BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Sheria ya benki kuu imesema Ili uteuliwe kuwa Gavana wa benki kikuu unatakiwa uwe na degree ya economics, finance, banking,au LawLuoga alikuwa pale kimakosa,sidhani kama anajua hata balance sheet ni.nini,
Gavan siyo lazima awe mwanauchumi ..Na hata hivyo benki juu inatakiwa wanauchumi au wanasheria kwani kunasualq la mikataba ya kimataifa ya kibaisharaBora professor wa makinikia kaondoka zake, ujinga mtupu teuzi za Magu
Hatuna nchi aisee...Katiba yetu mbovu sana
Ujinga gani huu. Unafikiri BOT wakiachwa bila kudhibitiwa na serikali ndio watasaidia uchumi wa nchi kama yetu?Nini mandate ya BOT?,hiki chombo kitakua muhimu kama kitaendeshwa bila ya urasimu wa serikali, serikali ijiondoe kabisa katika uendeshaji WA BOT, wakiwa huru wapewe jukumu kubwa la kulinda sarafu yetu ili thamani yake against major world currencies iwe kubwa
Hhahaha.....wewe jamaa bhana una ushamba fulani, kwa hiyo shida yako tujue kwamba umesoma uchumi UDSM....Natu ana shida gani? Namfahamu Kama Mwalimu wangu wa Microeconomics Udsm
NdioHhahaha.....wewe jamaa bhana una ushamba fulani, kwa hiyo shida yako tujue kwamba umesoma uchumi UDSM....
Mamkamba srNsdhani unaweza kubuni nani katoa hii comment😂. Angalia hii '...kijana kuwa na shukurani'
Unadhani nani katoa hii comment🤔.. ukiacha jina lake la jf
Sijakuelewa kamanda!Waha gang!
Huu ni mwaka wachu wamuhira!
Cdf, gavana, tiss, makamo na kafulila.
Ngo tunapeta.
Nilitarajia hili swali kuulizwa. Katibu Mkuu Wizara ya Fedha ni PST na PMG (mwenya hazina na mlipaji mkuu). Katibu Mkuu Wizara ya Fedha ndiye anaidhinisha malipo yoote ya Serikali na kumuamuru Gavana atoe hela. BOT, TRA ni Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha na bosi wao ni Katibu Mkuu. Hivyo KM ni mkubwa kuliko Gavana (plz msiniulize kuhusu fulusi).Hivi Gavana wa BoT na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Nani mkubwa wa cheo?
Siyo Tume ya Mipango (Planning Commission)?Wengi Sana wameteuliwa hasa kipindi Cha JK na Mwendazake.
Mfano VP Mpango alitolewa kuwa mkufunzi na kuwa Mwenyekiti Wa Tume ya wanauchumi kipindi Cha BRN.
Of courseSiyo Tume ya Mipango (Planning Commission)?
Umemsahau Prof. Ndalichako. Hivi CDF ni muha kweli?Waha gang!
Huu ni mwaka wachu wamuhira!
Cdf, gavana, tiss, makamo na kafulila.
Ngo tunapeta.