Ee Mungu iweke roho yake mahali pema peponi

calm down brother
 

Haya maquote yote ni matter ya perception unayoipata out of either of two realms. ya kwanza ni ya kutafuta kuisikia sauti ya Mungu katika mafungu haya na ya pili ni ya kutafuta ambamo Mungu amejichanganya upate cha kusema. wenye hekima huchagua kuisikia sauti ya Mungu kwenye mafungu haya. Maneno ya Biblia ni inspired by God. kuyaelewa lazima utawaliwe na roho ya kutaka kuisikia sauti ya Mungu na sio kuwa na some reckless mind kuwa unazungumzia binadamu mwenzako mwenye limited mind kama ya kwako. twende pamoja kwenye mafungu machache yafuatayo

The Sabbath Day​

“Remember the Sabbath day, to keep it holy.” — Exodus 20:8

“One man esteemeth one day above another: another esteemeth every day alike. Let every man be fully persuaded in his own mind.” — Romans 14:5

where is the contradiction here? in Kutoka 20:8 God says what day to keep, the other verse says let every man use proper judgement to heed the voice of God where is the contradiction

The Permanence of Earth​

“… the earth abideth for ever.” — Ecclesiastes 1:4

“… the elements shall melt with fervent heat, the earth also and the works that are therein shall be burned up.” — 2Peter 3:10

2Peter 3:10 katika jumla ya maneno yote perceive the key word "works". hizi ni kazi zilizofanywa na binadamu katika uso wa dunia. hizo ndizo zitakazoangamizwa moto. dunia kama tufe litaachwa ili kutengeneza dunia mpya watakamokaa warithi wa ufalme wake. where is the contradiction hapo?

Seeing God​

“… I have seen God face to face, and my life is preserved.” — Genesis 32:30

“No man hath seen God at any time…”– John 1:18

Mungu kama individual hajaonwa na yeyote. kwenye mwanzo 32 yakobo alishindana na malaika wa Mungu aliyetumwa na Mungu (soma fungu la 24). angemwona Mungu angekufa. where is the contradiction here?

Human Sacrifice​

“… Thou shalt not let any of thy seed pass through the fire to Molech, neither shalt thou profane the name of thy God…” — Leviticus 18:21

[In Judges, though, the tale of Jephthah, who led the Israelites against the Ammonoites, is being told. Being fearful of defeat, this good religious man sought to guarantee victory by getting god firmly on his side. So he prayed to god] “… If thou shalt without fail deliver the children of Ammon into mine hands, Then it shall be, that whatsoever cometh forth of the doors of my house to meet me, when I return in peace from the children of Ammon, shall surely be the LORD’s, and I will offer it up for a burnt offering” — Judges 11:30-31

[The terms were acceptable to god — remember, he is supposed to be omniscient and know the future — so he gave victory to Jephthah, and the first whatsoever that greeted him upon his glorious return was his daughter, as god surely knew would happen, if god is god. True to his vow, the general made a human sacrifice of his only child to god!] — Judges 11:29-34

you should know kuwa hawa watakatifu wa Mungu throughout the bible ni binadamu ambao Mungu aliwatumia kufikisha jumbe zake kwa vizazi ambavyo vingefuata (soma warumi 15:4). lakini kwa ubinadamu wao walianguka mahali pamoja ama pengine. the only person that did not sin wa Jesus, the Son of God. kwa hiyo huyo Jefta aliamua mwenyewe kutoa hiyo zawadi au sadaka (maana sio kafara kwa sababu kafara hutolewa kabla ya unachokitaka kutoka kwa Mungu) lakini ilikuwa sadaka haramu
Where is the contradiction here?


The Power of God​

“… with God all things are possible.” — Matthew 19:26

“…The LORD was with Judah; and he drave out the inhabitants of the mountain; but could not drive out the inhabitants of the valley, because they had chariots of iron.” — Judges 1:19

Kuna tofauti kubwa kati ya Mungu kuwa na uwezo wa kufanya jambo na kwake kuamua kufanya au kutofanya jambo. in the case of Yuda, he allowed Judah to prevail here but not there. the reasons for these are best known to God. where is the contradiction here?

