Elimu na pesa zikiwa kwa mwanamke, heshima haina nafasi

Asilimia 90% mwanamke akiwa na pesa na elimu sio kwa dharau hizo wakuu..anaiona jamii yote iliyomzunguka niwasengerema...nimezunguka Tanzania sana nimejionea aiseee na mifano ninayo..na pia huwa hawaolewi,na hata akiolewa huwa sio wanyenyekevu kwenye ndoa zao matokeo yake ndoa zinaishia kuvunjika mapemaa..SOLUTION ,HAKUNA KUOWA MWANAMKE MWENYE ELIMU NA PESA NA AKIJILETA MPIGE TUKIO MAPEMAA KABLA HAJAKUUMIZA..
 
Inferiority complex ndiyo inayowasumbua

Ukweli ni kwamba ni kwamba wanawake wakipata pesa na elimu ugeuka ni tatizo lingine kwenye jamii kama alikuwa hana kiburi ataanza kama alikuwa anakaa na familia yake basi atakuwa busy na kama alikuwa ni mnyenyekevu kwa mumewe basi lazima huyo mumewe aionje joto ya jiwe hasa huyo mumewe akiwa amemzidi kimojawapo kati ya hivyo!

Ukweli usemwe wanawake wengi wanashida sana wakiwa na vitu vizuri yani kuna muda unaweza fikiri kuwa wanawake wote hawakupaswa kuwa na pesa na elimu maana wakiwa navyo wote wanakuwa na akili zinazo fanana kabisa!
 

Ni kweli mwanamke anapokuwa na hela na elimu kumzidi mume wake hakika dharau itakuwepo, ila mimi sisemi wanawake wenye hela na elimu wasiolewe lahasha waolewe kama kawaida ila wewe muowaji isiwe tu umeenda kuoa sababu umevutiwa na status yake. Hapo ndo inapokuwa shida
 
Kweli mkuu.
 
Tuishi nao kwa akili, ukilijua hili uwez pata shida nao awe amesoma mwenye kipato kukuzidi wew au awe mama wa nyumban.
 
Tatizo ni kua wanawake mkishakua na vihela vya kununua chupi hua hamtaki kua chini ya mume, mume awe kiongozi na wala hua hakuna kunyanyaswa acheni propaganda. MWANAMKE MWENYE KIHELA UKIMWAMBIA ASIRUDI USIKU YEYE ATATAFSIRI AMENYANYASWA.

Wanawake ni viumbe waasi kwa asili yao ndio maana hata hampendani, ACHA PROPAGANDA ZA KISHAMBA HAKUNA ANAE WANYANYASA MNAPENDA UHURU ULIOPITILIZA JAMBO AMBALO MWANAUME RIJALI HAWEZI KUKUBALI KAMWE.
 
Tufanyaje sasa wakati wamegeuka marioo?![emoji849]
 
Mwanamke hana shukrani yes mume anaweza akatimiza yote na akawa mwaminifu siku akikwama hakuna rangi ataacha kuona.

Tumeshuhudia wanawake wakiwatenda uovu mkuu wanaume zao kisa mume amekwama kiuchumi.

Na hata ulivyoandika unaweza kuona bayana hulka yako imekaa kudai dai. "KAMA MWANAUME AKIFANYA MAJUKUMU YAKE" na je kama akikwama jibu unalo. Upendo wa mwanamke hua upo kama tu matakwa yake yanahudumiwa mwanaume akiyumba tu afu mwanamke ndo anavijihela aise mwanaume atadharauliwa sana.
 
Mwanaume jua nafasi yako kwanza na tafuta hela kwa nguvu.. Mwanamke hata awe na kazi au Hana kazi kama mwanaume hujaijua nafasi yako na namna ya kuishi nae kwa akili bado hutokua na mamlaka ndani..... Huo ujinga wakusema wanawake was ifanye kazi sio zama hizi, wewe Simama kama mwanaume na hakikisha kama pesa unatengeneza Mara Tatu hata nne anayoweza Pata mwanamke
 
Mimi sielewi why mnaumia. Oeni wasio na pesa wala elimu. Shida inatoka wapi??

Au sisi pekee ndo tuko sokoni?? Au sisi ndo type zenu ila tu mnapata hasira kwa kuwa tuna elimu ya kung’amua mambo na sio kondoo??
Bibi uliyejicha kwenye avatar fake, nungaiyembe sugu, Sisi mbona tumeshaoa, tuoe mara ngapi. Mwanake uko lonely usiku wote huu unadanga mitandaoni wenzako wamekumbatiwa wewe umeshupaza kine.mbe kujibishana mitandaoni.
 


Sasa mambo kama hayo hayanaga sababu ya aina moja hiyo unayosema ya elimu au kuwa na fedha.

Mbona tunawaona kwenye jamii hata wale wanawake ambao ni mama wa nyumbani ambao hawajasoma wanaume wao wakifulia wana behave the same kama unavyosema wanavyovofanya hao wanawake wasomi na wenye fedha?!

Usichotaka kukubali ni ukweli kuwa ukorofi wa mwanamke kwa mumewe hausababishwi na mwanamke kuwa msomi au kuwa na fedha pekee bali kunakuwa na sababu nyingine mtambuka na ndio maana hata wanawake ambao hawajasoma na wala kuwa na fedha nao wanakuwa na ukorofi na kufanya kama hizo tabia za ujeuri na kiburi unazodai kufanya na wanawake wasomi na wenye fedha pekee.

Kuna wanawake mama wa nyumbani wengi tu wamekuwa wakiwakimbia waume zao baada ya kuyumba kiuchumi mfano kuachishwa kazi , kufilisika kibiashara n.k

Tena wanawake hao wameakimbia wanaume zao kwa kashfa na kuwatoa wanaume zao maana badala ya kuwatia moyo wakati wa mpito mgumu wa kukosa kazi.

Sasa hao nao hawajasoma na wala hawana hela hapo utasema je?
 
Napingana na wewe sind kweli. Hakuma mama wa nyumbani anaye au aliembeza mume baada ya mume kupigika kiuchumi.

Ninachokiona upo vizuri katika kutunga propaganda fake ila kipaji chako cha propaganda hakibadili ukweli kua wanawake wenye vijiajira ushuzi hawanana naomba nirudie HAWANA SIFA ZA KUA WAKE, WALA KUA MAMA BORA.
 
Akikuzidi kielimu na kiuchumi, usishangae kuambiwa tangulia nyumbani kawaandae watoto Mimi nitakuja baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…