusi hapo. Nyerere hakuwa mtume.
 
Tusiishi katika ukomo wa kifikira kuendana na historia ya nchi yetu. Ndiyo! Mwl. Nyerere ni Muasisi na Baba wa Taifa letu, na alikuwa kiongozi mashuhuri kwa wakati wake, ambaye alilitetea sana utu wa watu nchini, barani Afrika na ulimwenguni kwa ujumla.

Lakini hiyo siyo sababu ya kumfanya akose wakosoaji wa misimamo yake. Kama binadamu awaye yeyote yule, alikuwa na madhaifu yake. Na jambo hili linathibitika kupitia kauli yake mwenyewe kabla mauti hayamkuta. Alikuwa "remorseful" kwa baadhi ya maamuzi yake kama kiongozi, hasa kwa yale yaliyoleta matokeo hasi.

Kwa hiyo Tundu Lissu naye ni kiongozi mwenye sifa zake ktk taifa lake. Na pia mwenye maono yake ya kulipeleka taifa letu ktk "next frontier" kupitia mapungufu ya kihistoria ambayo anaamini kwa dhati yalitokana na Baba wa Taifa. Tuzipime "constructive criticisms" zake. Wala tusizibeze kwa kauli za jumla jumla tu.

Tuje na hoja mujarabu hapa jukwaani na kuainisha wapi amekosea. Sio hoja za juu za kutumiwa na mabeberu. Kama hizo "claims" ni za kweli, wakosoaji wa TL waainishe ni lini, wapi na kwa vipi anahusika.
Mbeba maono aliyesema Tanzania ipigwe lockdown halafu leo anadunda bila barakoa kwa msaada wa akili za wenzake!? Wewe unaleta ushabiki, mwambie akamfufue hayati amuulize ni nini yeye hakukielewa majibu atayapata kuliko kumdharirisha mtu aliyetangulia mbele za haki. Kama hujui sasa hivi anaitwa Nyerere mwenye Kheri hatua za mwisho kuuitwa mtakatifu.

MAGUFULI4LIFE.
 
Laana ya Allah iwe juu ya kiumbe huyu Nyerere
ALIYETUVAMIA na kutuulia ndugu na wazee wetu kwa maalfu na mpaka leo tuko katika makucha ya uvamizi na mauwaji
We mpemba yakhe??hebu tulia kikuingie😅😅😅😅
 
Kwani wewe kimeshapenya?
Vipi naona mara hii mumekodi wanajeshi wa Burundi kuja kutuuwa ,hamjiamini au vipi??
 
Laana ya Allah iwe juu ya kiumbe huyu Nyerere
ALIYETUVAMIA na kutuulia ndugu na wazee wetu kwa maalfu na mpaka leo tuko katika makucha ya uvamizi na mauwaji
Acha ujinga huo wa kitoto.
Kwani si Nyerere huyo huyo aliwasaidia baba zenu walipokuwa wakichinjana mwaka 1964?

Babaako angechinjwa ungekuwepo kusema hayo?
 
Kichwa na habari haviendani. In btn mzee Mtei mwenyewe anaelezea hapo kwamba Nyerere alichemsha na yeye hakukubaliana nae.

Kumtusi mtu ni kutumia F word nk lakini kusema kwamba sera zake zilikuwa mbovu hamna tusi hapo. Nyerere hakuwa mtume.
Tundu Lissu alimtusi mwasisi wa Taifa.
Soma posti kwa makini humu.
Vyombo vilivyoasisiwa na Mwalimu viliahidi hafiki popote.
 
Tundu Lissu na rekodi yake ya kisiasa, ati sasa naye anautaka Urais.
...............

APR
17

EDWIN MTEI ASIKITISHWA NA ALAANI KITENDO CHA TUNDU LISSU KUMTUKANA BABA WA TAIFA, MWL. NYERERE

Nilimsikiliza Mheshimiwa Tundu Lissu na nasikitika kwamba sikubaliani naye jinsi alivyoeleza shutma juu na dhidi ya Mwalimu Julius Nyerere, Baba na Muasisi wa Taifa letu.

Inajulikana na umma wa Watanzania, kwamba mimi binafsi, kama Waziri wa Fedha, nilitofautiana na Mwalimu, nikajiuzulu Uwaziri Decemba,1979, nikimwomba ateuwe Mtanzania mwingine atakayeshauri mambo ya Uchumi na Fedha. Lakini tuliendelea kuwasiliana kwa maelewano bila chuki, na hata aliniteuwa niwe Mwakilishi wa Tanzania na Afrika inayoongea Kiingereza katika IMF (Shirika la Fedha Duniani) chini ya miaka mitatu baadaye Novemba, 1972.