Personal Injury​

“…thou shalt give life for life, Eye for eye, tooth for tooth, hand for hand, foot for foot. burning for burning, wound for wound, stripe for stripe. ” — Exodus 21:23-25

“…ye resist not evil: but whosoever shall smite thee on the right cheek, turn to him the other also.” — Matthew 5:39

israel wa kimwili wa wakati huo na israel wa sasa wa kiroho (wa agano la jema zaidi, note neno 'zaidi' )wamekuwa katika constant school of education kujifunza mpango wa Mungu. kwanza aliwaambia kuwa jicho lilipiwe kwa jicho kuwaeleza ubaya wa dhambi na makosa na ambavyo yanaweza kuwa blotted out. lakini katika agano jema zaidi anawafundisha watu wake rehema yaani kusamehe hata ulipo na haki ya kupatiliza/kuadhibu. where is the contradiction here?

Circumcision​

“This is my covenant, which ye shall keep, between me and you and thy seed after thee; Every man child among you shall be circumcised.” — Genesis 17:10

“…if ye be circumcised, Christ shall profit you nothing.” — Galatians 5:2
again physical israeli were trained to circumcise their little ones ili wawe wa israeli kweli kweli kama taifa. lakini kwenye agano jema zaidi anawaalika kuwa wawe kuwa circumcised kimwili lakini sio cheti cha kuingia kwenye ufalme wake ujao kama usipotahiriwa kiroho. wapi contradiction hapo?

Incest​

“Cursed be he that lieth with his sister, the daughter of his father, or the daughter of this mother…” — Deuteronomy 27:22

“And if a man shall take his sister, his father’s daughter, or his mother’s daughter…it is a wicked thing….” — Leviticus 20:17

[But what was god’s reaction to Abraham, who married his sister — his father’s daughter?] See Genesis 20:11-12

“And God said unto Abraham, As for Sara thy wife…I bless her, and give thee a son also of her…” — Genesis 17:15-16

Mungu alifanya alilotaka kulifanya kwa makusudi yake na sio kuwa alikubaliana sana na kilichotokea. angeweza kufanya perfectly kama unavyotaka lakini akaamua kufanya alivyofanya kwa kuwa hawajibiki kwa yeyote zaidi ya kuwajibika kwake mwenyewe. lakini alipofanya alichokifanya alikuwa anataka watu watoke katika kuwa na miungu mingine na kuwa naye kama Mungu pekee. anasema hivi katika Matendo 17:30 And the times of this ignorance God winked at; but now commandeth all men every where to repent: where is the contradction here?

Trusting God​

“A good man obtaineth favour of the LORD…” — Proverbs 12:2

Now consider the case of Job. After commissioning Satan to ruin Job financially and to slaughter his shepherds and children to win a petty bet with Satan. God asked Satan: “Hast thou considered my servant Job, that there is none like him in the earth, a perfect and an upright man, one that feareth God, and escheweth evil? and still he holdeth fast his integrity, although thou movedst me against him, to destroy him without cause.” — Job 2:3

perception yako ni petty bet lakini ilikuwa big deal kwa Mungu na wote walioutazama mpambano ule ambao mtumishi wake Ayubu aliupitia. Halafu nini kinakufanya ufikiri kuwa Ayubu hakupata favour of the Lord in the end? kazi neno in the end hapo. Hakuna contradiction hapo ni twisted imagination yako na hao wanaojifanya kama wewe kuwa Mungu hayupo kwa maneno lakini at the back of their mind wanajua yupo na alivyo. look mnajifunza vitu vya kijingajinga hivi ambavyo mwisho wake mtakuja kuuona. shukuru sana unayaona maandishi haya. basi yakakusaidia badala ya kukufanya ujifanye nunda wa Mungu hayupo.

