Hakika China wanaonewa wivu wazi wazi lakin viongoz wao hawatumii sababu hiyo kuepuka matokeo ya matendo Yao kama hapa kwetu lawama zimezidi kwa mabeberu.Nchi ambayo tunaweza kusema mabeberu wanaona wivu ni china.Ambayo imejiweza kila aina ya nyanja.
Sasa hapa Hata dawa ya ukimwi inatushinda kununua.
Waziri mkuu maderu ana tofauti na wale wabeba mizigo sokoni.Hakika China wanaonewa wivu wazi wazi lakin viongoz wao hawatumii sababu hiyo kuepuka matokeo ya matendo Yao kama hapa kwetu lawama zimezidi kwa mabeberu.
Kabisa... Kila siku lawama ni kwa mabeberu.Hakika China wanaonewa wivu wazi wazi lakin viongoz wao hawatumii sababu hiyo kuepuka matokeo ya matendo Yao kama hapa kwetu lawama zimezidi kwa mabeberu.
"Mabeberu weusi wenye asili ya oman"🤣🤣🤣🙌Hakika China wanaonewa wivu wazi wazi lakin viongoz wao hawatumii sababu hiyo kuepuka matokeo ya matendo Yao kama hapa kwetubeberu weusi wenye asili ya Oman wameuza bandari zote za Tanganyika na kumpa mwarabu, wakaua watanganyika ili wazidi kututawala. Maisha ya mtanganyika yanazidi kuwa magumu kila kukicha na hali inatabiriwa kuwa mbaya sana siku zijazo. Watanganyika tumekuwa watumwa ndani ya ardhi yetu wenyewe.
The IMF and World Bank: Neocolonial Domination, Debt Trap, and Resistance in the Global South - Catalyst The IMF and World Bank: Neocolonial Domination, Debt Trap, and Resistance in the Global South - CatalystKwanza tueleze hao mabeberu ni kina nani na ili uwe beberu unatakiwa uwe na sifa zipi?
Tusaidie kujua jinsi nchi yetu ilivyo na uongozi Kamili inavyoweza kuhujumiwa na hao mabeberu
Tupe mifano miwili tu ndani ya miaka kumi iliyopita ya jinsi hao mabeberu walivyohujumu nchi yetu.
The IMF and World Bank: Neocolonial Domination, Debt Trap, and Resistance in the Global South - Catalyst The IMF and World Bank: Neocolonial Domination, Debt Trap, and Resistance in the Global South - CatalystKwanza tueleze hao mabeberu ni kina nani na ili uwe beberu unatakiwa uwe na sifa zipi?
Tusaidie kujua jinsi nchi yetu ilivyo na uongozi Kamili inavyoweza kuhujumiwa na hao mabeberu
Tupe mifano miwili tu ndani ya miaka kumi iliyopita ya jinsi hao mabeberu walivyohujumu nchi yetu.
Una familia ambayo huwezi kuihudumia halafu jirani yako anawasaidia matumizi kila siku then siku ya siku unatangaza kuwa jirani yenu anakuonea wivu kwa sababu ya maendeleo yenu."Mabeberu weusi wenye asili ya oman"🤣🤣🤣🙌
Cc GallowbirdKwanza tueleze hao mabeberu ni kina nani na ili uwe beberu unatakiwa uwe na sifa zipi?
Tusaidie kujua jinsi nchi yetu ilivyo na uongozi Kamili inavyoweza kuhujumiwa na hao mabeberu
Tupe mifano miwili tu ndani ya miaka kumi iliyopita ya jinsi hao mabeberu walivyohujumu nchi yetu.
Ulitaka kusema nini?MIFUMO AMBAYO ILILETWA NA MABEBERU NDO INAZIKANDAMIZA NCHI ZA AFRICA MPAKA LEO.
#SIASA
#ELIMU
#UBEPARI
#DINI
Mpaka nchi zetu za kibantu zimekwama kupiti hiyo mifumo.
KUGAWANYIKA KWA AFRICA KUNATOKANA NA ELIMU, DINI , SIASA, UBEPARI .
NAANZA KUCHAMBUA
SIASA - MFUMO WA DEMOKRASIA WA KURUHUSU WATU WOTE KUCHAGUA NI MFUMO UNAOLETA MIGOGORO, MAUAJI , KUUMIZANA
DEMOKRASIA KAMA ISINGEKUWEPO TUNGEKUWA NCHI HAIJAGAWANYIKA , INGEKUWA NI NCHI INAYOJENGWA NA KILA MTU
LEO HII HAUWEZI UKARUHUSU WAJINGA WENGI WAMCHAGUE KIONGOZI HATA USA HAINA MFUMO HUO KATIKA KUMPATA RAIS.
