RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
yes sahihi kabisaKwanini utegemee hao wasomi wetu waweze kuongea vizuri kiingereza? Ni kwa sababu tu kiingereza kimetumika katika masomo yao?
Professor lazima awe kama Jacob Janabi,si vinginevyo mdau.Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.
Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.
Nina mashaka.
Kwani maprofesa wa uingereza huwa wanafundishwa kiswahili toka chekechea??Tanzania kama wewe profesa na hujui kingereza wewe ni SLOW tena kiande, maana umefundishwa kiswahili chekechea miaka miwili, primary miaka 7,secondary miaka 6,degree mitatu hadi 5,bado masters,PhD,kingereza bado kama kama ndalichako???Angeongea Kiswahili kibovu ndipo ingekuwa hoja!
Kwani maprofesa wa Uingereza wanajua Kiswahili?
Kiingereza ndio uprofesa? Katafute maprofesa wa Urusi na Uchina au Scandinavian uone kiingereza Chao! Kiingereza ni lugha tuKuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.
Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.
Nina mashaka.
Sasa kama kiingereza kutumika katika masomo kunafanya mtu aweze kuongea kiingereza kwa ufasaha basi watanzania tungekuwa hatuna shida ya kukiongea kiingereza kwa ufasaha lakini uhalisia haupo hivyo.yes sahihi kabisa
Ni udhihirisho wa kiwango cha ujinga uliopo kwa baadhi ya watz kuamini kuwa kujua na kuongea kiingereza ndio usomi,...hovyo sana.Angeongea Kiswahili kibovu ndipo ingekuwa hoja!
Kwani maprofesa wa Uingereza wanajua Kiswahili?
Neno mazingira unalielewaje? Watoto wa shule hizo walimu wao ni fluent na wengine wametoka nchi za ulaya, wanaonhea 24/7 lugha hiyo, kiufupi wako mazingira ya ulaya ila ndani ya tanzania, hao kuwa fluent katika lugha wala si ajabu. Sisi wengine hadi unafika level ya Phd sehemu pekee unaitumia lugha ni wakati wa official duties tena zingine zinaenda kwa kiswahili. Sio ajabu kuwa profesa na usimudu kiingereza vyemaUmedandia bila kujua hoja. Sisi tunasoma kiingereza tangu darasa la kwanza,na kuanzia sekondari tunafundishwa kila kitu kwa kiingereza. Kwa nini usielewe na kuongea vizuri? (hapa sisemi uongee kama mzungu). Mbona watoto wa shule za kimataifa wanaongea vizuri? Wako London? Kenya watu ambao hawajaenda shule hawajui english. Tuache visingizio.
Somo lifundishwe kwa kimakonde, ufaulu kwa kiwango cha juu kabisa lakini huwezi kuongea kimakonde!Kiingereza ni lugha kama zilivyo lugha nyingine mf. Kimakonde, kinyakyusa, kikurya n.k, si lazima uijue lugha hiyo kinaga ubaga kama si mwenyeji wa maeneo ambayo lugha hiyo inazungumzwa. Tuache fikra duni.
Noooo hilo nalo ni la kuhojiJambo la kuhoji hapo ni iwapo uprofesa wake ni halali ama la.
Kutojua kwake Inglishi hakuna uhusiano wowote na uprofesa wake.
huwez ukasomea mtaala wa english tokea msingi mpaka level ya prof na bado unayumba.KWA NINI USISEME KWAMBA AWE ANAJUA KIFARANSA, KICHINA, KIRUSI AU KIBELGIJI AU KIJERUMANI?
Hapo ndo akili mbovu huzaa akili mbovu...
tuweni makini!
lugha si kipimo cha elimu, tusiwe vibaraka kupitiliza
Unachowasilisha kitaaluma ndio kinatizamwa. Machapisho hayo umahiri wa lugha sio kipaumbele. Hata hivyo wengi huandika na kuwapa wenzao kuifanyia proof reading na kunyoosha hapa na pale dosari za lughaMachapisho ambayo huandikwa kwa kiingereza aliwezaje?
Maana mtu hadi anafikia kuwa profesa amefanya research za kutosha ambazo huandikwa kwa kiingereza.
Ulivyo na ujinga,nani alikwambia kuongea kiingereza ndio kipimo cha elimu?Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.
Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.
Nina mashaka.
Prof na kiingereza wapi na wapi, watu wanakariri bila kuelewa.Inatakiwa ujitazame wewe na elimu yako kwanza kw kushindwa kutofautisha kuwa professor na lugha ya kiingereza
Sisemu mitano tena πππKuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.
Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.
Nina mashaka.
Ni ujinga kuamini kiingereza ndiyo kipimo cha usomiProf na kiingereza wapi na wapi, watu wanakariri bila kuelewa.