Eng. Hersi, Arafat wamaliza kikao na Serikali, watoa ujumbe kwa Wanachama wa Yanga SC

Mwanzo nilidhani hili jambo litakuwa rahisi kwa Yanga kukubali kucheza mechi bila kufikia hatua hizi, lakini ukimsikiliza kwa umakini Hersi Yanga bado wanasimamia msimamo wao. Hii suala kila siku linazidi kuwa gumu, nadhani TFF na Bodi ya ligi wamejifunza.
Nadhani Yanga ndio watajifunza kupitia hili suala maama watacheza tu na kuwaangusha mashabiki wao oya oya wanaoamini hao viingozi wana msimamo wa kilugomea derby
 
Ukifatilia comments za makolo unagundua zaidi ya kwamba, Hawa mbumbumbu wana shauku sana ya kujua nini kimetokea, like, mechi itachezwa au yanga Bado wamekaza🤣koloz Kuna namna deep Wana hofu isiyoeleweka ila kwa nje ndo matusi, kebehi nk.kuna maamuzi flan wanayategemea Kila iitwayo leo. Hofu waliyo nayo bodi ndo hofu waliyonayo koloz...gtunawasomaa😄😄😄😄
Sasa Nyuma mwiko kutokucheza gemu ya derby inawawazisha vipi Simba Sc na wao ndio watakaonufaika na points za bwelele na magoli 3
 
Bodi wapange tarehe ya mechi tuone kama Yanga watagoma kucheza.

Nawashauri Bodi waifanye hii mechi kuwa ya mwisho mwisho mwisho wakati Yanga wamejikusanyia pointing za kutangaza ubingwa. Hapo tutaona jeuri ya Yanga, wasitokee uwanjani halafu taratibu zote zifuatwe na Simba wapewe ushindi wa chee, Yanga watakatwa pointi 15 kwa kutokwenda uwanjani ndipo watapoutema ubingwa rasmi.

Vv
Mipango yenu ni kuvunja kanuni kisha mumpe Kolo ubingwa wa mezani.
Heri mpate huo ubingwa lkn hatuchezi.
Mwaka kesho tutakuwa ligi daraja la pili tunawaachia Kolo na tff yenu ligi kuu.
 
Bodi wapange tarehe ya mechi tuone kama Yanga watagoma kucheza.

Nawashauri Bodi waifanye hii mechi kuwa ya mwisho mwisho mwisho wakati Yanga wamejikusanyia pointing za kutangaza ubingwa. Hapo tutaona jeuri ya Yanga, wasitokee uwanjani halafu taratibu zote zifuatwe na Simba wapewe ushindi wa chee, Yanga watakatwa pointi 15 kwa kutokwenda uwanjani ndipo watapoutema ubingwa rasmi.

Vv
Nyie mmekatwa ngap mlivyogomea mech tareh 8
 
Sasa Nyuma mwiko kutokucheza gemu ya derby inawawazisha vipi Simba Sc na wao ndio watakaonufaika na points za bwelele na magoli 3
Kumbe Bado hamfikirii vizuri. Anyway!! mlishaitwa mbu mbu mbu sishangai🤔
 
Nyie mnaofikiria vizuri endeleeni kusubiri points 3 za mezani.
NA mbwembwe zenu za kutishia kwenda Cas kumbe mpo tu mnalialia "Hatuchezi"
 
Bodi wapange tarehe ya mechi tuone kama Yanga watagoma kucheza.

Nawashauri Bodi waifanye hii mechi kuwa ya mwisho mwisho mwisho wakati Yanga wamejikusanyia pointing za kutangaza ubingwa. Hapo tutaona jeuri ya Yanga, wasitokee uwanjani halafu taratibu zote zifuatwe na Simba wapewe ushindi wa chee, Yanga watakatwa pointi 15 kwa kutokwenda uwanjani ndipo watapoutema ubingwa rasmi.

Vv
una akiri za kuvukia Barabara tu mwehu mmoja
 
Viongozi wa Klabu ya Yanga SC wamehitimisha kikao chao na serikali kilichofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, ambapo walijadili masuala muhimu kuhusu hatma ya dabi ya Kariakoo.

Baada ya kikao, Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said, aliwahakikishia wanachama kuwa uongozi wa klabu upo imara na utaendelea kupigania maslahi yao.

"Tumefikisha ujumbe wetu tuliokuwa nao kwa Waziri, na niwahakikishie wanachama wa Yanga viongozi wao ni imara na tunapigania maslahi ya klabu yetu" -Eng. Hersi

Kwa upande wa Makamu wa Rais wa Yanga Arafat Ally Haji baada ya kikao kizito kati yao Serikali, Bodi ya Ligi pamoja na Shirikisho la Mpira Nchini TFF ametoa neno lake moja juu ya kilichoendelea kwenye Kikao hicho kwa Wanachama na Mashabiki wa Yanga.
Huyu arafat aache mbwembwe za kujifanya kazaliwa uarabuni mwarabu koko huyu....tukiwasema mnaanza kutuporomoshea matusi kobazi.
 
Mwanzo nilidhani hili jambo litakuwa rahisi kwa Yanga kukubali kucheza mechi bila kufikia hatua hizi, lakini ukimsikiliza kwa umakini Hersi Yanga bado wanasimamia msimamo wao. Hii suala kila siku linazidi kuwa gumu, nadhani TFF na Bodi ya ligi wamejifunza.
Tena sio funzo dogo ila Yanga wajipanfe sasa.
Itakuwa ngumu sana kwa wao kupata favor yoyote
 
Viongozi wa Klabu ya Yanga SC wamehitimisha kikao chao na serikali kilichofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, ambapo walijadili masuala muhimu kuhusu hatma ya dabi ya Kariakoo.

Baada ya kikao, Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said, aliwahakikishia wanachama kuwa uongozi wa klabu upo imara na utaendelea kupigania maslahi yao.

"Tumefikisha ujumbe wetu tuliokuwa nao kwa Waziri, na niwahakikishie wanachama wa Yanga viongozi wao ni imara na tunapigania maslahi ya klabu yetu" -Eng. Hersi

Kwa upande wa Makamu wa Rais wa Yanga Arafat Ally Haji baada ya kikao kizito kati yao Serikali, Bodi ya Ligi pamoja na Shirikisho la Mpira Nchini TFF ametoa neno lake moja juu ya kilichoendelea kwenye Kikao hicho kwa Wanachama na Mashabiki wa Yanga.
Watake wasitake dabi watacheza tu
 
Mwanzo nilidhani hili jambo litakuwa rahisi kwa Yanga kukubali kucheza mechi bila kufikia hatua hizi, lakini ukimsikiliza kwa umakini Hersi Yanga bado wanasimamia msimamo wao. Hii suala kila siku linazidi kuwa gumu, nadhani TFF na Bodi ya ligi wamejifunza.
Hilo Jambo limeshamalizwa na wanasiasa kinachotafutwa Kwa sasa ninani atumie jia gani awatangazie utopolo kwamba dabi tutacheza Kwa tareh itakayopangwa na tff
 
Back
Top Bottom