Mkatavimeo
JF-Expert Member
- Jan 3, 2011
- 2,150
- 872
Mkuu swali zito sana hili. Ngoja tusubiri majibu, naamini kabisa kuna watu wanadata na watazimwaga hapa soon!Wakuu kuna mwenye taarifa nini kinaendelea juu ya hoteli hizi kongwe? Hali ya majengo inasikitisha sana,nini kinaendelea maana ni miaka mingi mno!
kuna Wawekezaji Wazawa walinunua Embassy Hotel but awana pesa ata za kumalizia deni na ata la kuwalipa mafao wafanyakazi wake.
ununuaji similar na ule wa UDA na Simon Group.
Laiti mngejua kinachoendelea behind the walls hii nchi inasikitisha sana halafu kila kukicha nashangaa sana watu wanaosifu na kuishangilia CCM
Kunduchi Beach Hotel hii ni kama vile mwekezaji alipewa bure, serikali ya Iran ilikuwa inaidai Tanzania kwahiyo the best way ikawa ni kuichukua hiyo hoteli kama kufidia deni lao, vitu vingine vinasikitisha sana.
Hotel Agip aliyepewa hii hotel nayo inatia mashaka sana maana (Yuko Serikalini)
Embassy Hotel kapewa muhindi kama ilivyokuwa kwa New Africa Hotel
usijali, hata mimi nitajitahidi kutoharubu matumizi ya lugha pendwa.
Wakuu kuna mwenye taarifa nini kinaendelea juu ya hoteli hizi kongwe? Hali ya majengo inasikitisha sana,nini kinaendelea maana ni miaka mingi mno!
Wakuu kuna mwenye taarifa nini kinaendelea juu ya hoteli hizi kongwe? Hali ya majengo inasikitisha sana,nini kinaendelea maana ni miaka mingi mno!
Eti ndio tunaambiwa zimepata mwekezaji! Huyu mwekezaji amezijua humu JF?Zina gundu! hata wawekezaji hawazioni wanapita tu.
Atatokea msanii mwenye lugha laini atazichukua kiulaini.Kuna muhindi alinunua pale then kukawa na kesi between partners. Ingelikuwa ni mimi ningezichukua kwa serikali hoteli hizi mbili
Finest,kuna vitu vingi sana pasua kichwa juu ya hizi hoteli! Cha kushangaza wanahabari wetu hawachokonoi kujua ukweli! Wanasubiri habari za matukio!!
Nimeona wameshaanza kuizungushia uzio wa Mabati nadhani kuna ukarabati kwani wameziba hadi barabara upande mmojaNimekuwa naangalia jengo la iliyokuwa Embassy Hotel kwa muda mrefu sana sasa imefungwa na hakuna hata dalili yoyote ya kufufuliwa au kutumika kwa shughuli nyingine ya kibiashara.
Jengo lipo mahali pazuri sana lakini linasikitisha sana linavyochakaa na sina hakika kama linalipiwa kodo stahili kwa jiji. Kitendo cha kuliacha jengo hilo katika hali ile ni hasara kwa Taifa.
Nimejiuliza sana kuwa ni kitendawili cha aina gani hicho kimeshinda wakuu wote wa mkoa wa Dar-es salaam na mawaziri wa ardhi na mawaziri wakuu kwa muda mrefu kiasi hicho?
Kama kuna mwenye habari zozote kuhusu Embassy Hoteli na hili jengo kwa ujumla tunaomba atuwekee hapa.
Natanguliza shukrani zangu.