Elimu ya Bure kwa Wasafirisha Maiti zinazogoma kwenda Kuzikwa Kwao ili zisikudhuru kwa Ajali mbaya barabarani

Wait...

Unasema Marehemu anagoma kuzikwa?

Anagomaje?

Anavyogoma anaweka kizuizi gani kuashiria amegoma?

Anasema sitaki?

Huyo atakuwa amezimia anawa ektia tu
Subiri ukue kudogo utajua maiti inaongea na kukasiri ama kufurahi .
 
Tena mwambie kuna Maiti zingine zikiagwa na Mtu mbaya ( aliyesababisha Kifo chake ) wakati huyo Mtu anaeenda Kuaga Maiti hugeuza Shingo au hutoa Machozi.

Acha Watu wadhani haya mambo hayapo na hapa tunatania tu wakati Elimu niliyoitoa hapa ni Kubwa na inafanya Kazi kwa 100% kama Marehemu akileta Usumbufu njiani akiwa anasafirishwa Kijijini Kwao kwa Maziko.
 
1. Chukua Jiwe Dogo rusha upande wa mbele lilipo Jeneza Marehemu wako hata kama hakutaka Kusafirishwa Kwao atafika tu na wala hamtadhurika njiani na Gari yenu haitopata Ajali.

2. Chukua Jiwe Kubwa liweke Juu ya Jeneza hapo mnafika nae Kijijini Kwao Salama na wala hamtopata Jambo lolote baya Njiani hasa Ajali.

3. Mkimuingiza Marehemu ndani ya Gari lenu au lile mliloliandaa hakikisheni mnaanza Kuingiza ule upande wa Miguu ( na siyo Kichwa ) na hapo atafika na hakuna ambaye atadhurika au Ajali mbaya kutokea.

Atakayefuatisha hivi nilivyoelekeza hapa na bado Marehemu akakataa kwenda Kwao nakuruhusu Unidai Kiasi chochote kile cha Pesa na nitakupa kama ipo Mfukoni.
Hayo yote yalifanyika na ajali ilitokea na marehemu alienda na marehemu kadhaa akiwemo suka na tingo wake.

Huna jipya musee.
 
1. Chukua Jiwe Dogo rusha upande wa mbele lilipo Jeneza Marehemu wako hata kama hakutaka Kusafirishwa Kwao atafika tu na wala hamtadhurika njiani na Gari yenu haitopata Ajali.

2. Chukua Jiwe Kubwa liweke Juu ya Jeneza hapo mnafika nae Kijijini Kwao Salama na wala hamtopata Jambo lolote baya Njiani hasa Ajali.

3. Mkimuingiza Marehemu ndani ya Gari lenu au lile mliloliandaa hakikisheni mnaanza Kuingiza ule upande wa Miguu ( na siyo Kichwa ) na hapo atafika na hakuna ambaye atadhurika au Ajali mbaya kutokea.

Atakayefuatisha hivi nilivyoelekeza hapa na bado Marehemu akakataa kwenda Kwao nakuruhusu Unidai Kiasi chochote kile cha Pesa na nitakupa kama ipo Mfukoni.
Usisujudu Miungu mingine ila mimi tu.

Haya yote uliyoyaandika kwa wakristo yalikwisha pale Kalivari, Damu ya Yesu aliye hai inanema mema, mtangulize Mungu katika maisha yako - hakika hatakuacha.
 
1. Chukua Jiwe Dogo rusha upande wa mbele lilipo Jeneza Marehemu wako hata kama hakutaka Kusafirishwa Kwao atafika tu na wala hamtadhurika njiani na Gari yenu haitopata Ajali.

2. Chukua Jiwe Kubwa liweke Juu ya Jeneza hapo mnafika nae Kijijini Kwao Salama na wala hamtopata Jambo lolote baya Njiani hasa Ajali.

3. Mkimuingiza Marehemu ndani ya Gari lenu au lile mliloliandaa hakikisheni mnaanza Kuingiza ule upande wa Miguu ( na siyo Kichwa ) na hapo atafika na hakuna ambaye atadhurika au Ajali mbaya kutokea.

