Rip Magufuli
Rip Pope Benedict XVI
Rip Pele
Hapa lazima uhai wa leseni umetishiwaSAKATA la Gerald Hando kuchukuliwa hatua na uongozi wa E-FM kwa kusema hafurahishwi na Serikali inavyokopa kopa unatupa mashaka makubwa sisi wasikilizaji na wadau wa E-FM na kuanza kujiuliza upya kama kweli Majizo ndiye mmiliki halali wa E-FM
View attachment 2464670
View attachment 2464673
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, mfanyabiashara lazima ajikombe kwa Serikali, Hando angefanya vile kwenye private page yake na sio kwenye Ile platformKiukweli nimeshangaa sana ni nini kimemtuma Majizzo kuomba msamaha kwenye public? Kuna jambo lolote baya kutoka kwa hando? Maana yeye alisema binafsi hafurahishwi na serikali kukopokopa kama raia wa nchi ana haki ya kuishauri serikali na kutoa dukuduku lake kama katiba inavosema.
Kwani hando kuna sehemu kadanganya? Si kweli tunakopa? Kama hakuna ubaya kukopa kwanini Majizzo anaomba msamaha? Kama taifa tuna safari ndefu sana.
View attachment 2464611
Amekiuka maadili ya taaluma, ashughulikiwe vilivyo, suala la umiliki halihusiani.
Ni wakati muafaka kuondoa watu wa hovyo katika tasnia
Kunywa maji mwanangu, he expected the backlashMaadili yapi aliyokiuka?
UjingaMajizo amfukuze kazi Hando, EFM ni kituo kizuri sana Cha Radio, tatizo Hando anaingia akiwa amelewa chakari halafu anaruhusiwa kuingia hewani, aweke vipimo vya kilevi mlangoni.
Na akianza kuweka kipimo hicho, akipita Hando, kitapiga alarm ambayo itafika mpaka Morogoro, na kipimo kinaweza kupiga shoti hapohapo na kuharibika
Unaelewa maana ya Siasa?hukumbuki kilichomkuta ndugai?Kiukweli nimeshangaa sana ni nini kimemtuma Majizzo kuomba msamaha kwenye public? Kuna jambo lolote baya kutoka kwa hando? Maana yeye alisema binafsi hafurahishwi na serikali kukopokopa kama raia wa nchi ana haki ya kuishauri serikali na kutoa dukuduku lake kama katiba inavosema.
Kwani hando kuna sehemu kadanganya? Si kweli tunakopa? Kama hakuna ubaya kukopa kwanini Majizzo anaomba msamaha? Kama taifa tuna safari ndefu sana.
View attachment 2464611
Hando ni NDULi kama Idd Amin, na amekuja kisiasa, atashughulikiwa kisiasa, yaani ataanza kutumia redio yake ya nyumbani kutangaza.Unaelewa maana ya Siasa?hukumbuki kilichomkuta ndugai?
Kauli ya hando ni ukweli mtupu,ila imegonga mshono wa Samia,na serikali yake,wapambe wake,na majizi yote kutoka familia za maraisi waliopita,
Kwa hasira zao ccm,wanaweza wakatuma TRA watengeneze kesi dgidi ya Efm,au mtu anaweza akanyanganywa passport kuwa sio raia.
Majizo analinda biashara yake,nchi Iko captured,ukiwahuzi majizi ya Ikulu lazima yatanyooka na wewe!
Yupo sahihi,lakini alisema yaliyo sahihi wakati usio sahihi,au kupitia njia isiyo sahihi.Gerald Hando was very right kutoa maoni yake. Madeni yanatuumiza. Mbaya zaidi mikopo tuna share 50-50 na Zanzibar, lakini mzigo wa ulipaji ni wa Tanganyika
YeahYupo sahihi,lakini alisema yaliyo sahihi wakati usio sahihi,au kupitia njia isiyo sahihi.
Nani hajuhi kuwa hii serikali haitaki kukosolewa?ukiikosoa,unaweza kupotezwa(Ben saanane),au kufukuzwa kazi(ndugai na meneja wa trc dar).
Kama walimtenda vile spika wa bunge!!sasa Hawa simple guys Efm,si watazikwa kabisa!
Shule alitoanzisha Polepole iliishia wapi?walitumwa tcra kuishughurikia ikafungwa!
Hebu fikiria Efm ikifungwa,au kupigwa faini,au ikinyimwa matangazo na serikali,wamiriki wakaamua kufunga biashara,ajira ngapi zitapotea?
Wazeni kwa mapana wabongo!!
Wabongo wengi ukipigiwa cm tu unahitajika kituo Cha polisi,mishuzi inaanza kutoka,sembuse ku cross pass na deep state!!!
Hatari kweli kweliWala siyo inshu ya media uchwara mkuu.
Hii nchi imefika wakati mkosoaji anaonekana Ni adui wa taifa. Majizo amepima upepo tunakoelekea media yake itawekewa vikwazo vya kimya kimya Hadi afulie... kajiwahi!!
Mambo ya kupenda kusifiwa bila kukosolewa kuliasisiwa na Magufuli, mama anaendeleza. Hovyo kabisa.