Temptation​

“Let no man say when he is tempted, I am tempted of God: for God cannot be tempted with evil, neither tempteth he any man.” — James 1:13

“And it came to pass after these things, that God did tempt Abraham…” — Genesis 22:1

The tempt you see in Genesis 22:1 is not a tempting as you know the word. the tempt in Genesis testing and tempting like in James 1:13. where is the contradiction hapo?

Family Relationships​

“Honor thy father and thy mother…”– Exodus 20:12

“If any man come to me, and hate not his father, and mother, and wife, and children, and brethren, and sisters, yea, and his own life also, he cannot be my disciple. ” — Luke 14:26

yaani wewe kumbe sio jiniasi kiviiilee. hata hili!!
the simple idea in Luke 14:26 ni kuwa nothing should stand between you and you salvation of the Lord. nothing should stop you from being saved hata kama ni baba yako, mama yako, mtoto wako au yeyote yule. fungu la Exodus linasema waheshimu wazazi lakini inspiration inasema mzazi hawezi kukukosesha ufalme wa Mungu kama anakuzui makusudi. soma Matendo 5:29. wapi contradiction hapo?


Resurrection of the Dead​

“…he that goeth down to the grave shall come up no more. ” — Job 7:9

“…the hour is coming, in which all that are in the graves shall hear his voice, and shall come forth….” — John 5:28-29

Ayubu anasema anayekwenda kaburi hainuki tena. you should note that hawezi kuinuka on his own accord. it is God that will raise them. wapi contradiction hapo?

The End of the World​

“Verily I say unto you, There be some standing here, which shall not taste of death, till they see the Son of man coming in his kingdom. ” — Matthew 16:28

“Verily I say unto you, This generation shall not pass away, till all be fulfilled. Heaven and earth shall pass away: but my words shall not pass away. ” — Luke 21:32-33

“And that, knowing the time, that now it is high time to awake out of sleep: for now is our salvation nearer than when we believed. The night is far spent, the day is at hand: let us therefore cast off the works of darkness, and let us put on the armour of light.” — Romans 13:11-12

“Be ye also patient; establish your hearts: for the coming of the Lord draweth nigh.” — James 5:8

“Little children, it is the last time: and as ye have heard that antichrist shall come, even now are there many antichrists; whereby we know that it is the last time.” — 1 John 2:18

“But the end of all things is at hand: be ye therefore sober, and watch unto prayer.” — 1 Peter 4:7

These words were written between 1800 and 1900 years ago and were meant to warn and prepare the first Christians for the immediate end of the world. Some words are those supposedly straight out of the mouth of the “Son of God.” The world did not end 1800 or 1900 years ago. All that generation passed away without any of the things foretold coming to pass. No amount of prayer brought it about; nor ever so much patience and belief and sober living. The world went on, as usual, indifferent to the spoutings of yet another batch of doomsday prophets with visions of messiahs dancing in their deluded brains. The world, by surviving, makes the above passages contradictions.

Siamini wewe ndie mwenye huo ufahamu kihivyo. sasa nani amesema wakati umekwisha. mbona miaka 1900 hata haijafika siku tatu za Mungu (kwa maana siku 1000 kwa Mungu ni kama siku 1 tu). mbona mnafukia vichwa vyenu kwenye matope ya kutokuwa na hekima hivi. Yeye amesema atakuja na ndivyo itakavyokuwa. dalili za kuja kwake bado zinatimia ingawa hazijatimia zote. zikitimia atakuja tu. hakuna contradiction yoyote hapo

Nimekuletea ufafanuzi wa ulichodhani ni contradiction. sasa usiendelee kuwasumbua watu na habari zako kuwa Mungu hayupo. wewe unajua kuwa Mungu yupo (umetuambia na sisi wenye akili tumekung'amua). ni vile tu ulifikiri kuwa kitabu chake eti kina contradiction. Haya ingia shuleni

