Endelea kuwa wife material huku ukichakaa. Wenzako tunakosa mpk nafasi ya kutunzia minoti

Eeeeeeeeh wadangaji/Malaya na wenyewe wameamua kuvunja ukimya
 
Chaguo ni lako dada. Amua uishi maisha duni kama mama na bibi yako kwa kupewa sifa za kijinga kuwa wewe ni wife material ama utafute hela kwa nguvu zote.

Wenzako hatutaki kufa kwa stress, tunastarehe na hela tunapata. Amua moja kutumika na mjinga mmoja unayemuita mumeo ama kutumika na wenye vipato vyao .

Lakini ukae ukijua kutumika ni kutumika tu, haijalishi. .....whether utumiwe na huyo mjinga mwenzako ama utumike na wenye maisha bora.

Nani mjanja? Anayetumika na pesa anayo ya kuchezea ama wewe unayetumika huku ukifubaa na kuchakaa? Angalia unavyoteseka hata kupata hela ya kula. Kila siku kiguu na njia kucheza vikoba.

Acha kutafuta sifa za kijinga!
Hizo kwa picha sio minoti Bali ni vichenchi vya mboga
 
Umeandika kwa maumivu mazito....
 
Zari the boss lady
Hudda
Vera

Hawa ndio waliotajirika kupitia nyapuu, na sio slays uchwara wa Bongo.
Charity begins at home... why unawakandia slay queens wa Bongo? Kwamba Bongo hakuna slays wenye hela jyzidi hao uliowataja?
 
Chaguo ni lako dada. Amua uishi maisha duni kama mama na bibi yako kwa kupewa sifa za kijinga kuwa wewe ni wife material ama utafute hela kwa nguvu zote.

Wenzako hatutaki kufa kwa stress, tunastarehe na hela tunapata. Amua moja kutumika na mjinga mmoja unayemuita mumeo ama kutumika na wenye vipato vyao .

Lakini ukae ukijua kutumika ni kutumika tu, haijalishi. .....whether utumiwe na huyo mjinga mwenzako ama utumike na wenye maisha bora.

Nani mjanja? Anayetumika na pesa anayo ya kuchezea ama wewe unayetumika huku ukifubaa na kuchakaa? Angalia unavyoteseka hata kupata hela ya kula. Kila siku kiguu na njia kucheza vikoba.

Acha kutafuta sifa za kijinga!
Mjinga akipata hua shida sana Sasa kwa vihela gani ulivyo weka hapo hata ukiweka kwenye mfuko wa suruali hazionekan kaa ukijua hata Malaya huzeeka usidharau wanawake wanao jiheshimu
 
Adui wa mwanamke ni mwanamke. Nafurahi kuona wanawake wenyewe wanashawishana kuharibu maisha yao. Bora malaya muongezeke, soko lenu lishuke tuendelee kuwala kwa buku jero
 
mzunguko wa dunia unaenda kasi sana kiasi hakuna pa kushika!
MWENYEZI MUNGU atupe kubali tuishi muda mrefu ili tuweze kushuhudia mengi huwenda tukapata hadithi za kuadithia wajukuu zetu.
 
Wanawake wa aina yako ndio wale ukiwafunua unakuta k zina masikio mawili marefu yamening'inia mithili ya manati ya baiskeli kwa kuchakaa
Kwani mkuu ukikuta K ipo kama ulivyoitaja kwaiyo inakuwa imechakaa au ndiyo maumbile yake? Kwasababu umenishtua .

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom