Endapo kuna mtu au kikundi cha watu kipo juu ya Sheria na Katiba, basi Taifa halipo huru

You can choose to survive without participating or n the demise of our nation.
 
Kinachoumiza, hata kama hautaki kuishia kama Ben Saanane na Azory Gwanda, haina maana kuwa ndiyo eti ushiriki uovu. Mbona wengine tumeamuwa kuwa humu JF tu kutoa maoni yetu? Wenye kusikia wasikie.
 
Hapa ni pale watu tunapoacha kufikiria kwa kutumia akili na badala yake tunatumia tumbo kufikiria (njaa) +(ubinafsi) vyote hivyo kwa mgongo wa uzalendo.Ila Mimi na hits uzalendo huo kuwa ni uzalendo wa kishetani
 
"Udikteta ni selikali au kikundi cha watu wachache ambao hutunga sheria kandamizi atakayepinga kukiona cha moto".

Julius Nyerere.
 
Magufuli na Ndugai washajiweka mazingira yakutokushitakiwa hata wakiondoka madarakani. Maana yake hata wakiwafanyaje hamna cha kuwafanya
 
Umeandika mambo ya msingi kabisa, ila sidhani kama zile akili za hapa na pale kama zitakuelewa!
Hoja nzuri sana.
Ubeberu uko pia ndani ya nchi. Hilo lieleweke serikali nyingi za kiafrika ni mabeberu dhidi ya raia wao.
 
Kama mtu au kikundi cha watu ambao wapo juu ya sheria, hata uchaguzi ni kiini macho tu.
 
Madaraka mabaya hupata nguvu kunako ujinga mwingi. Watu wengi wakielimika nguvu hiyo hupungua. wenye mamlaka hawapendi watu waerevuke huwatia ujinga kwa propaganda na huwanyima information na kuwaziba mdomo.
Pascal wewe ni mwanahanari na mna msemo kuwa Information is power. Mjinga akierevuka mwerevu yu mashakani!
 
kwa maisha haya magumu hivi na tunakoenda ndio kubaya zaidi.hapa beberu akiwapa watu zana wanaingia front chapu
 
Thanks JMushi! We need 10 more people like you and Bishop Bagonza. Someone needs to have integrity in this country! It seems like 80% of men and women in this country have lost their heads and act like robots!!
 
☝️☝️
CCM
 
Mkuu mzamifu , naunga mkono hoja.




P
 
Duh! Siwezi kushangazwa Kwanini bado tupo hapa tulipo.

Hivi hapo unaona umeongea point ya maana sana?

Tumia elimu yako kwa manufaa ya Taifa. Nyingine hizo ni porojo zisizo na msingi wowote.
 
Duuh.. mambo ya ajabu sana. Ni aibu!
 
Tra na Mahakama wote ni ccm. Unapeleka kesi ya ccm kwa ccm
Unapeleka unaacha serikali sio mtu akiingia mwingine atilipa.
Serikali ijayo itaburuzwa Sana mahakamani kwa makosa ya awamu hii.
Mfano mmoja waliobomolewa nyumba zao ngoma bado mbichi lzm watalipwa fidia kwa kushinda kesi ngoja awamu hii ipite.
 
Duh! Siwezi kushangazwa Kwanini bado tupo hapa tulipo.
Hivi hapo unaona umeongea point ya maana sana?
Tumia elimu yako kwa manufaa ya Taifa. Nyingine hizo ni porojo zisizo na msingi wowote.
Duh...!. What is manufaa kwa taifa, is relative na kufuata kanuni za relativity, kwa mtu mwingine, ukiwa na LL.B with honours, kwake manufaa kwa taifa ni kuwa wakili, kutetea watu mahakamani, na kulipwa pesa ndefu, kuvaa suti nyeusi, na kuishi maisha bora, kuendesha ma VX, Vogue, na Benzi, kuchagia kodi kubwa serikalini. Haya ndio manufaa kwa taifa.

Kwa mwingine possession ya LL.B with honours, ni just to have just a broad knowledge ya sheria, hivyo kuendelea kufanya Programs za uelimishaji umma mambo mbalimbali ya kisheria na wananchi kujua haki zao. Ukiwa kwenye kundi hili, utaishi maisha ya kawaida ya kilofa, usafiri wako ni public transport, Bajaj na Bodaboda, hivyo watu wa yale makabila wanaojisikia, ambao kwao pesa ndio kila kitu, lazima watakucheka na kukushangaa, kama una room ya kupiga pesa ndefu kuwatetea mafisadi, why uishi maisha ya kilofa kuwaelimisha wananchi Wajua haki zao?. Kwako ni getting the satisfaction from doing what you love most and not necessarily making big bucks!.

Ni kama ilivyo kwa ganda la mua la jana, mwingine kalimenya na kutupa, mwingine ni kivuno cha mlo wa wiki nzima!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…