Kumbe hio Dkt. ni ya kupewa kiheshima hajaenda kubukua?๐ ๐ Wazee wa Phd za kupewa hata kuandaa ripoti hawajui .
Wengi wanahonga pesa hwana cha maana ๐ ๐ ๐ ..Hiyo ndo bongo unaweza kucheka kabisa.Kumbe hio Dkt. ni ya kupewa kiheshima hajaenda kubukua?
Ila yupo vizuri Mimi nilikua natenga hadi mda wangu nafuatilia mafundisho yake, kilichonivutia zaidi ni kitu kimoja tu yeye kwenye mafundisho yake alikua anataja MUNGU yaan anasema ndugu yangu ukifanya hivi MUNGU hapendi ukifanya hivi MUNGU anachukia ukifanya hivi na hivi unamkosea MUNGUWengi wanahonga pesa hwana cha maana ๐ ๐ ๐ ..Hiyo ndo bongo unaweza kucheka kabisa.
Jamaa anaongea ukweli โ๏ธ namkubali ,ila ishu kama ya elimu haiendani na uwezo wa watu wengi.Ila yupo vizuri Mimi nilikua natenga hadi mda wangu nafuatilia mafundisho yake, kilichonivutia zaidi ni kitu kimoja tu yeye kwenye mafundisho yake alikua anataja MUNGU yaan anasema ndugu yangu ukifanya hivi MUNGU hapendi ukifanya hivi MUNGU anachukia ukifanya hivi na hivi unamkosea MUNGU
Ni Mwalimu (au tuseme Maalim)
kwa hiyo hakuna mashoga ndani ya uislam?Mtabaki masapota wa ushoga tu
huna akili.Mbona wewe ndo unachochea moto.Acha ujinga shusha nondo tujifunze.
Kwa hio ile Pre Form One haipo pale kabla ya kuingia Form One hio ni kwa Seminary Ndogo Ila ukiingia Seminary Kuu kabla ya kuanza Miaka 4 ya Falsafa unapigwa kwanza Mwaka 1 wa MaandaliziNIMESOMA SEMINARY , SAYU SAYU PRE-SEMINARY 2009 MASWA , NYEGEZI SEMINARY , 2010-2013 , JIMBO LA MWANZA , JUST KUONGEZEA TUU , SIKU HIZI HAKUNA. PREPARATORY SEMINARY MAANA SERIKALI ILIFUTA UTARATIBU HUO WA KANISA PROBABLY IN 2016 HIVI
Mwaka mmoja wa maandalizi una kaa jimboni kwako kwa askofu wako , muda huo akikufanyia mchakato wa kukupeleka. Senior seminary , hapa mpaka cost ana zi ascertaine , kujua ni kiasi gani maana wanakuwaga wengi hata 30 kama idadi au zaidi.......ila dah hiki kipindi cha mwaka mmoja utaangaliwa mpka the way unavyo behave kula , maana mnakula meza moja na askofu , ole wako weeeee mjaza sahani ka mlima kilimanjaro....hahhhahhhhh.........MOSTLY WANAANGALIA HALI YA NDOA YA WAZAZI WAKO (IF KAMA WAKO HAI) ILA KA WAMETENGANA MHHH UNAWEZA SOTA HATA 2 OR MORE ASEEEEEEEKwa hio ile Pre Form One haipo pale kabla ya kuingia Form One hio ni kwa Seminary Ndogo Ila ukiingia Seminary Kuu kabla ya kuanza Miaka 4 ya Falsafa unapigwa kwanza Mwaka 1 wa Maandalizi
Yule afande wa Zenji alisapotiwa na RC, au siyo..???Mtabaki masapota wa ushoga tu
Serikali iliifuta ile pre form 1 ya mwaka mzima then unaingia junior seminary , just ni kuwa mitihani huwa inaandaliwa tuu ya kujiunga seminary kutoka darasa la 7 (kwa sasa maana kuna new changes sijui la 6 mwisho )Kwa hio ile Pre Form One haipo pale kabla ya kuingia Form One hio ni kwa Seminary Ndogo Ila ukiingia Seminary Kuu kabla ya kuanza Miaka 4 ya Falsafa unapigwa kwanza Mwaka 1 wa Maandalizi
Ndio mtaala umebadirishwa Mwisho la 6 baada ya hapo wanaingia Form Onekwa sasa maana kuna new changes sijui la 6 mwisho
Ila unaweza ukarudi ukaomba uendelee na masomo ya Falsafa au we upadre noMwaka mmoja wa maandalizi una kaa jimboni kwako kwa askofu wako , muda huo akikufanyia mchakato wa kukupeleka. Senior seminary , hapa mpaka cost ana zi ascertaine , kujua ni kiasi gani maana wanakuwaga wengi hata 30 kama idadi au zaidi.......ila dah hiki kipindi cha mwaka mmoja utaangaliwa mpka the way unavyo behave kula , maana mnakula meza moja na askofu , ole wako weeeee mjaza sahani ka mlima kilimanjaro....hahhhahhhhh.........MOSTLY WANAANGALIA HALI YA NDOA YA WAZAZI WAKO (IF KAMA WAKO HAI) ILA KA WAMETENGANA MHHH UNAWEZA SOTA HATA 2 OR MORE ASEEEEEEE
WANANGU. NILOSOMA NAO WENYEWE WAKAUNGA NJIA KUU NOW WAMEBAKIZA 1 YEAR TUU WAWE ORDAINED PRIESTHOOD
Mwanangu na wewe uliibukia huko kusali kila siku misa saa 12 alfajili,????Ila unaweza ukarudi ukaomba uendelee na masomo ya Falsafa au we upadre no
Mimi sikuenda huko ๐ Misa kila siku saa 12 asubuhiMwanangu na wewe uliibukia huko kusali kila siku misa saa 12 alfajili,????
Dah kudadeki mie form 1 , nilikuwa na gonga ngizi maana malenge lenge ya usingizu yalinizidia mzee ila nkawa nazoea daily hivo hivo hahhhhhhhjhhMimi sikuenda huko ๐ Misa kila siku saa 12 asubuhi
Ndio unafika mda unazoea tu Ila wengine wakimaliza six basi aendelei na Falsafa anaishia hapoDah kudadeki mie form 1 , nilikuwa na gonga ngizi maana malenge lenge ya usingizu yalinizidia mzee ila nkawa nazoea daily hivo hivo hahhhhhhhjhh
Kilichobaki ni wakukaze na wewe pia.Kimpango wao, wale ni wanafiki tu wana wanawake na watoto mitaani hakuna cha sadaka. Wahuni tu wanatembea mpaka na wake za waumini wao
Weeee. Sekta hiyo ni wito aseeeeeee maana. Padri ni mali ya kanisa , na ndio maana hakienda kwao hata kuzika tuu mzazi wake haruhusiwi kulala nyumbani kwao , analala parokiani aseeeNdio unafika mda unazoea tu Ila wengine wakimaliza six basi aendelei na Falsafa anaishia hapo
Elimu dunia , ndo ni kipaumbele mkuu kuingia upadre nao ni hatua nyingineNdio unafika mda unazoea tu Ila wengine wakimaliza six basi aendelei na Falsafa anaishia hapo