Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Huwezi kufa au huruhusiwi kufa!Tafiti zinasema ukichanja huwezi kufa kwa ugonjwa wowote labda ajali!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kufa au huruhusiwi kufa!Tafiti zinasema ukichanja huwezi kufa kwa ugonjwa wowote labda ajali!
Hapa sasa nimekuelewa na Asante kwa ufafanuzi wako huu mkubwa wa Kitaaluma. Sina Swali tena juu ya hili nimetosheka.CPA ni kubwa kuliko Bachelor of Commerce or Bachelor of Business Administration katika fani ya uhasibu / ukaguzi wa hesabu (Auditor).
Ukiwa na B’Com itakulazimu kuingia tena class ndio upate CPA.
Sasa badala ya uombee ccm ife unaombea mtu afe?Bagonza alisema kuna watu wanakazia novena ....
RIP Waziri. Nawakumbuka mkiwa Wizara ya Ujenzi wewe na Marehemu Nditiye. Msalimie Nditiye mkikutana huko. Life is very short.Huyu alikuwa mkimya sana, hakuwa na makuu, mcha Mungu na Mnyenyekevu wa moyo
Mbona kwenye mgomo wa 1990 sikukuona?Ninamfahamu tokea anasoma Shybush tukiwa wadogo kabisa. Hadi alipopata uwaziri hakuwa na makuu kijana wa watu. [emoji24].
Watoto wa siku hizi hawawezi kuelewa! Advanced Diploma zamani kabla haijafutwa ilikuwa sawa na Bachelor degree. Kwa hiyo kwa Elias hata bila hiyo CPA alikuwa na sifa za kusoma MastersSidhani lakini Advanced Diploma ni sawa na Bachelor nimeona watu wengi waliokuwa na sifa hizo wakisoma Masters.Kama sikosei nadhani hata Mama Samia kasoma Advanced Diploma wakati huo IDM Mzumbe Advanced Diploma in Public Administration na baadae kapiga Masters....
So?Wanaficha ficha ila ukweli alipata chanjo
Na alivyo obese vile….hmm!
Yaani hii mijitu mijingaAcha hizo mkuu, Mbowe amefiwa na ndugu zake wengi, unatuaminisha hao nao walikuwa kwenye payroll ya magu ya baraka?
Good analysis.Mkuu 'Monk'
Ngoja mimi nikusaidie kwa kifupi tu kujibu maswali yako uliyoweka hapa. Nikipata nafasi nzuri nitaandika mahali kwingine kwa kirefu zaidi ya hapa.
1. Kunawa mikono, kujipaka sanitizer,...
Acha kuandika uongo moshi na chuga watu wengi wanakufa tu usibishe corona is real acha kupotosha watu chukua tahadhariNaaamini mkuu mtaani huku kama hii corona ingekua relevant kama tunavyoona kwenye media za mabeberu tungezika na kusafirisha wengi ila wanaokufa ni matajiri kinachoniogopesha
Jamani, halafu ni watu aina moja. Kuna nini hapa?Aisee vigogo tu huu mwaka huu na mwaka jana kuanzia term ya pili tanzania ineshuhudia vifo vya watu wazito
Atasikika mjinga mmoja...si niliwaambia....huyo mkuu siku ya uzinduzi Chanjo alikuwa kitandani.Akawakilishwa na Waziri Mambo ya ndani uzinduzi hospitali ya kisasa maginjwa ya mlipukoLugalo kwa hisani ya Wajerumani.Alichanjwa? Si mlisema ukichanja hupati madhara?
Ni block loaf sio boflo.Kichwa kama boflo
Johnson siyo dawa, ni kinga.Huyu hakupewa nini johnson
Kwa hiyo Massawe sasa hivi ataachiwa huru na Mahakama, baada ya mlalamikaji kufariki!?Huyu c ndiye aliyetapeliwa na massawe