Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Narudia tena Magufuli ni kiongozi mzuri sana ila kwenye jamii ambayo haijastaarabik, lakini ni kiongozi asiyefaa kabisa katika jamii iliyostaarabika. Sijasema kama jamii ya Tanzania ni civilized or uncivilized. Jiongeze.Hakuna jamii isiyokuwa na kanuni. Sema wewe ndo unakuwa hujaelewa kanuni zao, au umezidharau. Mfano lugha kama hiyo unayotumia ya "uncivilized society" ni lugha ya dharau.
Kwa hiyo mpaka hapo unapoteza urari wa kumtathmini Magufuli. Maana jamii aliyokuwa anaiongoza wewe umeidharau. Wewe nenda kwenye jamii unayoiheshimu ndo ukawajadili huko viongozi wao.
Bado upeo wako unatia mashaka sana. Tatizo shuleni mlifundishwa 'Colonial Legacy' wakaacha 'Ujamaa Legacy" ndio upeo unadumaa sana.Nini mandate ya BOT?,hiki chombo kitakua muhimu kama kitaendeshwa bila ya urasimu wa serikali, serikali ijiondoe kabisa katika uendeshaji wa BOT, wakiwa huru wapewe jukumu kubwa la kulinda sarafu yetu ili thamani yake against major world currencies iwe kubwa
Dogo naona hujielewi, maana huelewi hata unachoandika wewe mwenyewe.Narudia tena Magufuli ni kiongozi mzuri sana ila kwenye jamii ambayo haijastaarabik, lakini ni kiongozi asiyefaa kabisa katika jamii iliyostaarabika. Sijasema kama jamii ya Tanzania ni civilized or uncivilized. Jiongeze.
Acha kulisha wadau matango pori wewe. Hujui 'system ya nchii inavyofanya kazi wewe'.Gavana wa benk kuu cheo kikubwa sana, gavana ana report kwa Rais apitii wizarani.
Katibu mkuu haingii kwa gavana kivyovyote
Ni sawa na ulinganishe katibu mkuu wa wizara ya ulinzi. Na mkuu wa majeshi CDF nani yupo juu
Ama ulinganishe katibu mkuu wizara wa mambo ya ndani na IGP nani yupo juu ?
Sio katika nchi za kijamaa, ni katika nchi zote.Bado upeo wako unatia mashaka sana. Tatizo shuleni mlifundishwa 'Colonial Legacy' wakaacha 'Ujamaa Legacy" ndio upeo unadumaa sana.
Hakunaga 'Independent Departments' ktk 'Nchi zenye asili ya Kijamaa kuna kitu inaitwa 'Direct Control of State'.
Kinacholetaga shida ni uteule wa Rais. Hawa wateule wa Rais wana kawaida ya kuvimbiana. Mfano Mkurugenzi wa Hospitali ya Muhimbili anamvimbia Waziri wa Afya na Katibu wa Wizara ya Afya kwa sababu na yeye ni mteule wa Rais.Acha kulisha wadau matango pori wewe. Hujui 'system ya nchii inavyofanya kazi wewe'.
Unamchukulia poa PS wewe. Ukiskia 'Maelekezo ya Serikali' ujue Katibu Mkuu kaunguruma.
Katibu Mkuu anatoa maelekezo ya serikali kwa Taasisi zote zilizo nchini ya Wizara yake, sio wateule wote wa Rais wanaripoti kwake direct.
KM wa Defense akishusha mkwaju wa maelekezo anamlima CDF.
We nawe hamnazo. Ungekua exposure sawa ningetumia jitihada kukuelewesha.Sio katika nchi za kijamaa, ni katika nchi zote.
La sivyo utakuwa hauna dola, kama kuna chochote kinachoweza kuwepo ndani ya dola halafu kiwe huru nje ya udhibiti wa dola.
Na duniani hakuna nchi isiyokuwa ya kijamaa. Ncho zote ni za kijamaa. Hata hizo nchi za Magharibi nazo ni za kijamaa ukishaelewa vizuri ujamaa ni nini. Sio ule ujamaa wa kufundishwa kwenye DS.
Ndo nimekwambia "Sio ule ujamaa wa kufundishwa kwenye DS."We nawe hamnazo. Ungekua exposure sawa ningetumia jitihada kukuelewesha.
Mfano States huwezi kukuta Rais anaingilia ishu za FBI au CIA. Kwanini? Hakunaga ule upuuzi wa ujamaa na kujitegemea. Mfano tu Kenya hapo wanajitahidi sana becuz hakukua na upuuzi wa ujamaa
Chuo kikuu UDSM ni sehemu ya kuandaa viongozi unashshangaa nini?Inaelekea ukiwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dsm ni tiketi ya kupata teuzi za kiserikali.
Kuna kitu tawala zetu kinajenga au kinabomoa?
Acha kulisha wadau matango pori wewe. Hujui 'system ya nchii inavyofanya kazi wewe'.
Unamchukulia poa PS wewe. Ukiskia 'Maelekezo ya Serikali' ujue Katibu Mkuu kaunguruma.
