love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Hao wanao unda space craft ni wajomba zakoNani kaongelea ulaya sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wanao unda space craft ni wajomba zakoNani kaongelea ulaya sasa.
Watu mliolimbuka na sayansi uchwara za alternative to practical mna shida sanaWatu wanapenda stori za kufikirika
Shida unassume mambo..... Ama ndo mila zenyeweHao wanao unda space craft ni wajomba zako
Subiri ukue kudogo utajua maiti inaongea na kukasiri ama kufurahi .Wait...
Unasema Marehemu anagoma kuzikwa?
Anagomaje?
Anavyogoma anaweka kizuizi gani kuashiria amegoma?
Anasema sitaki?
Huyo atakuwa amezimia anawa ektia tu
Tena mwambie kuna Maiti zingine zikiagwa na Mtu mbaya ( aliyesababisha Kifo chake ) wakati huyo Mtu anaeenda Kuaga Maiti hugeuza Shingo au hutoa Machozi.Subiri ukue kudogo utajua maiti inaongea na kukasiri ama kufurahi .
Hayo yote yalifanyika na ajali ilitokea na marehemu alienda na marehemu kadhaa akiwemo suka na tingo wake.1. Chukua Jiwe Dogo rusha upande wa mbele lilipo Jeneza Marehemu wako hata kama hakutaka Kusafirishwa Kwao atafika tu na wala hamtadhurika njiani na Gari yenu haitopata Ajali.
2. Chukua Jiwe Kubwa liweke Juu ya Jeneza hapo mnafika nae Kijijini Kwao Salama na wala hamtopata Jambo lolote baya Njiani hasa Ajali.
3. Mkimuingiza Marehemu ndani ya Gari lenu au lile mliloliandaa hakikisheni mnaanza Kuingiza ule upande wa Miguu ( na siyo Kichwa ) na hapo atafika na hakuna ambaye atadhurika au Ajali mbaya kutokea.
Atakayefuatisha hivi nilivyoelekeza hapa na bado Marehemu akakataa kwenda Kwao nakuruhusu Unidai Kiasi chochote kile cha Pesa na nitakupa kama ipo Mfukoni.
Usisujudu Miungu mingine ila mimi tu.1. Chukua Jiwe Dogo rusha upande wa mbele lilipo Jeneza Marehemu wako hata kama hakutaka Kusafirishwa Kwao atafika tu na wala hamtadhurika njiani na Gari yenu haitopata Ajali.
2. Chukua Jiwe Kubwa liweke Juu ya Jeneza hapo mnafika nae Kijijini Kwao Salama na wala hamtopata Jambo lolote baya Njiani hasa Ajali.
3. Mkimuingiza Marehemu ndani ya Gari lenu au lile mliloliandaa hakikisheni mnaanza Kuingiza ule upande wa Miguu ( na siyo Kichwa ) na hapo atafika na hakuna ambaye atadhurika au Ajali mbaya kutokea.
Atakayefuatisha hivi nilivyoelekeza hapa na bado Marehemu akakataa kwenda Kwao nakuruhusu Unidai Kiasi chochote kile cha Pesa na nitakupa kama ipo Mfukoni.
GENTAMYCINE umetulisha matango pori Murra MINOCYCLINE weeh,1. Chukua Jiwe Dogo rusha upande wa mbele lilipo Jeneza Marehemu wako hata kama hakutaka Kusafirishwa Kwao atafika tu na wala hamtadhurika njiani na Gari yenu haitopata Ajali.
2. Chukua Jiwe Kubwa liweke Juu ya Jeneza hapo mnafika nae Kijijini Kwao Salama na wala hamtopata Jambo lolote baya Njiani hasa Ajali.
3. Mkimuingiza Marehemu ndani ya Gari lenu au lile mliloliandaa hakikisheni mnaanza Kuingiza ule upande wa Miguu ( na siyo Kichwa ) na hapo atafika na hakuna ambaye atadhurika au Ajali mbaya kutokea.
Atakayefuatisha hivi nilivyoelekeza hapa na bado Marehemu akakataa kwenda Kwao nakuruhusu Unidai Kiasi chochote kile cha Pesa na nitakupa kama ipo Mfukoni.
Sijasema umesema, mi nimeandika tu
Hii niliwahi kuambiwa na nikafuata miaka ya 90 nilikuwa nina daladala ilikuwa bado nzuri ila matairi yalikuwa hoi sana. Nikapata tenda hiyo Dar-Songea kupeleka maiti. Wazee pale Temeke tulipoanza safari wakanipa huu mtonyo nikafuata, hakukuwa na tatizo njiani. Kazi ilikuwa siku ya kurudi.1. Chukua Jiwe Dogo rusha upande wa mbele lilipo Jeneza Marehemu wako hata kama hakutaka Kusafirishwa Kwao atafika tu na wala hamtadhurika njiani na Gari yenu haitopata Ajali.
