The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kuna kimchepuko hapa kipo mawindoni,kinaweza kutoa tamko kwa niaba coz kinapambana kweli kweli,kinauza mpaka utu wake kwa kushobokea watu.Jamani mwenye Uzi uko wap, toa tamko au uko bize unakusanya pesa
Kiwango alichotaja sio kikubwa sana kwa maana kuna gharama za kukodi ukumbi, kuwalipa wazungumzaji wengine, kumlipa MC, mapambo na hata bites nkVita vya panga,haviingiliwi na fimbo. Ilata mda elimu ya fedha umeongea point sana nikupe pongezi.
Ila umekuja kualibu kitu kimoja tu ambacho wananchi wenye hasira Kali hawataki. Kiwango Cha pesa ulichosema kwenye semina yako ni kikubwa sana na si Kila mmoja wetu anaweza kuwa nayo.
Unapolenga kitu jaribu kuweka na madaraja ya kiingilio kwa watu wenye uwezo mkubwa ki fedha na sisi wa Hali ya chini ili wote tufaidike na elimu yako. Asante
Hahah huu mpambano umeishaSawa,. Nimelipokea kwa mikono miwili
Hiyo pesa ni rahisi kuitaja pia ni ngumu kuitoa. Ukizungumzia ghalama naona unakosea kwa sababu duniani hapa Everything has price na hiyo ndo kanuni.Kiwango alichotaja sio kikubwa sana kwa maana kuna gharama za kukodi ukumbi, kuwalipa wazungumzaji wengine, kumlipa MC, mapambo na hata bites nk
Hapo kama anapokea ushauri, aweke na hiyo link ya zoom ambapo huko anaweza weka kiingilio Tshs. 10,000/= na watu wengi wakahuduhuria bila kufika ukumbini.
Tafuta wasifu wa amani makirita jamaa yupo vizuri upstairs na sio motivation speaker pia amewai kua TONaona umekuja kuokoa jahazi la mwenza wako,
Anyway usichukulie too serious comments za hapa JF,hao unaohisi kua hawana hela,wengine tulisha vuka hiyo stage ambayo ndio kwanza kaifika mleta mada.
Hakuna sehemu yeyote niliyomsema vibaya mleta mada,hata hiyo comment yangu uliyoiquote,wala haihusiani na ushauri unaoutoa.Tafuta wasifu wa amani makirita jamaa yupo vizuri upstairs na sio motivation speaker pia amewai kua TO
Tafuta wasifu wa amani makirita jamaa yupo vizuri upstairs na sio motivation speaker pia amewai kua TO
Weka no nikutumie ili uende ukajifunzeElimu ya pesa, elimu muhimu kabisa ambayo ni wachache mnoo wamebahatika kuipata.....na ukiipata unafanikiwa.
Wanajf najua nyie matajiri naombeni mnichangie niende πππ
Natanguliza shukrani
Ahsante bro....Weka no nikutumie ili uende ukajifunze
Nakupigia ila hupokei!Elimu ya pesa, elimu muhimu kabisa ambayo ni wachache mnoo wamebahatika kuipata.....na ukiipata unafanikiwa.
Wanajf najua nyie matajiri naombeni mnichangie niende πππ
Natanguliza shukrani
Achana na hii biashara mkuu,jambo limeenda mbali sana.Muulize Mamako ndio ananijua vizuri tu,huenda mimi ndio Babako sema anakuficha tu.
Kwa hiyo watu wasihoji, weak people hawataki kuwa criticised.Asante kwa taarifa kiongozi,. Uzuri ni kwamba Watakaokuja hawana mda wa kuandika upuuzi hapa,.
So hizi toxic comments wala zisikukatishe tamaa,.
Haya anayetaka nimlipie aseme asaidiwe ili mpunguze makasiriko
Vinahusianaje sasa.Tafuta wasifu wa amani makirita jamaa yupo vizuri upstairs na sio motivation speaker pia amewai kua TO
Bora uulize wewe mkuu,huenda akakuelewa.Kwa hiyo watu wasihoji, weak people hawataki kuwa criticised.
Hizi ni porojo za kupiga watu tu wala hamna kingine.
Watu dhaifu hawataki kuhojiwa, ndio maana unaona hata ccm inakimbia midahalo, udhaifu wao unawakimbiza.Bora uulize wewe mkuu,huenda akakuelewa.
Mleta mada wala hana tatizo,inawezekana yupo busy now,hope atakuja kujibu tu.Watu dhaifu hawataki kuhojiwa, ndio maana unaona hata ccm inakimbia midahalo, udhaifu wao unawakimbiza.