Emmanuel Tutuba ateuliwa na Rais Samia kuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT)

Emmanuel Tutuba ateuliwa na Rais Samia kuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT)

Wasifu wa Gavana / Governor Emmanuel Mpawe Tutuba / Biography / CV :

2019
Assistant Commissioner for Budget
- Expenditure tracking and performance monitoring (Ministry of Finance and Planning)
  • 1999-2001 : masters of business administration in corporate management MBA Corp MGT Mzumbe
  • 1996-1999 : advanced Diploma in Economic Planning- ADEP (IDM Mzumbe)
  • 1992-1994 : Advanced Secondary Education - Milambo secondary school
Source : www.parliament.go.ke files : Report of the Auditor - General on African Institute for Capacity Development AICAD - Office of the Auditor General

03 February 2020


Katibu Tawala wa mkoa RAS
  • Rais John Magufuli amuapisha Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza leo tarehe 3 February 2020 Ikulu ya Dar es Salaam

1673130400848.png


Mjumbe wa Bodi ya REA

  • Mr. Emmanuel Mpawe Tutuba - Rural Energy Board Director Rural Electrification Authority REA
Kamishna Tume ya Madini
  • Emmanuel M. Tutuba commissioner Mining Commission
Katibu Mkuu wizara ya fedha
  • Rais Samia Hassan leo tarehe 6 April 2021 amuapisha Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba kuwa katibu mkuu wizara ya Fedha na Mipango


TOKA MAKTABA:

19 July 2022​

Annual Meetings 2022: Governor Statement, Tanzania




Emmanuel Mpawe Tutuba
Permanent Secretary Ministry of Finance and Planning, Tanzania .
the theme, Achieving Climate Resilience, and a Just Energy Transition for Africa, was chosen to provide a framework for the governors of the Banks to share their experiences and engage in addressing climate change and energy transition challenges, as well as their policies and measures to deal with them.
Source : AfDBGroup

Read more : About the 2022 Annual Meetings | African Development Bank - Annual Meetings
 
Magufuli hakua mjinga kumtoa Dada Natu mwamba pale BOT ...... Leo anarudi Tena kama mlipaji mkuu wa serikali ..... Mama anaupiga mwingi
Kwani Natu alifanya nini mpaka akaondolewa na Magufuli?.... tuwe objective zaidi... Maana nnachokiona unataka kusema kwamba Magufuli kama alimuondoa mtu basi hafai...
 
Inaelekea ukiwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dsm ni tiketi ya kupata teuzi za kiserikali.

Kuna kitu tawala zetu kinajenga au kinabomoa?
Huyo dada Dr.natu mwamba namjua akiwa udsm yupo vizuri sana upstairs alisomea uchumi uingereza mtoto wa wakili maarufu mzee saidi el maamry alikua pia mwenyekiti wa baraza la michezo Tanzania BMT.
 
Mimi nadhani katibu mkuu. Unakumbuka mtoto wa dada alivyokuwa powerful na hela zetu? Hadi alimvalisha yule jamaa jezi ya Chelsea na kumning'iniza nakusingizia kajinyonga.
Aiseeee [emoji15] [emoji15]
 
Nini mandate ya BOT?,hiki chombo kitakua muhimu kama kitaendeshwa bila ya urasimu wa serikali, serikali ijiondoe kabisa katika uendeshaji wa BOT, wakiwa huru wapewe jukumu kubwa la kulinda sarafu yetu ili thamani yake against major world currencies iwe kubwa
Sarafu haiwezi kuwa kubwa kwa umahili wa central bank yeyote duniani,
Sarafu huwa kubwa kwa uzalishaji mkubwa na mauzo ya nje makubwa kama Kuwait,Qatar,U.S,U.K,Europe,Saudi Arabia,Oman etc.
Hata muwe na benki kuu iliyojaa vichwa vyote kutoka Havard,lakini migodi yenu na gesi yenu yote mumeuza kwa miaka 100 munakula 14% wenzenu wanachukua 86% mutakua masikini daima
 
Gavana wa benk kuu cheo kikubwa sana, gavana ana report kwa Rais apitii wizarani.

Katibu mkuu haingii kwa gavana kivyovyote

Ni sawa na ulinganishe katibu mkuu wa wizara ya ulinzi. Na mkuu wa majeshi CDF nani yupo juu

Ama ulinganishe katibu mkuu wizara wa mambo ya ndani na IGP nani yupo juu ?
Mifano mizuri ya kuelimisha.

Naomba hapo kwenye “katibu mkuu wa wizara”, badilisha weka waziri.
 
Nakumbuka wakati wa mwinyi uchumi uliyumba kiasi ukiwa na debe la.mahindi unaweza uza hata kwa laki 2
Kweli, wengi magavana waliopita walikuwa ma Dr. na ma Profesa. Historian inakwenda kujirudia. Mnamo mwaka 1989 wakati Gavana Charles Nyirabu anastaafu, Mhe. Mwinyi alimteua Bwana Gilman Rutihinda, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha,kuwa Gavana wa Benki Kuu.

Nadhani mama anazingatia weledi na uzoefu kwenye sekta husika. Kikubwa ni matokeo. PhD sio issue.
 
Kama unajua uwezo wa mtu kwenye kazi X ni rahisi kujua atakavyo perform kwenye kazi Y... Unadhani Messi kupangwa kikosi cha world cup ilitokana na nini kama siyo his past performance?
Sio lazima iwr hivyo ndio maana hutenguliwa. Hassan Katanga aliteuliwa kuwa katibu mkuu kiongozi, lakini ametumbuliwa na kupelekwa kuwa balozi
 
Back
Top Bottom