Masalakulangwasa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 354
- 436
Hizi elimu huwezi kuzipata kwenye TV. Enzi zetu tulikaa nje tukapiga story kusubiri muda wa kulala tulielimishwa hizo mambo.Eee hayo mawe yanafanyaje kazii, yaani mechanism yake ni ipi had msipate ajali.
Ikitaka kutoke ajali yanafunga breki hayo mawe.
Tupe darasa.
Acha uchawi. Maiti anagomaje kuzikwa? Si angegoma kufa.Ujuaji mwingi mbele kiza
Waulize wanaosafirisha sio mimi.Acha uchawi. Maiti anagomaje kuzikwa? Si angegoma kufa.
[emoji16]Sasa nyie wataalamu mkianza kupishana, sisi wananchi wa kawaida tunakua njiapandaKichwa kinatangulia bhana, acha hizo
CC Dr. Mzizi mkavu & Mshana jr the big IQ
Nakuomba yaamini kutoka Kwangu 100% Kiongozi wangu sawa? Acha Vijana wa Leo wayapuuze.Kuna mzee aliwahi kunipa maelezo hayahaya nikachukulia utani
Kuna Watoto wa Juzi hapa JamiiForums Sisi Wakongwe tunapowapa haya Mambo wanadhani tuko hapa Kutania au Kupoteza muda.Haya mambo yapo, kwa mfano mimi, Mimi kulikua na Mama yangu mkubwa aliugua kwa muda mrefu na akawa anawaambia ndugu zake wamuite mdogo wake ambaye ni Mama yangu mzazi lakini hakwenda na hawakuwa wameonana kwa muda mrefu
Basi kwa bahati mbaya akafariki mama akaenda, Ile siku wanamuosha marehemu unaambiwa alifungua macho na kuachama mdomo akimuangalia mdogo wake.
JiongelesheWait...
Unasema Marehemu anagoma kuzikwa?
Anagomaje?
Anavyogoma anaweka kizuizi gani kuashiria amegoma?
Anasema sitaki?
Huyo atakuwa amezimia anawa ektia tu
Fafanua vizuri!1. Chukua Jiwe Dogo rusha upande wa mbele lilipo Jeneza Marehemu wako hata kama hakutaka Kusafirishwa Kwao atafika tu na wala hamtadhurika njiani na Gari yenu haitopata Ajali.
2. Chukua Jiwe Kubwa liweke Juu ya Jeneza hapo mnafika nae Kijijini Kwao Salama na wala hamtopata Jambo lolote baya Njiani hasa Ajali.
3. Mkimuingiza Marehemu ndani ya Gari lenu au lile mliloliandaa hakikisheni mnaanza Kuingiza ule upande wa Miguu ( na siyo Kichwa ) na hapo atafika na hakuna ambaye atadhurika au Ajali mbaya kutokea.
Atakayefuatisha hivi nilivyoelekeza hapa na bado Marehemu akakataa kwenda Kwao nakuruhusu Unidai Kiasi chochote kile cha Pesa na nitakupa kama ipo Mfukoni.
Kipind nipo kidato cha pili niliwai kushuhudia1. Chukua Jiwe Dogo rusha upande wa mbele lilipo Jeneza Marehemu wako hata kama hakutaka Kusafirishwa Kwao atafika tu na wala hamtadhurika njiani na Gari yenu haitopata Ajali.
2. Chukua Jiwe Kubwa liweke Juu ya Jeneza hapo mnafika nae Kijijini Kwao Salama na wala hamtopata Jambo lolote baya Njiani hasa Ajali.
3. Mkimuingiza Marehemu ndani ya Gari lenu au lile mliloliandaa hakikisheni mnaanza Kuingiza ule upande wa Miguu ( na siyo Kichwa ) na hapo atafika na hakuna ambaye atadhurika au Ajali mbaya kutokea.
Atakayefuatisha hivi nilivyoelekeza hapa na bado Marehemu akakataa kwenda Kwao nakuruhusu Unidai Kiasi chochote kile cha Pesa na nitakupa kama ipo Mfukoni.
Umeanza uganga wa kienyeji aisee!ππππ1. Chukua Jiwe Dogo rusha upande wa mbele lilipo Jeneza Marehemu wako hata kama hakutaka Kusafirishwa Kwao atafika tu na wala hamtadhurika njiani na Gari yenu haitopata Ajali.
2. Chukua Jiwe Kubwa liweke Juu ya Jeneza hapo mnafika nae Kijijini Kwao Salama na wala hamtopata Jambo lolote baya Njiani hasa Ajali.
3. Mkimuingiza Marehemu ndani ya Gari lenu au lile mliloliandaa hakikisheni mnaanza Kuingiza ule upande wa Miguu ( na siyo Kichwa ) na hapo atafika na hakuna ambaye atadhurika au Ajali mbaya kutokea.
Atakayefuatisha hivi nilivyoelekeza hapa na bado Marehemu akakataa kwenda Kwao nakuruhusu Unidai Kiasi chochote kile cha Pesa na nitakupa kama ipo Mfukoni.
Hakika Kiongozi na tena Watu badala ya Kunishangaa basi labda wangenishukuru kwani hapa nimetoa Msaada wa Thamani Kubwa Kwao na kwa Jamii yetu Kiujumla.We safirisha maiti yako uache kufata haya masharti uote moto wake
Jiwe liwe Dogo na hakikisha ukilirusha Iinafika au linavuka Jeneza la Marehemu. Na hata Watu wakiwemo Ndani Wewe lirushe hivyo hivyo Watakaokushangaa Wasamehe tu bure kwani hawajui kuwa hapo Umewaokoa na Balaa Moja Kubwa sana tu ambalo pengine lingeweza hata Kuchukua huo Uhai wao. Kila la Kheri Kiongozi.Fafanua vizuri!
Hayo masharti ni yote yazingatiwe au ni moja kati ya hayo?
Hilo jiwe dogo la kiasi. Gani lirushwe kwenye jeneza likiwa inje au ndani ya gari?
Hilo jiwe kubwa ni kubwa kiasi gani au liwe kama jiwe la fatuma?
.
Kama hutojali ebu pangilia maelezo!
Step by step! Kipi kianze!
sema uliendesha kwa makini tu, shida ni hizi imani haba ni tatizo kwa wanadamu.Hii niliwahi kuambiwa na nikafuata miaka ya 90 nilikuwa nina daladala ilikuwa bado nzuri ila matairi yalikuwa hoi sana. Nikapata tenda hiyo Dar-Songea kupeleka maiti. Wazee pale Temeke tulipoanza safari wakanipa huu mtonyo nikafuata, hakukuwa na tatizo njiani. Kazi ilikuwa siku ya kurudi.
Wait...
Unasema Marehemu anagoma kuzikwa?
Anagomaje?
Anavyogoma anaweka kizuizi gani kuashiria amegoma?
Anasema sitaki?
Huyo atakuwa amezimia anawa ektia tu
Spiritual mechanismEee hayo mawe yanafanyaje kazii, yaani mechanism yake ni ipi had msipate ajali.
Ikitaka kutoke ajali yanafunga breki hayo mawe.
Tupe darasa.