Katibu Mkuu anatoa maelekezo ya serikali kwa Taasisi zote zilizo nchini ya Wizara yake, sio wateule wote wa Rais wanaripoti kwake direct.
KM wa Defense akishusha mkwaju wa maelekezo anamlima CDF.
Sasa tofauti hapo nini. Mimi nimekukubalia kuwa Magufuli ni kiongozi mzuri lakini nikaongeza ni kwa uncivilized society tu. Given Magufuli alikuwa kiongozi wa Tanzania na alikuwa kiongozi mzuri implied society aliyoiongoza ni uncivilized society. Kwani uncivilized society ni tusi? Sasa sheria zinasema usiibe lakini watu wanaiba, civilization iko wapi hapo? Fanya kazi, watu hawataki kufanya kazi, civilization iko wapi hapo? Msifanye biashara ya mihadarati, watu wanafanya, then civilization iko wapi hapo? Only kwa jamii hiyo (isiyopenda kuishi kwa kugeshimu sheria na kanuni), then Magufuli ni perfect and best president.Dogo naona hujielewi, maana huelewi hata unachoandika wewe mwenyewe.
Nime-screenshot ulichoandika ili usije ukahariri. Hebu soma tena labda unaweza ukaelewa uliandika nini.
View attachment 2472780
Umetembea mikoa mingapi au Wilaya ngapi za Tanzania? Kukukumbusha tu size ya Tanzania ni kubwa kuliko combined nchi za Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi. Population ya Zambia haijafika watu milioni 20, Tanzania ni zaidi ya milioni 60. Mpangilio huu wa mikoa, Wilaya, kata na vijiji huenda ndio unaona nchi yetu haina maeneo yenye vikundi vya uasi na kuhatarisha amani kama unsvyoskia huko Congo, Uganda, Sudani nk. Kweli, Serikali kubwa ni mzigo lakini usifanye conclusion kwa kuangalia upande mmoja tu.
Acha kujikosha, tofauti ipo na inaonekana na wewe umeiona ndo maana umeenda mbali katika kujikosha kwa kujaribu kutoa tafsiri yako ya "civilized society".Sasa tofauti hapo nini. Mimi nimekukubalia kuwa Magufuli ni kiongozi mzuri lakini nikaongeza ni kwa uncivilized society tu. Given Magufuli alikuwa kiongozi wa Tanzania na alikuwa kiongozi mzuri implied society aliyoiongoza ni uncivilized society. Kwani uncivilized society ni tusi? Sasa sheria zinasema usiibe lakini watu wanaiba, civilization iko wapi hapo? Fanya kazi, watu hawataki kufanya kazi, civilization iko wapi hapo? Msifanye biashara ya mihadarati, watu wanafanya, then civilization iko wapi hapo? Only kwa jamii hiyo (isiyopenda kuishi kwa kugeshimu sheria na kanuni), then Magufuli ni perfect and best president.
Alikuwa naibu gavana 2008-2018 kabla ya kurudi udsmHuyo mhadhiri wa UDSM hana practical experience atazingua sana
Mkuu umekosa hoja mpaka nimehisi aibu.Hiyo act naijua, na sio siri iko mtandaoni ukigugo tu unaipata. Sasa mtu "anaanzisha" wakati anaondoka? Hiyo ni sawa na Nyerere kufanya mabadiliko makubwa ya katiba ya Tanzania mwaka 1984 kuingiza Haki za Binadamu maana alijua anaondoka. Na pia ni sawa na Nyerere kutetea kuwa 20% ya watanzania waliosema wanataka vyama vingi wasikilizwe wakati yeye alivipiga marufuku kabisa.
Halafu angalia vizuri hizo tarehe. "Kuanzisha" alikofanya Mwinyi ni kusaini tu hiyo sheria. Lakini ni Mkapa ndiye aliyeanzisha haswa kwa mamlaka kuanza kufanya kazi 1/7/1996 ambapo Mkapa alikuwa ameshashika hatamu.
Zipo sheria ambazo zilisainiwa na Rais lakini hazikutekelezwa. Mfano ni sheria ya kampuni yenye mwanahisa mmoja. Ilisainiwa, lakini mpaka leo haitekelezwi.
KANDA MAALUM YA KIGOMAHizi teuzi zinaweza kukupa chuki dhidi ya watawala..Keki ya taifa ni kwa ajili ya wachache mno.
Moja kati ya kazi kubwa za BOT ni utafiti, ndio maana imekuwa tradition miaka ya hivi karibuni imekuwa kawaida kuongozwa na mtu ambaye amepita kwenye phd level. Anyways, tumuombe heri na mafanikioKweli, wengi magavana waliopita walikuwa ma Dr. na ma Profesa. Historian inakwenda kujirudia. Mnamo mwaka 1989 wakati Gavana Charles Nyirabu anastaafu, Mhe. Mwinyi alimteua Bwana Gilman Rutihinda, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha,kuwa Gavana wa Benki Kuu.
Nadhani mama anazingatia weledi na uzoefu kwenye sekta husika. Kikubwa ni matokeo. PhD sio issue.