DINI - VITA YA DINI NI MBAYA LEO WAKRISTU NA WAISLAMU HAWAPENDANI , HAWAINGILIANI HAWAAMINIANI NA HATA KATIKA KUOA INAKUWA CHANGAMOTO MEANS WAMEUA UTAMADUNI WA MWAFRICA NA KUAMINI MAFANIKIO YANATOKANA NA MAOMBI PEKEE. NA SIO KUFANYA KAZI KWA BIDII NA MAARIFA .
UBEPARI - HUU NI MFUMO AMBAO HAUKUFAA KUWEPO AFRICA LEO WAFANYABIASHARA WANAMILIKI UTAJIRI MKUBWA HUKU WAKIWA WAMEZUNGUKWA NA MASIKINI MFANO BAKHRESSA ANALIPA VIBARUA ELFU TATU
MFUMO WA KIBEPARI HAURUHUSU SERIKALI KUINGILIA HIVYO WAFANYA BIASHARA KILA MWAKA WANAPATA UTAJIRI ILA WANANCHI WALAJI WA MWISHO WANABAKI MASIKINI
MFANO KUNA WAKATI HUWA WANAFICHA SUKARI NA KUPAMBANA SUKARI ISIINGIE KUTOKA NJE ILI WAUZE KWA FAIDA KUBWA.
ELIMU - ELIMU ALIYOACHA MKOLONI NA ILIYOPO SASA IMEJAA UJANJA UJANJA INAANDAA JOBLESS INA ANDAA WATU WENYE POOR THINKING NA AMBAO HAWAPO COMPETENT.
UTAMADUNI - AFRICA ULE UTAMADUNI WETU MPAKA SASA UPO MAHUTUTI
MAGONJWA - AFRICA IMEKUWA IKILETEWA MAGONJWA KAMA UKIMWI , EBOLA , MARALIA N.K
NA BAADAE KUUZIWA DAWA KWA BEI KUBWA
WANAFANYA KU MONETIZE HUMANITY.
Miaka 60 ya uhuru hakuna maji ya kunywa? Huyo beberu akuonee wivu wa Nini? Watu wanakunya bila kuchamba kwakuwa hakuna maji na wazir wa maji na serikali yake wanasubir mvua ya munguKwanza tueleze hao mabeberu ni kina nani na ili uwe beberu unatakiwa uwe na sifa zipi?
Tusaidie kujua jinsi nchi yetu ilivyo na uongozi Kamili inavyoweza kuhujumiwa na hao mabeberu
Tupe mifano miwili tu ndani ya miaka kumi iliyopita ya jinsi hao mabeberu walivyohujumu nchi yetu.
Na hayo yanatokea kwenye Jiji la kibiashara Dar es salaam... Jee huko kwenye mikoa ya pembezoni hali ikoje?Miaka 60 ya uhuru hakuna maji ya kunywa? Huyo beberu akuonee wivu wa Nini? Watu wanakunya bila kuchamba kwakuwa hakuna maji na wazir wa maji na serikali yake wanasubir mvua ya mungu
Ikiwa haujanielewa sijui Kama CCM mtaiweza sijui !!!Ulitaka kusema nini?
Andiko reefu lakini halina mantiki hata kidogo...Ikiwa haujanielewa sijui Kama CCM mtaiweza sijui !!!
Nahisi Una poor intellectual ability
Andiko reefu lakini halina mantiki hata kidogo...
Umechanganya na kutindiganya mambo labda kwa lengo la kutubagaza. Hapo ndiyo umeelezea kuhusu ubeberu na mahusiano yake na nchi yetu?
Unafikiri sisi hatuwezi kutengeneza Magari?Hata vifaa tiba, vyombo vya usafiri nk ni wao ndio wametuletea, lengo lao ilikuwa kuwagawa akina nani? Peleka propaganda za kijinga mbali. Ww ndio umeletwa humu kuja kutuhubiria uoaga uitwao amani, na kweli ukaja kichwakichwa ukidhani kuna waliolala kama huko vijijini uwahadae?
Unasema vitu vya UONGO kwenye bandiko lako lote ili kiwe nini? Elimu, Dini , DEMOKRASIA kwenye nchi zilizoendelea hakuna?Mimi sipendi ubishi
Ukiona CCM imekaa miaka 60 ujue nchi Ina idadi kubwa wa wajinnga