Elimu na pesa zikiwa kwa mwanamke, heshima haina nafasi

Mwanaume anatafuta sana hela ili akizipata atulie na mwanamke

wakati mwanamke anaamini akipata pesa ndio fursa ya kujiweka mbali na wanaume
In general ni kweli mkuu almost wanawake wana mawazo ya aina hiyo .. ila trust me kuna wanawake wako vizuri wanakipato lakini heshima ipo pale pale kwa wanaume zao
 
Hapa umemuonea Miss Natafuta huwa ni maneno tu ila ni binti anayejitambua na unene wake
 
Ndo maana walitusomesha ili tusinyanyasike....mimi bibi yangu hana sikio moja mpaka sasa alimfuma babu na kimada akazira hakupika skan babu kurudi anakuta msosi tee eti bibi kajinunisha alilambwa panga la sikio
 
Chenye hasara hakikosi faida MKUU. Nimeshudia kisa Cha kwel ktk hili. Mume alikua na kila kitu na alimwachisha make Kaz. Make akawa wa nyumban tu. Kila ktu anapewa. Mume akafa gafla. Na yule mama alikua hajui ktu chochote kwenye mirad.

Baada ya Ile hali make akaanza kusimamia mirad. Na mda si mrefu mirad ikafa yote. Mama akaanza kuish maisha ya shida sana. Lakn kama make angekua kazn angetunza watoto vzr
 
Kwanini apate ajira ?! Mpaka kapata ajira ulikua wapi ?! Hakukushirikisha ?! Kwanini umruhusu kutafuta ajira ?! Kama unataka ajishughulishe kwanini usimfungulie biashara ?!

Au ndo nawewe wale ma kutaka kusaidiwa maisha na mwanamke ?
Na hii biashara akiikuza na akawa na pesa unafanyaje? Utaifunga au?
 
Umeongea kama mwanaume, endeleeni kufunguana taratibu tu tutafika.
 
Aah mie sijaongelea ya zamani jamani.
Huyo ndio simba kama simba[emoji1787][emoji1787]
Sura kama huyo simba kwenye avatar yako.
Statement yako utadhani nilikua naongea kike ila leo nimeongea kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…