Amosi msigwa
Senior Member
- Jul 9, 2018
- 120
- 160
You're right ,commender in chief, after being given briefing on seriously insecurity matters,he/she should respond quickly and give a command armed force yo act immediately,Tunapo ongelea maswala nyeti muwe mnakaa kimya.
Vyombo vya ulinzi na usalama when it comes to national security matters, kazi yake ni briefings na kumpa ushauri tu kwa huyo namba 1 wenu. You are only provided with knowledge, utaifanyia nini sasa ni juu yako. Yule ndo commanding officer wa maswala yote ya national security provided that anakuwa supplied na all detailed intelligence and knowledge.
thibitisha!![emoji51]magaidi wa kibiti wamerudi tena?!!
Siyo swala la rais, Amiri Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ni nani?na kama ulikuwa hujui wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama wanaripoti kwa rais kuhusiana na maswala yote ya kiuslama na mamba mengine
JK alikuwa anasubiri kuchakata taarifa hivyo hivyo..kuja tahamaki kibiti na mkuranga yote ipo chini ya wauwaji..hakuna mbuzi wala kuku anayekatiza mtaani. Muda utasema.Suala la kibit haliendi kwa mihemko operation iliyopita ilikua ni ya kuua hadi wasio na hatia ilimrad tu anahisiwa, sasa hata mimi nikiwa na chuki na wewe ilikua naweza kutoa taarifa za uongo na ukatangulizwa kaburini muda wa kuchakata taarifa ulikua hamna hali ilikua mbaya ila ilionekana ni tulivu kwasababu media zilizuiwa kabisa
Amir jeshi anapopinduliwa huwa kayaamuru majeshi yampindue!?Siyo swala la rais, Amiri Mkuu wa majeshi ni nani?
Kwa akili yako lile sakata la mkiru(mkuranga,kibiti,rufiji) lililopita,Kama rais angesema hatua zozote zisichukuliwe ni kweli vyombo vya ulinzi na usalama vingeacha!?..rais anajua nini kuhusu ulinzi na usalama!?Dah! Hivi bado wengi tunamuondoa rais kwenye mambo yanayomuhusui. Kama hilo siyo la rais, kazi yake ni ipi? Teuzi? Wewe hujui Usalama wa taifa unaripoti kwa nani? Hujui mkuu wa majeshi anaripoti kwa nani? Hujuo Mkuu wa polisi anaripoti kwa nani?
btw., una cheti cha darasa la ngapi?
Kwamba rais akisema kausheni na kibiti kunawaka moto basi vyombo vya ulinzi na usalama vitakausha tu!?Tunapo ongelea maswala nyeti muwe mnakaa kimya.
Vyombo vya ulinzi na usalama when it comes to national security matters, kazi yake ni briefings na kumpa ushauri tu kwa huyo namba 1 wenu. You are only provided with knowledge, utaifanyia nini sasa ni juu yako. Yule ndo commanding officer wa maswala yote ya national security provided that anakuwa supplied na all detailed intelligence and knowledge.
Kuchukua Maiti na Majeruhi walioko Wodi moja LMH na Wengine hivi sasa wameanza Mazoezi na Magongo yao.Kuna hii helikopta inapitaga hapa kudizaini uelekei ni huko nn? Teheteh kibeteh
ItafahamikaKuchukua Maiti na Majeruhi walioko Wodi moja LMH na Wengine hivi sasa wameanza Mazoezi na Magongo yao.
AiseKuchukua Maiti na Majeruhi walioko Wodi moja LMH na Wengine hivi sasa wameanza Mazoezi na Magongo yao.
92 wazee wa ngwasumacode kubwa kwangu ni wazee wa morogoro. Hakuna wa kufungua hii
Huko si paliwekwa Kambi ya jeshi!?Jamaa wamerudi tena?mungu aepushie mbali maana yawezekana safari hii wamejipanga upya?haiwezekani kama walipelekewa moto mpaka wakavuka mipaka halafu leo warudi.
nimecheka hadi nimejiona fala nimetoka kozi mwezi wa tatu juzi tu hapaAise , Vazi la ugaidi tulisikie tu.
Ila naamini hatua zinachukuliwa kimya kimya. Kozi za TPDF zinatakiwa ziwe updated sasa, yale mambo ya kuvimba na mstimu na magogo usiku kucha yapungue watu waive kwenye UJANJA PORINI na wafundishwe intelligensia yenye manufaa.
unapiga kozi na kijitu hakijapita jkt wala mgambo mmebakiza mwezi dogo anakuja kujiunga mnaapa pamojaOperation ya kule amboni ilikua nyepesi sana, Intel ya kipindi kile ilikua poa sana, sikuhizi vijana wa vimemo wamejaa kwenye chombo veryi badi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji706][emoji706][emoji706]
Mistimu inasemaje huko mkuu??nimecheka hadi nimejiona fala nimetoka kozi mwezi wa tatu juzi tu hapa
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Wangefyekwa na Kujeruhiwa Mkuu?Huko si paliwekwa Kambi ya jeshi!?
Nasikia hii ilikuwepo kule Monduli na Hayati alipoambiwa akapeleleza na kukuta ni Kweli na Maamuzi aliyoyachukua na kilichofanyika sishangai Maafisa Wahitimu ( Commissioned Officers ) Siku ya Kumaliza Kozi na wakija Kutunukiwa Nishani zao na Amiri Jeshi Mkuu na Rais 99.9% huwa Wanalia mno.unapiga kozi na kijitu hakijapita jkt wala mgambo mmebakiza mwezi dogo anakuja kujiunga mnaapa pamoja
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app