Elimu kuhusu Padre na Upadre wa kanisa Katoliki

Padre ni rafiki mkubwa wa Bwana Yesu, ni makuhani wa Mungu.

Wapo duniani humu wakati mwingine mioyo yao inalemewa na ya humu duniani wanaanguka.

Mungu ni wa msamaha. Mungu anasamehe na kusahau.

Padre ni wa kanisa. Watoto wake ni waamini wake, sijui hata kama wanaweza kuwajengea wazazi wao nyumba, Mungu anajua hilo.

Akifa anazikwa kanisani au kwenye maeneo yao yakuzikiwa yaliyotengwa hapo nawaonea wivu.

Anyway niyaache
 
Sijda sio kupaka majivu ndo maana nawashangaa wanaojiita wasomi
 
Mbona wewe ndo unachochea moto.Acha ujinga shusha nondo tujifunze.
 
Si umtaje ndorobo tu, unajifichaficha nini sasa.
 
Inatuhusu nini huu upuuzi wako?
 
Heshima k
Alafu kuna mtu ambaye hata la saba kamaliza kwa mbinde anaanza washambulia maaskofu.

Mbaya zaidi badala ashambulie hoja zao anawashumbulia wao kama wao!

NB: Ukimuona Padre au askofu mpe heshima yake!
Wa kufanya nini zaidi ya kuliwa k tu
 
Mtabaki masapota wa ushoga tu
 
Anatu
Ongezea:-
Hadi Papa (Baba Mtakatifu) wa Vaticano ni padri wa Cheo cha juu alievikwa wadhifu na kuchaguliwa na Maaskofu, yeye hua anaanguka dhambini na hua anatubu kwa mapadre wa karibu nae ili atoke dhambini
Bu kwa wanadamu? Kweli ukatoliki ni dini ya kisheitwani aisee
 
Anatu

Bu kwa wanadamu? Kweli ukatoliki ni dini ya kisheitwani aisee
Akienda Mbinguni vazi la upadre analiacha Duniani kule anaenda km Fransisco tu sio km Papa, yeye ni km wewe na Mimi hata yeye anaanguka dhambini ndio maana anatubu na anaesamehe dhambi ni MUNGU sio mwanadamu

Kingine cha kukuongezea:-

Sio kila padre/mchungaji anaweza kuponya Ila uponyaji upo kwa mtu mwenye karama ya uponyaji kuna mtu/watu wanaweza kuponya na pia kuna watu hawajajaliwa hio karama ya uponyaji kwa hio hawawezi kuponya

Kuna watu wapo sio mapadri wala sio wachungaji Ila wana karama ya uponyaji na wengine hawajijui km wana hio karama ya uponyaji Ila wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…