TANZIA Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia

Zanzibar mbunge mteule wa Konde kupitia CCM amejiuzulu, tayari kuna uchaguzi mdogo hapo.

Huku Tanganyika kuna tetesi waziri kafariki, napo pananukia uchaguzi mdogo.

Hii siku ya leo ikoje jamani?!!!
 
Ni kweli kafariki mida ya saa 10:15PM usiku wa leo sass sijajua kwanini Moderator wamefuta nyuzi zetu
 
Yule waziri itakuwa uzushi, make juzi kachanja yule.
 
ALUMZIKE KWA AMANI MPENDWA WETU,JAPO NDO MARA YA KWANZA NAMUONA MTU HUYU
 
Haya ndio madhara ya kuchanja chanjo pasipo kufanyiwa utafiti hizi chanjo zitakuwa na negative effects zaidi ya positive effects tutegemee kupoteza watu zaidi...
Alichanja ?

may ndio kutafuta story kende wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…