Endapo kuna mtu au kikundi cha watu kipo juu ya Sheria na Katiba, basi Taifa halipo huru

Wewe upo kwenye kundi la “wachunga ng’ombe” badala ya kuwaelimisha wananchi haki zao?

Inaonyesha kuwa unayoyafanya, unayafanya kwa ufahamu wa kutosha kabisa, ni excuse!

Halafu siyo kweli kwamba wewe siyo mkabila. You can run, but you can never hide.

Tabia za watu wengine, huonekana wanapopata nafasi flani flani hivi...
 
Kwa vile maisha ya hapa duniani, kwa wengine ni kama tunapita tuu, tuko safarini, haijalishi watu wa mataifa, watakuitaje, au wata kuchukulia vipi, Faraja yako ni mistari hii...

MT. 5:10-12 SUV​

Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki; Maana ufalme wa mbinguni ni wao. Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenea kila neno baya kwa uongo, kwa ajili yangu. Furahini, na kushangilia; kwa kuwa thawabu yenu ni kubwa mbinguni; kwa maana ndivyo walivyowaudhi manabii waliokuwa kabla yenu.
P
 
Baada ya kumaliza kujipachika misifa ya “Elim Dunia”, sasa umejipachika unabii. Ndivyo tulivyo. Na wewe umeonyesha mfano. Na Makonda naye alianza. Mkubwa wenu alisema hata mbinguni akawe malaika!

Na kanisani mnakuwa msitari wa mbele kabisa!
 
Duh...!, mpaka nimecheka, utadhani mazuri!.
Haya bana.
P
 

Furaha yake ni kuona watu wakiwa masikini roho yake usuuzika kwatu
 
vp mama umeamua kutupoteza kabisa
 
Sasa tunalialia nini wakati mabadiliko haul tuliridhia wenyewe,tena kwa mbwembwe?
Tatizo ni kwamba katiba hii ya sasa, kimsingi ni ile ile ya mkoloni aliyoiacha. Imewekewa viraka tu. Lakini siyo katiba ya wananchi. Na ndiyo maana hatuko huru bado.
 
Katiba sio msahafu au biblia. Tatabadilisha katiba halafu tutawafunga
Umesema ukweli mtupu!👍🏽👊🏾

Na hii iliyopo, pamoja na kwamba imempa madaraka makubwa sana mkuu wa nchi baada ya kuyaondoa kwa Gavana wa mkoloni, lakini bado tu nayenyewe nayo ni shida kufuatwa, na hii ni kwasababu katiba yenyewe pia haina vipengele vya uwajibishaji. Ndiyo maana nasisitiza kuwa hatuko huru.
 
Pascal Mayalla, endelea kuwaburuza wasioelewa. Lakini ujinga hauwezi kupita hapa JF na wengine tukanyamaza tu.

Eti “sovereignty ya darasani” myopic!
 
Pascal Mayalla, endelea kuwaburuza wasioelewa. Lakini ujinga hauwezi kupita hapa JF na wengine tukanyamaza tu.

Eti “sovereignty ya darasani” myopic!
Mkuu jmushi1, huu ndio uzuri wa jf, kila mtu yuko free kuji express his/her opinion freely, kama mmoja anaweza kutumia ujinga kuwaburuza wasioelewa, na mwingine akazuia ujinga huo usipite kwa kutokunyamaza, what matters most is the end results, kama hoja za huyo mburuza wasioelewa ndizo zinazo materialise, the end justifies the means, hoja za ukweli ni zile zinazo tokea, hata kama ni za kijinga, lakini ndio ukweli wenyewe.

Mfano mzuri ni huu uchaguzi Mkuu wa juzi, tangu ile 2015, nimekuwa nikisema 2020 ni CCM, and CCM only, nimekuwa nikipingwa humu!. Kabla ya uchaguzi nikawawekea watu humu matokeo

Japo watu humu walipinga kuwa ni uongo, ukisema uongo, halafu huo uongo ndio ukatokea, then huo uongo uliousema, ndio ukweli wenyewe!.

Na kiukweli nimesaidia wengi kwa kuwaandaa kisaikolojia, kupokea matokeo, maana mtu ukiwa na too great expectations kuwa fulani atashinda, kusipotokea mtu yoyote akakuambia ukweli kuwa huyo fulani wako, hawezi kushinda, matokeo yakitoka emeshindwa, uta despair na kupata mshtuko, unaweza hata kupata pressure, depression, heart attack kwa kutoamini macho na masikio yako kwa kilichotokea!.

Lakini kitendo tuu cha kuambiwa ukweli kuwa mtu wako hawezi kushinda, hata kama umeambiwa uongo, na huamini kuwa atashindwa, na unaupuuzia uongo huo kuwa mtu wako atashindwa, unaendelea kuamini atashinda. Matokeo yakitoka mtu wako ameshindwa, the impact won't be drastic, because you knew, you were informed, japo ulidharau na kupuuza kuwa ule ulikuwa ni uongo, kwa matokeo hayo, uongo ule ndio ukweli, hivyo mabandiko yangu humu, yamesaidia wengi kupunguza impact ya kipigo au kuchapo hata kama ni bao la mkono, the end justifies the means, mshindi ni aliyetangazwa kashinda, and the winner takes it all!.
Pole!..
P
 
Basi kama ni hivyo jitabirie na were nafasi utakayo pews kwasababu unekuwa mtabiri wait na mambo yao kwa muda mrefu.
 
Basi kama ni hivyo jitabirie na were nafasi utakayo pews kwasababu unekuwa mtabiri wait na mambo yao kwa muda mrefu.
Japo mganga hajigangi, lakini wote wanaosoma maandiko yangu na kudhani natafuta uteuzi, hawana uwezo to read in between the lines!.
P
 
Ikiwa ndivyo, karekebishe yale maandiko yako kule, hayana maana tena, ni upotoshaji.
 
Mkuu Tukundane , siku zote, mimi ni muungwana sana, tatizo langu humu jf ni moja tuu, mimi ni mkweli kupindukia, wengi hawapendi ukweli, wanapenda kujifariji kwa ndoto za mchana, wakiambiwa ukweli, wanakasirika.

P
Kipimo cha kuwa mkweli kupindukia tunakijuaje, pia sio kila hoja hupimwa na ukweli kupindukia au uhongo kupindukia
 
Bila shaka ulifundishwa na yule Prof. wako mwenye mijicho imemtoka kama anataka kukuta roho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…