Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Logical non sequitur."Hakiwezi kuwa kitabu Cha Mungu" unataka kutuambia kuwa Mungu yupo Ila Biblia si kitabu chake kwa sababu kina mkanganyiko?
Wapi nimesema Mungu yupo?
Nikisema wewe huwezi kuwa mtoto wa James Bond 007, mojawapo ya sababu inayokufanya wewe usiweze kuwa mtoto wa James Bond 007 ni kuwa huyo James Bond hayupo katika dunia ya uhalisia nje ya hadithi na sinema.
Sasa nikisema Biblia hakiwezi kuwa kitabu cha Mungu mbona unaleta nyege za kusema nimesema Mungu yupo bila hata kuniuliza?
Kwa nini unaniwekea maneno ambayo sijaandika?
Huu ni ujinga wa kawaida tu au ni ushenzi wa kupindua maneno ya watu kwa makusudi?