Hizo post zingine ni uwingi tu umeokota huko internet na ni mwingi. kwa mind ya kujifunza kaupitie kwa jicho la kusikia sauti ya Mungu badala ya kuipinga. Itakusaidia sana
 
Hakuna mtu mwema kiasi hicho. Labda malaika pekee
 

The Sabbath Day​

“Remember the Sabbath day, to keep it holy.” — Exodus 20:8

“One man esteemeth one day above another: another esteemeth every day alike. Let every man be fully persuaded in his own mind.” — Romans 14:5

Contradiction!

Mstari mmoja unasema Mungu kaiweka Sabato, ifanyeni takatifu. Mstari mwingine unasema kila mtu akifanyie anavyoona sawa kwa kufuata anachokikubali yeye mweyewe, hata Mungu hatajwi.
 
Wewe unaona contradiction, Mimi naona that's an open choice to do something on a day. I choose to honor God and remember the Sabbath to keep it holy. Hakuna contradiction hapo, wise up Kiranga
 
Wewe kwanza jifunze kuandika sentensi nyoofu, zenye mtiririko.

Hapo ulichoandika hakifuati mantiki ya mjadala wala uandishi unaoeleweka.

Nimekuambia ugonjwa hauna dawa, sasa atapona vipi?
!
 
Wewe unaona contradiction, Mimi naona that's an open choice to do something on a day. I choose to honor God and remember the Sabbath to keep it holy. Hakuna contradiction hapo, wise up Kiranga
Unalazimisha hoja, that is a clear contradiction hata nje ya Sabato.

Mstari mmoja unasisitiza kufuata alichopanga Mungu kiwe kitakatifu, mstari mwingine unasisitiza atakachoamua mtu mwenyewe.

Ni wazi hapo kitabu kimeadikwa na watu tu na huyo Mungu angekuwepo, kitabu chake kisingejaa contradictions za kitoto hivi.
 
Hiyo ni conclusion yako, rightfully with your limited and skewed mind huwezi kuona past prejudice. Na maandiko matakatifu hayasomwi in isolation. Lazima usome kila kinachohusika in context ili upate kuisikia sauti ya Mungu. Ndio anasema ikumbuke Sabato uitakase lakini hapo pengine anasema chagua kinachokuoendeza lakini ujue Kuna consequences kuchagua kijinga.j Soma kumbukumbu la torati 30:18 uone Mungu anavyosema kuhusu chaguzi za binadamu. It is also true of those two verses. Hakuna contradictions hapo labda uendeleze ubishi tu usio na maana
 
Kiranga, hizo points umezisoma?
 
Biblia imejichanganya, hapa inawaambia watu wamsikilize Mungu, hapa imewaambia wajiamulie wenyewe wanavyofikiri!
 
Please, read the article "Does the Bible contradict itself?"
Which article? From which publication? Who is the author? When was it published? Where is the hyperlink? How do i tell that whatever article I will read is the one you have in mind?

You are shortchanging the discussion here.
 
Which article? From which publication? Who is the author? When was it published? Where is the hyperlink? How do i tell that whatever article I will read is the one you have in mind?

You are shortchanging the discussion here.
Your questions answered. Here is the hyperlink:

 
Kwanza kabisa, article inakubali kwamba Biblia ina contradictions.

Kitu ambacho nimekisema mara nyingi sana hapa na wafia dini wengi wanakataa.

Unakubali kwamba Biblia ina contradictions tukubaliane katika hilo ili tuendelee kujadili mengine?
 
Unakubali kwamba Biblia ina contradictions tukubaliane katika hilo ili tuendelee kujadili mengine?
Nisingekuwekea hiyo hyperlink. Tuendelee kujadili hoja nyingine. Hiyo hoja ya kusema Mungu hayupo kwa sababu Biblia ina contradictions imeishajibiwa kwa undani kwenye hiyo article. Leta hoja mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…