TANZIA Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia

Moja ya watu waliokufa bila kashifa, mtu muungwana sana sana.

Msalimie Magufuli mwambie huku Matozo kama yote.

Covid bwana haya bwana!!
Huyu si ndio ametapeliwa kizembe zembe kabisa na Massawe
 
Ukiwa mgonjwa huruhusiwi kuchanjwa, sijui ni kwa sababu zipi lakini huo ndiyo ukweli.
Chanjo ni vijidudu vilevile vya ugonjwa ila vimekarabatiwa kitaalam ili viingizwe kwenye mwili kufanya kazi ya kuulinda mwili, haitakiwi mgonjwa achanjwe kwa sababu tayari ana vimelea vya ugonjwa kwa hiyo anapochanjwa inakua kama umemuongezea vijidudu zaidi na hatopata kinga zaidi ya kuzidiwa.
 
Johnson,Pfizer imeanza kazi!...🙆‍♂️🙆‍♂️
 
RIP Kwandikwa, nimeumia,alikuwa muungwana Sana na kawapambania Sana watu jimboni kwake.
 
Reactions: ram
Nina wasiwasi sana na huu ugonjwa wanaokufa wananafasi kutetea maisha yao kwa asilimia kubwa mnoo hivi kwa maskini kama mimi itakuaje?
 
 
Elias John Kwandikwa ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Ushetu kwa miaka 2015 – 2020 akarudishwa mwaka 2020 na kuteuliwa kuwa Waziri wa Ulinzi.
 
Sio ngoma. Jamani hapa nalia Sukuma gang mwenzangu katuacha 😭.Basi Samia wizara ya Ulinzi ataweka Mzanzibari mwenzake.
usifanye watu tudhani foul play maana wizara nyeti ile watu wajiangalie korona isije ikawa ndo kifungashio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…