Elon Musk yupo hatua za mwisho kutengeneza mke bandia

Kwamba Wanawake wameisha Duniani hadi uanze kudate na Robot.

Hivi robot linaweza kunipa mauno yale napata kwa Warembo wetu wa Kibongo?
Wapo ila ni cost ..... plus matatizo mengi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna wengine watanunua mawili, mmoja awe mke na mmoja afanye mchepuko.
 
Humo ndani ya roboti bila shaka wanavuvia roho za mapepo,hawa jamaa ni wahuni sana ,msiingie kichwa kichwa.
 
Wanawake poleni sana ,Sasa mtajioa baada ya kupata mshindani wenu ambae ni Mke Roboti..
---

Kampuni inayomilikiwa na bilionea Elon Musk, ipo kwenye hatua za mwisho mwisho za kukamilisha mradi wake wa kutengeneza mke roboti, ‘robot wife’ atakayeuzwa sehemu mbalimbali Duniani ili kuwasaidia wanaume usumbufu wa kuoa na kujikuza kiuchumi.

Mradi huo, unatarajiwa kukamilika rasmi Septemba 2023 ambapo wanawake hao watakuwa wanapatikana madukani na wanatarajia kufikishwa Barani Afrika ifikapo Novemba 2023.

Kampuni hiyo inasema mtu atakayemnunua robot awe mke wake atakuwa ameokoa matumizi ya pesa kwa kiasi kikubwa, ukilinganisha na mwanamke halisi. Mke robot anatumia betri ya kuchajiwa kwa siku tatu mfululizo na kufanya kazi kwa mwezi mmoja ambapo kwa siku hizo (tatu), mwanaume hatoweza kushiriki tendo na mke wake (roboti).

Hata hivyo, ili kulala na mke roboti mmiliki atahitaji kuwa na neno maalumu la siri ‘password’, litakalomfanya amtambue kuwa ndiye mumewe na anatarajiwa kuuzwa kwa zaidi ya shilingi 7.4 milioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…