Elon Musk: Watumiaji wa Twitter kulipa ada ya $8 kila mwezi kumiliki blue tick

Elon Musk: Watumiaji wa Twitter kulipa ada ya $8 kila mwezi kumiliki blue tick

Acha siasa , kwa Sasa kila kampuni hisa zake zimeporomoka ,
Cheki hisa za Netflix
Yani mwaka jana muda kama huu Mark alikuwa na utajiri wa $136B...Sasaivi ana utajiri wa $34B...Yani kapoteza zaidi ya $100B kwa mwaka mmoja tu, Halafu bado tupo hapa tunabishana kama hajaporomoka au la! Ujue muda ni mali we jamaa.
 
Mark utajiri wake umeshuka kwa dollar billion 70, thamani ya meta kwenye soko la hisa inaanguka kila siku, amejiingiza kwenye metaverse kiasi kwamba watu wengi akiwemo wafanyakazi wa meta wanaona kama wanapotea.
Report yao ya hivi karibuni inasema karibu 90% ya watu wanaovisit metaverse hawarudi na kuna baadhi ya sehemu hazijawahi hata kuwa visited.

Sio Google , sio Netflix na hata hao Tesla wenyewe unaowatetea Hisa zao zimeshuka.

Nima kampuni ya tekno karibia ya 95% , Yana yanapitia magumu kipindi hichi Hadi kufikia kufukuza wafanyakazi wake
 
Hili lifreemason lililokubuhu halina shukran na fadhila kwenye bara lililomleta duniani kumlea nakumfanya awepo alipo hapo leo. Angalau angeanzisha viwanda vya space x na tesla Africa ili watu wapate ajira. Ama agawe msaada wa dolla billion 100 katika bara letu.

Pia aajiri nusu ya bodi ya Twitter wamatumbi.

Hana msaada wowote kwetu. Msimjadili, kumshobokea na kumshadadadia.

Na sasa hivi waafrika tuwe wachoyo. Tusiwe wakarimu kwa kukaribisha na kuruhusu wageni barani kwetu kuja kuzaa vitoto vya ajabu na kiherehere vikishakuwa na kufanikiwa vinatoroka na nyota zetu nakutusahau.

Naomba kabisa Twitter ifail pamoja na tesl
Dalili ya Umaskin hiyo tafuta pesa mkuu usaidie ndugu zako kwanza kabla hujamlaumu yeye
 
Yani mwaka jana muda kama huu Mark alikuwa na utajiri wa $136B...Sasaivi ana utajiri wa $34B...Yani kapoteza zaidi ya $100B kwa mwaka mmoja tu, Halafu bado tupo hapa tunabishana kama hajaporomoka au la! Ujue muda ni mali we jamaa.
We ni mjinga

Tazama hisa za Google kama hazija shuka
Tazama hisa za Tesla kama hazija shuka
Tazama hisa za Amazon Kama hizajashuka

Karibia ya 95% ya kampuni za tekno zimefilisika kutokana na uchumi wa Dunia kushuka
 
Hahaha...huyu huyu mark anayefirisika? Hisa za meta zinashuka kila siku?
Kashfa za kutojali privacy zimamwaribia mpaka advertisers wamemkimbia?
Huyuhuyu anayemwaga hela zote za kampuni kwenye project ya VR ambayo haioneshi mafanikio yoyote??

Kama hujui Mark anaelekea kupotea na kufirisika kabisa...Karata zake zote saivi anazitupankwenye VR metaverse, ikifeli metaverse basi ujue ndo Mark bye bye.
We ni muongo mbona hajaafail bankruptcy ujinga ni tatizo kubwa sana Tanzania
 
We ni mjinga

Tazama hisa za Google kama hazija shuka
Tazama hisa za Tesla kama hazija shuka
Tazama hisa za Amazon Kama hizajashuka

Karibia ya 95% ya kampuni za tekno zimefilisika kutokana na uchumi wa Dunia kushuka
Niambie tajiri mwingine aliyepoteza $100B mwaka huu
 
We ni mjinga

Tazama hisa za Google kama hazija shuka
Tazama hisa za Tesla kama hazija shuka
Tazama hisa za Amazon Kama hizajashuka

Karibia ya 95% ya kampuni za tekno zimefilisika kutokana na uchumi wa Dunia kushuka
Ni mpumbavu hajui kitu kushuka kwa hisa yeye ndo anaona mtu amefilisika, kiukwel kwenye social media mark Zuckerberg ndo anazijulia
 
Trend ndio inaelekea huko kwenye kufirisika.
Kufilisila lazima angekua amefile bankruptcy unajua unachoongea mkuu,

kufilisika kwa makampuni ya Zuckerberg kungeleta shock kubwa kwenye stock exchange na ingekua habari kubwa
 
Mwache arejeshe pesa aliyonunulia... hakuwa mjinga kupiga hesabu ya watumiaji halisi na maroboti

Mnao penda vya bure bakini JF...!
Nimegundua ndo maana alikua analalamika juu ya Account fake....!

Kulipia Matangazo+kulipia blue tick× more than 200 millions users...!

Baada ya miaka michache kesharudisha pesa yake.
 
Biashara kama hizi Elon angemwachia Mark coz anajua nini anafanya
Kama Elon angejua nini anafanya , basi wasingeiuza PayPal , ili iwe baba wa online payment
Kuiuza Paypal ndo kumemfikisha hapo Mkuu.
 
Kufilisila lazima angekua amefile bankruptcy unajua unachoongea mkuu,

kufilisika kwa makampuni ya Zuckerberg kungeleta shock kubwa kwenye stock exchange na ingekua habari kubwa
Poa, anafanya vizuri mark na makampuni yake yanaendelea kufanya vizuri....tuishie hapo, wabongo ujuaji mwingi
 
Poa, anafanya vizuri mark na makampuni yake yanaendelea kufanya vizuri....tuishie hapo, wabongo ujuaji mwingi
Sasa unataka kulazimisha yame bankruptcy hiyo ni akili au matope, kufanya vibaya kwa kampuni sio ku-bankruptcy
 
Back
Top Bottom