Nimekuwa na mawasiliano na maelewano mazuri sana na Mwalimu hata baada ya kuasisi CHADEMA, Julai 1992 na tulipokamilisha Katiba na Sera za Chadema, nilimtembelea Nyumbani kwake Butiama nikampa azisome ajionee jinsi tulivyonuia kuwahudumia Wananchi wetu. Hata siku moja siwezi kumtusi Muasisi wa Taifa letu. Iwe ni mwiko pia kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kumtusi Baba wa Taifa.

Ningewashauri uongozi wa Chadema na hasa Vijana wa M4C (Vuguvugu la Mabadiliko) tuendelee na uhamasishaji : kwa umakini, tukiwa na huruma kwa wanyonge maskini wa kutupwa, tukijiandaa kwa umakini na kiutaalamu Sera na Mikakati ya kuwakomboa toka katika umaskini wa kutupwa kwa kutumia nguvu ya umma (Peoples Power) tukitumia mikakati sahihi: kwani Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke:

Mikakati na Sera sahihi ikiwa ni kutumia misingi ya Uchumi na Miundombinu tulionayo licha ya uhalisia dhoofu tulioridhi; tukiwaenzi walioijenga na kuturidhisha kwa unyofu wao.

Roho ya Julius Nyerere ilale mahala pema Peponi. Amen!

With all due respect to Hon. Tindu Lissu, this smacks BAD TASTE.

Edwin Mtei,
Mtei aendeleea na kiliko chake huko ARUSHA...sana tunataka kujenga chama upya....
 
Acha ujinga huo wa kitoto.
Kwani si Nyerere huyo huyo aliwasaidia baba zenu walipokuwa wakichinjana mwaka 1964?

Babaako angechinjwa ungekuwepo kusema hayo?

Kawasaidia vibaraka kwani Ali hassan mwinyi kaiba mashamba ya watu Kitope, kule Morogoro kakwapua mashba ya watu ekari 60 000 .Seif Ali Iddi Kaikwangura hazina na kujijengea majumba 37

Labda wewe umerithishwa sehemu ya mgodi wa Mkapa aliojiuzia

Hiyo ndio kazi ya huyo uliyempa mama yako ukamfanya baba
 
Usiruke ruke kama mmanga wa pwani.
Hujaeleza jinsi mlivyosaidiwa na Mwalimu mwaka 1964, ili msichinjwe kama kuku nyote!
Leo mnamwona Mwalimu ati ana laana!
 
Hawa ni vijana waliozaliwa 2000 wamelelewa na single mother hawana maadili kabisa

mkuu,je single mothers hawana maadili ? ,kwanini umeamua kuwatusi watoto wa single mothers kiasi hiko ? na kutokana na uelewa wangu wa Maisha watoto wa single Mothers ndio wanaongoza kupata nyadhifa kubwa na mafanikio ya kimaisha kwanini useme hawana maadili wakati maadili huendana na mafanikio ya kimaisha ?
mifano ya watoto wa single mothers
kanumba,saddam Hussein,Obama,Gaddafi nk
 
Usiruke ruke kama mmanga wa pwani.
Hujaeleza jinsi mlivyosaidiwa na Mwalimu mwaka 1964, ili msichinjwe kama kuku nyote!
Leo mnamwona Mwalimu ati ana laana!
Huyo babayo si ndiye nduli wa matatizo kila mahali na udini wake. ? Uganda kaleta fujo, Nigeria fujo kila mahali , mzimu wake unaitesa Tanganyika na Zanzibar mpaka leo. ALLAH ampe analostahiki kenge yule
 
Hata sasa yupa anapostahili.
Unapostahili wewe wapi?
Tusipowakalia ninyi huwaga hamna akili zenu wenyewe.
 
Ndivyo alivyowafundisha huyo babayo laanatullahi Nyerere ???

unajua yupo wapi ? alifikiri hatokufa kama alivyowauwa wenzake , yeye na yule muuwaji Laanatullahi Jizi Mkapa.

Bado hili linalouwa sasa , ngoja vijana wamshughulikie siku zake zinahesabika
 
nilishasema ila huwa wananichukia na kudharau posts zangu.
Lissu hakuwa mgombea sahihi na aliyekubaliwa na Chadema

Mgombea sahihi ni wewe au vipi , Tuwe na Rais JINGALAO 😂 😂 😂 😛😛😛😛
 
Back
Top Bottom