Endapo hatutokusanya kodi kwa wingi, tutapata wapi fedha za kuendeshea nchi?

Tutakopa kwa mabeberu Kama alivyokuwa anafanya jk
 
Mama anahubiri TRA kuongeza wigo wa kukusanya kodi keyboard warrior mmoja asiejua kuhusu kodi anasumbua vidole tu. MATAGA kwa taarifa yenu tutamtetea Mama yetu kwa wivu mkubwa saaanaaaaa.
hahahaah mkuu Mapank kheshima yako..
 
tulia baada ya miezi kadhaa zianze ada kwa wanafunzi ...wapuuzi wachache wanaona ni sawa
 
Kwani alisema hakusanyi kodi au alisema hataki kunyang'anya watu fedha.

UNYANG'ANYI NI UHALIFU. MJIANDAE KWENDA JELA.

Zile fedha mlizonyang'anya BUREAU DE CHANGE mjiandae kuzitapika.
 
Mataga ficha ujinga wako msitumie ada kuwanyonya watanzania Jk alikuwa anatoa mkopo mpaka wenye div 3,na hakua anakwapua Kodi za dhuluma Kama mwendazake
mama yko mzazi mwambie afiche use...nge
 
Tutauza uwanja wa chato na mapangaboi yanayo liingizia taifa hasara ili pesa ipatikane.
 
Kodi itakusanywa kwa wingi kuliko hata ya sasa endapo akili itatumika kuliko nguvu. Ongeza idadi kubwa ya walipa kodi,punguza utiriri wa urasimu katika mamlaka mbalimbali, wawekezaji wataongezeka na utakusanya kodi nyingi kwa kutumia akilia na sio bunduki
 
Hilo la kodi bila kutumia nguvu halitokuja kuwezekana katika nchi zinazo endelea. Narudi tena halitokuja kuwezekana. Usilinganishe na nchi za ulaya ambazo ukusanyaji wa mapato unafanyika online.
Ova
 
Hoja sio kukusanya KODI kwa wingi, kodi ina cannons zake katika ukusanywaji sasa kama hakuna equity or fairness ukaamua kuwaburuza tu walipa kodi unategemea utaikusanyaje?

kukiwa kuna harmony katika ukusanyaji tuta attract FDI ambapo ajira zitaongezeka na ajira zikiongezeka ndio uhai wa TRA,NSSF,WCF na e.t.c lakini pia VAT maana watu watakuwa na pesa watanunua vitu tutakusanya kodi.

Ni muhimu tukaweka mazingira ya kuongeza tax base ikawa kubwa huku tukicharge fair taxes.
 
Mbona mimi nimeshalipa installment ya kwanza (Jan to March)?unataka nipandishe pics za pay slip hapa kukuthibitishia?unasemaje hakuna anayelipa kodi?Shida nyie mnaokatwa PAYE hamjui na hamtokaa mtoke ndani ya maboksi,elewa kodi inapokuwa rafiki ndipo hata yule mlipaji anapata moyo wa kulipa tena kwa wakati bila kulimbikiza.

Alichosema kodi idaiwe kwa njia stahiki ujinga wa kutumiana task force na makufuli kufunga baishara za watu uachwe na kunyang'anya pesa za watu haitakiwi.
 
Hakuna aliyesema kodi isikusanywe kwa wingi. Ikusanywe kwa AKILI/WELEDI na si MAGUVU.

Upande wa matumizi pia ni vyema kuwa makini kuona fedha zinatumika vizuri. Kule bungeni kuna matumizi sabaya sana ya fedha; malipo kwa Wabunge yaangaliwe upya ili yafanane na kuwiana na malipo ya wananchi wengine.
 
Mh rais hataki TRA wapole pesa kwa wafanyabiasha, anataka wakusanye kodi halali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…