Elon Musk Anakuja na Usafiri wa Kuzunguka Duniani Kote Ndani ya Saa Moja! Unaweza kufanya Kazi Marekani Ukitokea na Kurudi Da es Salaam Kila Siku!

Huyo jamaa hamna kitu, yuko overrated sana. Ameshakuja na blah blah kibao za kiuvumbuzi lakini kiuhalisia hakuna kitu kinachofanikiwa.
Kiufupi Elon Musk ni muongo muongo, mjanja mjanja na mwizi kimtindo.
Duuh unasema blah blah wakati ndiye tajiri no moja kama sikosei.
 
Duuh unasema blah blah wakati ndiye tajiri no moja kama sikosei.
Hujakosea, ndiye anayeongoza kwa utajiri hivi sasa. Ana zaidi ya trilioni 700 kwa fedha zetu. Yaani anaweza kugharamia bajeti yote ya serikali yetu kwa takribani miaka 15 bila ya sisi kutoa hata shillingi moja!
 
Kwa hiyo tunaweza mkodishia nchi hata kwa miaka 10 tu then anaweza ibadilosha kabisa....
 
Kwa hiyo tunaweza mkodishia nchi hata kwa miaka 10 tu then anaweza ibadilosha kabisa....
Ndiyo, ila anapenda kusaidia bure. Wakati wa kampeni ya Trump alikuwa anatoa bilioni 2.5 bure kila siku kwa mtu mmoja ili asaidie kuhamasisha watu wapige kura.
 
Huyo jamaa hamna kitu, yuko overrated sana. Ameshakuja na blah blah kibao za kiuvumbuzi lakini kiuhalisia hakuna kitu kinachofanikiwa.
Kiufupi Elon Musk ni muongo muongo, mjanja mjanja na mwizi kimtindo.
Hauko sawa.
Sio kila wazo hufanikiwa.

Mbina hutaji yaliyofanikishwa?
 
Mtu ni kapuku wa kutupwa ambaye hata kiwembe tu cha kunyolea mavuzi yake ameshindwa kubuni ila yuko busy anamponda tajiri wa Dunia, "eti Elon hamna kitu pale."
Pathetic.
na bando la shamej yake.
mpaka sasa hata zile rocket za elon zinaweza kutumika tena mana kaziundiq projectile combustion engine ambavyo saa ya kurudi dunian inajiset inatua kwneye ma silo yale
.sasa jamaa kakaa zake kibarazan kwao mwanagati anaanza kukandia
 
Wewe umevaa kipedo unakuna ndevu tu huku ukinywa kahawa na kashata unamponda Elon Musk. Yaani hata akili ndogo tu ya kufikiria huna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…