Atakayefuatisha hivi nilivyoelekeza hapa na bado Marehemu akakataa kwenda Kwao nakuruhusu Unidai Kiasi chochote kile cha Pesa na nitakupa kama ipo Mfukoni.
GENTAMYCINE umetulisha matango pori Murra MINOCYCLINE weeh,
 
Hii niliwahi kuambiwa na nikafuata miaka ya 90 nilikuwa nina daladala ilikuwa bado nzuri ila matairi yalikuwa hoi sana. Nikapata tenda hiyo Dar-Songea kupeleka maiti. Wazee pale Temeke tulipoanza safari wakanipa huu mtonyo nikafuata, hakukuwa na tatizo njiani. Kazi ilikuwa siku ya kurudi.
 
Watu mliolimbuka na sayansi uchwara za alternative to practical mna shida sana
Tatizo humu inapokuja mada yenye viashiria vya ushirikina wengi mko too emotional

Hizi mambo zimesemwa sana humu lakini hakuna hata moja ambayo lililowahi kuwa confirmed kuwa ni kweli

Zaidi tunaona nyingi zimekuja kuwa debunked lakini bado watu wamekuwa nyuma kukubali kuwa hizo stori ni za kufikirika.
 
Subiri ukue kudogo utajua maiti inaongea na kukasiri ama kufurahi .
Kama ukikua unakuwa na mawazo kama yako basi mi nachagua niendelee tu kuwa mdogo

Mnakua vibaya
 
1. Chukua Jiwe Dogo rusha upande wa mbele lilipo Jeneza Marehemu wako hata kama hakutaka Kusafirishwa Kwao atafika tu na wala hamtadhurika njiani na Gari yenu haitopata Ajali.

2. Chukua Jiwe Kubwa liweke Juu ya Jeneza hapo mnafika nae Kijijini Kwao Salama na wala hamtopata Jambo lolote baya Njiani hasa Ajali.

3. Mkimuingiza Marehemu ndani ya Gari lenu au lile mliloliandaa hakikisheni mnaanza Kuingiza ule upande wa Miguu ( na siyo Kichwa ) na hapo atafika na hakuna ambaye atadhurika au Ajali mbaya kutokea.

Atakayefuatisha hivi nilivyoelekeza hapa na bado Marehemu akakataa kwenda Kwao nakuruhusu Unidai Kiasi chochote kile cha Pesa na nitakupa kama ipo Mfukoni.
Huwa sichoki kujifunza maarifa mapya hasa haya ya upande wa pili yasiyo na ithibati za kisayansi
 
Tatizo humu inapokuja mada yenye viashiria vya ushirikina wengi mko too emotional

Hizi mambo zimesemwa sana humu lakini hakuna hata moja ambayo lililowahi kuwa confirmed kuwa ni kweli

Zaidi tunaona nyingi zimekuja kuwa debunked lakini bado watu wamekuwa nyuma kukubali kuwa hizo stori ni za kufikirika.
Unataka iwe confirmed kwa njia gani!?
 
1. Chukua Jiwe Dogo rusha upande wa mbele lilipo Jeneza Marehemu wako hata kama hakutaka Kusafirishwa Kwao atafika tu na wala hamtadhurika njiani na Gari yenu haitopata Ajali.

2. Chukua Jiwe Kubwa liweke Juu ya Jeneza hapo mnafika nae Kijijini Kwao Salama na wala hamtopata Jambo lolote baya Njiani hasa Ajali.

3. Mkimuingiza Marehemu ndani ya Gari lenu au lile mliloliandaa hakikisheni mnaanza Kuingiza ule upande wa Miguu ( na siyo Kichwa ) na hapo atafika na hakuna ambaye atadhurika au Ajali mbaya kutokea.

Atakayefuatisha hivi nilivyoelekeza hapa na bado Marehemu akakataa kwenda Kwao nakuruhusu Unidai Kiasi chochote kile cha Pesa na nitakupa kama ipo Mfukoni.
Wewe jamaa utakuwa ni GWIJI
 
kama alishasema akiwa hai asipelekwe kuzikwa kwao kwanini alazimishwe baada ya kifo
 
Back
Top Bottom