2. Chukua Jiwe Kubwa liweke Juu ya Jeneza hapo mnafika nae Kijijini Kwao Salama na wala hamtopata Jambo lolote baya Njiani hasa Ajali.
3. Mkimuingiza Marehemu ndani ya Gari lenu au lile mliloliandaa hakikisheni mnaanza Kuingiza ule upande wa Miguu ( na siyo Kichwa ) na hapo atafika na hakuna ambaye atadhurika au Ajali mbaya kutokea.
Atakayefuatisha hivi nilivyoelekeza hapa na bado Marehemu akakataa kwenda Kwao nakuruhusu Unidai Kiasi chochote kile cha Pesa na nitakupa kama ipo Mfukoni.
Tatizo humu inapokuja mada yenye viashiria vya ushirikina wengi mko too emotionalWatu mliolimbuka na sayansi uchwara za alternative to practical mna shida sana
Kama ukikua unakuwa na mawazo kama yako basi mi nachagua niendelee tu kuwa mdogoSubiri ukue kudogo utajua maiti inaongea na kukasiri ama kufurahi .
Huwa sichoki kujifunza maarifa mapya hasa haya ya upande wa pili yasiyo na ithibati za kisayansi1. Chukua Jiwe Dogo rusha upande wa mbele lilipo Jeneza Marehemu wako hata kama hakutaka Kusafirishwa Kwao atafika tu na wala hamtadhurika njiani na Gari yenu haitopata Ajali.
2. Chukua Jiwe Kubwa liweke Juu ya Jeneza hapo mnafika nae Kijijini Kwao Salama na wala hamtopata Jambo lolote baya Njiani hasa Ajali.
3. Mkimuingiza Marehemu ndani ya Gari lenu au lile mliloliandaa hakikisheni mnaanza Kuingiza ule upande wa Miguu ( na siyo Kichwa ) na hapo atafika na hakuna ambaye atadhurika au Ajali mbaya kutokea.
Atakayefuatisha hivi nilivyoelekeza hapa na bado Marehemu akakataa kwenda Kwao nakuruhusu Unidai Kiasi chochote kile cha Pesa na nitakupa kama ipo Mfukoni.
Unataka iwe confirmed kwa njia gani!?Tatizo humu inapokuja mada yenye viashiria vya ushirikina wengi mko too emotional
Hizi mambo zimesemwa sana humu lakini hakuna hata moja ambayo lililowahi kuwa confirmed kuwa ni kweli
Zaidi tunaona nyingi zimekuja kuwa debunked lakini bado watu wamekuwa nyuma kukubali kuwa hizo stori ni za kufikirika.
[emoji3] ni maarifa mapya tunapaswa kuyapokea kisha tuyafanyie majaribio kwa vitendo nitatafuta wiki moja nishashinde pale mochwari ya MuhasKichwa kinatangulia bhana, acha hizo
CC Dr. Mzizi mkavu & Mshana jr the big IQ
Yeyote itayoweza kuonesha ni ukweliUnataka iwe confirmed kwa njia gani!?
Wewe jamaa utakuwa ni GWIJI1. Chukua Jiwe Dogo rusha upande wa mbele lilipo Jeneza Marehemu wako hata kama hakutaka Kusafirishwa Kwao atafika tu na wala hamtadhurika njiani na Gari yenu haitopata Ajali.
2. Chukua Jiwe Kubwa liweke Juu ya Jeneza hapo mnafika nae Kijijini Kwao Salama na wala hamtopata Jambo lolote baya Njiani hasa Ajali.
3. Mkimuingiza Marehemu ndani ya Gari lenu au lile mliloliandaa hakikisheni mnaanza Kuingiza ule upande wa Miguu ( na siyo Kichwa ) na hapo atafika na hakuna ambaye atadhurika au Ajali mbaya kutokea.
Atakayefuatisha hivi nilivyoelekeza hapa na bado Marehemu akakataa kwenda Kwao nakuruhusu Unidai Kiasi chochote kile cha Pesa na nitakupa kama ipo Mfukoni.
kama alishasema akiwa hai asipelekwe kuzikwa kwao kwanini alazimishwe baada ya kifo1. Chukua Jiwe Dogo rusha upande wa mbele lilipo Jeneza Marehemu wako hata kama hakutaka Kusafirishwa Kwao atafika tu na wala hamtadhurika njiani na Gari yenu haitopata Ajali.