Endeleeni tu kutuficha ya 'Ki-Beat', ila tutaendelea Kuwatembelea Mahospitalini Kwao kuwapa Pole na 'Majeraha' yao makubwa

Endeleeni tu kutuficha ya 'Ki-Beat', ila tutaendelea Kuwatembelea Mahospitalini Kwao kuwapa Pole na 'Majeraha' yao makubwa

Tunapo ongelea maswala nyeti muwe mnakaa kimya.
Vyombo vya ulinzi na usalama when it comes to national security matters, kazi yake ni briefings na kumpa ushauri tu kwa huyo namba 1 wenu. You are only provided with knowledge, utaifanyia nini sasa ni juu yako. Yule ndo commanding officer wa maswala yote ya national security provided that anakuwa supplied na all detailed intelligence and knowledge.
You're right ,commender in chief, after being given briefing on seriously insecurity matters,he/she should respond quickly and give a command armed force yo act immediately,
 
Suala la kibit haliendi kwa mihemko operation iliyopita ilikua ni ya kuua hadi wasio na hatia ilimrad tu anahisiwa, sasa hata mimi nikiwa na chuki na wewe ilikua naweza kutoa taarifa za uongo na ukatangulizwa kaburini muda wa kuchakata taarifa ulikua hamna hali ilikua mbaya ila ilionekana ni tulivu kwasababu media zilizuiwa kabisa
JK alikuwa anasubiri kuchakata taarifa hivyo hivyo..kuja tahamaki kibiti na mkuranga yote ipo chini ya wauwaji..hakuna mbuzi wala kuku anayekatiza mtaani. Muda utasema.
 
Dah! Hivi bado wengi tunamuondoa rais kwenye mambo yanayomuhusui. Kama hilo siyo la rais, kazi yake ni ipi? Teuzi? Wewe hujui Usalama wa taifa unaripoti kwa nani? Hujui mkuu wa majeshi anaripoti kwa nani? Hujuo Mkuu wa polisi anaripoti kwa nani?
btw., una cheti cha darasa la ngapi?
Kwa akili yako lile sakata la mkiru(mkuranga,kibiti,rufiji) lililopita,Kama rais angesema hatua zozote zisichukuliwe ni kweli vyombo vya ulinzi na usalama vingeacha!?..rais anajua nini kuhusu ulinzi na usalama!?
 
Tunapo ongelea maswala nyeti muwe mnakaa kimya.
Vyombo vya ulinzi na usalama when it comes to national security matters, kazi yake ni briefings na kumpa ushauri tu kwa huyo namba 1 wenu. You are only provided with knowledge, utaifanyia nini sasa ni juu yako. Yule ndo commanding officer wa maswala yote ya national security provided that anakuwa supplied na all detailed intelligence and knowledge.
Kwamba rais akisema kausheni na kibiti kunawaka moto basi vyombo vya ulinzi na usalama vitakausha tu!?
 
Jamaa wamerudi tena?mungu aepushie mbali maana yawezekana safari hii wamejipanga upya?haiwezekani kama walipelekewa moto mpaka wakavuka mipaka halafu leo warudi.
 
So unataka utuaminishe namba za graves zinaongezeka nn.

Atafurahi mbona,subiri tuone.

Au ya Ephiopia yanaweza jiri huku.
Wameweka nguvu kwenye kuwapiga nyundo watu wa DP WELIDIES SOCIAL MEDIA AT THE BOTTOM TWECE.
 
Aise , Vazi la ugaidi tulisikie tu.
Ila naamini hatua zinachukuliwa kimya kimya. Kozi za TPDF zinatakiwa ziwe updated sasa, yale mambo ya kuvimba na mstimu na magogo usiku kucha yapungue watu waive kwenye UJANJA PORINI na wafundishwe intelligensia yenye manufaa.
nimecheka hadi nimejiona fala nimetoka kozi mwezi wa tatu juzi tu hapa

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Operation ya kule amboni ilikua nyepesi sana, Intel ya kipindi kile ilikua poa sana, sikuhizi vijana wa vimemo wamejaa kwenye chombo veryi badi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji706][emoji706][emoji706]
unapiga kozi na kijitu hakijapita jkt wala mgambo mmebakiza mwezi dogo anakuja kujiunga mnaapa pamoja

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Hivi ngerengere ni jina la mbuga ya wanyama?Ohh sorry ni ngorongoro
 
nimecheka hadi nimejiona fala nimetoka kozi mwezi wa tatu juzi tu hapa

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Mistimu inasemaje huko mkuu??
Vipi miguu bila shaka imerudi kwenye hali yake?

Bakora nazo,, back in time kuna kozi watu walipiga mwanzo wa kozi vehicle ya jeshi ilijaa bakora , ndani ya mwezi hakuna fimbo hata moja.
Watu wanaiva usugu ila sio knowledge vizuri ya medani.
All in all nawapriciate sana wazee wa Bakabaka.
 
unapiga kozi na kijitu hakijapita jkt wala mgambo mmebakiza mwezi dogo anakuja kujiunga mnaapa pamoja

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Nasikia hii ilikuwepo kule Monduli na Hayati alipoambiwa akapeleleza na kukuta ni Kweli na Maamuzi aliyoyachukua na kilichofanyika sishangai Maafisa Wahitimu ( Commissioned Officers ) Siku ya Kumaliza Kozi na wakija Kutunukiwa Nishani zao na Amiri Jeshi Mkuu na Rais 99.9% huwa Wanalia mno.
 
Back
Top Bottom