Eng. Hersi, Arafat wamaliza kikao na Serikali, watoa ujumbe kwa Wanachama wa Yanga SC

Nadhani Yanga ndio watajifunza kupitia hili suala maama watacheza tu na kuwaangusha mashabiki wao oya oya wanaoamini hao viingozi wana msimamo wa kilugomea derby
 
Sasa Nyuma mwiko kutokucheza gemu ya derby inawawazisha vipi Simba Sc na wao ndio watakaonufaika na points za bwelele na magoli 3
 
Mipango yenu ni kuvunja kanuni kisha mumpe Kolo ubingwa wa mezani.
Heri mpate huo ubingwa lkn hatuchezi.
Mwaka kesho tutakuwa ligi daraja la pili tunawaachia Kolo na tff yenu ligi kuu.
 
Nyie mmekatwa ngap mlivyogomea mech tareh 8
 
Sasa Nyuma mwiko kutokucheza gemu ya derby inawawazisha vipi Simba Sc na wao ndio watakaonufaika na points za bwelele na magoli 3
Kumbe Bado hamfikirii vizuri. Anyway!! mlishaitwa mbu mbu mbu sishangai🤔
 
Kumbe Bado hamfikirii vizuri. Anyway!! mlishaitwa mbu mbu mbu sishangai🤔
Nyie mnaofikiria vizuri endeleeni kusubiri points 3 za mezani.
NA mbwembwe zenu za kutishia kwenda Cas kumbe mpo tu mnalialia "Hatuchezi"
 
una akiri za kuvukia Barabara tu mwehu mmoja
 
Huyu arafat aache mbwembwe za kujifanya kazaliwa uarabuni mwarabu koko huyu....tukiwasema mnaanza kutuporomoshea matusi kobazi.
 
Tena sio funzo dogo ila Yanga wajipanfe sasa.
Itakuwa ngumu sana kwa wao kupata favor yoyote
 
Watake wasitake dabi watacheza tu
 
Hilo Jambo limeshamalizwa na wanasiasa kinachotafutwa Kwa sasa ninani atumie jia gani awatangazie utopolo kwamba dabi tutacheza Kwa tareh itakayopangwa na tff
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…