Elimu hii muhimu sana hukufundishwa shuleni, ipate hapa

Mkuu,

kuwa TO inahusiana nini na maswala ya fedha??
IQ kubwa ya kuelewa mambo magumu magumu na mepesi mepesi
Kua TO maana yake aliweza kupata A kwenye masomo zaidi ya SABA O-LEVEL

Akaenda kusoma PCB na huko akakinukisha balaa

Chuo kikuu aka opt akaenda UDSM hapo Business school wakati angeweza kwenda kusoma medicine

Ni mtu ambae angepata kazi kirahisi Ila aliamua kuwekeza kwenye kujiajir na kuajir wengine

Kwa kuhitimisha jamaa anajua Mambo ya FINANCE Sana in practical way
 
Angekuwa na hizo akili nyingi basi angeona ni bora zaidi kutoa hiyo elimu ya kifedha bure. Angekuwa mwanaharakati. Angeanzisha kampeni labda kuipeleka hiyo elimu mashuleni na vyuoni...

Sasa Certified Fraud Examiner anauza seminars dah, inachekesha.
 
Ndio uhusiano uliopo kati ya kuwa TO na fedha siyo?
 
😳Jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…