Endapo kuna mtu au kikundi cha watu kipo juu ya Sheria na Katiba, basi Taifa halipo huru

Kama ni kweli tuombe Mungu sana
 
Unarukaruka tu maana mmekuwa watu wa propaganda
wewe na yule wa jalalani nani yuko juu ya mwenzake? Usitake ncheke! Maana tumemsikia yule pia, sembuse wewe?
 
Mkuu umekuwa muungwana kweli, na umejibu kiungwana kwelikweli.
 

Waiburuze TRA mahakamani shule huwa hazilipi Kodi
 

Hata Sana kuwa driver primitives.
Mtu masikini hawezi endesha gari lifike salama lzm atalitupa mtaroni
 
Mkuu umekuwa muungwana kweli, na umejibu kiungwana kwelikweli.
Mkuu Tukundane , siku zote, mimi ni muungwana sana, tatizo langu humu jf ni moja tuu, mimi ni mkweli kupindukia, wengi hawapendi ukweli, wanapenda kujifariji kwa ndoto za mchana, wakiambiwa ukweli, wanakasirika.

P
 
Uhuru wetu umetwaliwa na mtu mmoja tu,ambaye anajifanyia chochote anachoamua huku wengine wakibaki wanafuata kama mbwa koko pasipo kuhoji kitu chochote kwa kuwa nao wako kwa ajili ya kulinda matumbo yao.
 
 

Haa haaa, Pascal Mayallah, are you really serious for this confession?

In my opinion, siyo kwamba "ulikuwa" hufahamu maana pana ya "sovereign nation"

Binafsi nimesoma sana maandiko yako kuhusu " sovereignty " ya taifa letu. Kwa hakika ulichokuwa unakielewa, ni sahihi kabisa na partly ndivyo ilivyo.

Tatizo ni kuwa ulichokuwa unakielewa ni sehemu ndogo sana ya maana pana nzima ya neno " sovereignty " as related to our beautiful nation of Tanzania.

Na hili ndilo tatizo kubwa linalowakabili viongozi wetu wengi serikalini na katika taasisi za umma, yaani kuwa na ufahamu na uelewa finyu wa mambo na kujikuta wanapotosha maamuzi na hukumu za Haki kwa watu wanaowaongoza.

This is too bad..

However, thank you very much for being courageous enough to admit your weakness in public.

This is because, very few individuals are able to do what you have done publicly. That includes "me" too (may be).

I surely like you bro. You've taught us a very difficult lesson.
 
Mpatie darasa!
Mkuu mimi binafsi, siamini kama tumeshawahi kupata viongozi sahihi kabisa wa kuongoza Taifa.

Mfumo wa CCM hauwezi kutupatia “crème de la crème”, ndiyo maana hata yule Polepole yuko pale alipo.
 
Ameongea kwa kejeli. Don’t buy it kwamba eti ame admit! Don’t get fooled! Ndivyo alivyo na wengi kama yeye Tanzania
 
Mkuu Tukundane , siku zote, mimi ni muungwana sana, tatizo langu humu jf ni moja tuu, mimi ni mkweli kupindukia, wengi hawapendi ukweli, wanapenda kujifariji kwa ndoto za mchana, wakiambiwa ukweli, wanakasirika.

P
Hakuna ukweli zaidi ya propaganda. Na Mungu atupatie uzima, tutawataja tu wote ambao mko responsible pale Taifa litakapofikia.
 
Wacha kejeli wewe. Elimu yako haina manufaa hata kwako wewe mwenyewe achilia mbali Taifa.

Kama yule ni wa jalalani, wewe utakuwa wa kwenye Tundu la choo kabisa!
Tena huwezi amini, huyu wa Jalalani, ndie supervisor wangu wa LL.B dissertation yangu.
Watanzania tuko wa aina nyingi, na makabila mengi, yapo makabila fulani mawili yanafahamika kwa kuringia elimu, usomi, kuongea vingereza vingi, na hata utamaduni wao wa asili wameutelekeza, sisi wengine ni down to earth, mtu ana Ph.D lakini anachunga ng'ombe, mtu ana LL.B with honours, anafanya freelancing journalism kwa kujitolea, the reasons behind is just for the love of it.

Kuna watu wanasoma sana ili wawe wasomi, waajiriwe top jobs waishi top life. Kuna watu wanasoma just to get broad knowledge, na wanaishi maisha ya kawaida kabisa kama ma lumpen proletariats.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…