Elon Musk Anakuja na Usafiri wa Kuzunguka Duniani Kote Ndani ya Saa Moja! Unaweza kufanya Kazi Marekani Ukitokea na Kurudi Da es Salaam Kila Siku!

Gwappo Mwakatobe

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2019
Posts
1,730
Reaction score
2,230
Soma hapa: "Elon Musk wants to change the way we fly. The billionaire tech mogul is pushing forward with SpaceX’s plans to launch “Earth to Earth” space travel, offering intercontinental flights that take off like a rocket and land just minutes later across the globe.

Musk says his dream of rocketing passengers across the world in under an hour on the Starship rocket is “now possible” after Donald Trump’s re-election."

Huenda ndio maana kakubali kupata Uwaziri wa muda mfupi kwa Trump kwa kuwa ana uwezo wa kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja. Si ajabu kawa tajiri namba 1 duniani kote. Nasi tusikate tamaa, tuendelee kukuna vichwa ili tuwe wabunifu, wagunduzi au waigaji kama China - mdogo mdogo.
 
Huyo jamaa hamna kitu, yuko overrated sana. Ameshakuja na blah blah kibao za kiuvumbuzi lakini kiuhalisia hakuna kitu kinachofanikiwa.
Kiufupi Elon Musk ni muongo muongo, mjanja mjanja na mwizi kimtindo.
 
Hyper loop aliishia wapi?
 
Huenda ndio maana kakubali kupata Uwaziri wa muda mfupi kwa Trump kwa kuwa ana uwezo wa kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja. Si ajabu kawa tajiri namba 1 duniani kote. Nasi tusikate tamaa, tuendelee kukuna vichwa ili tuwe wabunifu, wagunduzi au waigaji kama China - mdogo mdogo.🔨
 
Huyo jamaa hamna kitu, yuko overrated sana. Ameshakuja na blah blah kibao za kiuvumbuzi lakini kiuhalisia hakuna kitu kinachofanikiwa.
Kiufupi Elon Musk ni muongo muongo, mjanja mjanja na mwizi kimtindo.
Ugunduzi si masuala ya simba na Yanga kwamba unasema leo linakuwa kesho, inawezekana wanasayansi wakapanga jambo leo likatekelezeka miaka 10 au 20 baadae.

Musk yupo vizuri, napenda anavyowaza nje ya box na haamini katika kushindwa.
 
Sisi pia tuna aina yetu ya ubunifu katika masuala mbali mbali, tumebuni kitu kinaitwa Chawa, nafikiri hakijawahi kutokea duniani kokote

View attachment 3152135
Uchafu kama huu inabidi uwepo ili wenye akili waweza kutumia akili zao. Kila wakiangalia nguchiro kama hizi wanapata ari ya kujituma zaidi ili vizazi vyao visije kuwa kama hao ng'ombe.
 
Huyo jamaa hamna kitu, yuko overrated sana. Ameshakuja na blah blah kibao za kiuvumbuzi lakini kiuhalisia hakuna kitu kinachofanikiwa.
Kiufupi Elon Musk ni muongo muongo, mjanja mjanja na mwizi kimtindo.
Ana 'tech bros" wengi sana wanaoamini kila kitu anachosema!
 
Mungu fundi mwaisa ona ameumba jitu lina akili hadi zinamwagikaaa..

Imagine genius mmoja tu huyu anasumbua dunia je wangekuwa 100 hawa dunia isingekalika sijui tungekuwa naishi Pluto huko..

Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
 
Hapa kuna wengine walitakiwa wawe kwa ajiri ya condom tu wenyewe wakajipenyeza kwa kasi ya bunduki kuja duniani..........na ndio wanao tujazia seva .........mambo ya kufurahishana yanapogeuka seriously
 
Ugunduzi si masuala ya simba na Yanga kwamba unasema leo linakuwa kesho, inawezekana wanasayansi wakapanga jambo leo likatekelezeka miaka 10 au 20 baadae.

Musk yupo vizuri, napenda anavyowaza nje ya box na haamini katika kushindwa.
Ni ujinga kuamini Elon Musk anaweza kugundua vitu vipya tofauti tofauti vya kisayansi. Elon Musk hana akili hizo wala uwezo huo. Yeye amewekeza pesa zake nyingi kwenye project za kitafiti na kuzalisha bidhaa na huduma za kiteknolojia zilizotokana na gunduzi za watu wengine hususani young scientists.

Elon musk yuko overrated
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…