ππππkwani ww unataka mnyakyusa?Mchaga?π
Ahahahaah si nimesikia wameachana etiiiKivumbiiii na Haji anakuwaga mwezi mchanga yule, sijui km atamnonino zay π€£π€£π€£
Namtaka mhayaπππππkwani ww unataka mnyakyusa?
Ahaaaaaaπ¬π¬Namtaka mhayaπ
Dada wa taifa mama bhokenzo hajathibitisha bado π€£π€£π€£Ahahahaah si nimesikia wameachana etiii
Naona manara system imeanza kumuweka pembeni aina ya usemaji wake imekua haiwavutii tena watu, tatizo lake ni Ego kuamini yeye ni bora kuliko taasisi, baada ya kumaliza adhabu maneno aliyoongea ya press yake ilikua ni ya kumshusha kamwe na kujitukuza yeyeNilicheka sana siku ile zile clip
Nilikuta page moja huko insta kina Dida wamempigia simu wanamuuliza nasikia mmeachana akawa ana waambia sio kweli..ila kwa ninavyomjua angewachambaa ila alikua anajibu kwa upole aisee yani hana cha kusema nilete ushahidi kama kawaida yake..so watu wakaconclude kuna ka kitu kapo kanatokota..Dada wa taifa mama bhokenzo hajathibitisha bado π€£π€£π€£
HahaaaaaaNamshauri Manara asikubali huu udhalilishaji...
Ile nafasi ya usemaji ni yake..
Namshauri aungane na mzee Magoma wauwashe moto...
Bado tu hujaolewa mjukuu wangu?Ndio mkuu nataka kua mke wa mheshimiwaβΊοΈ
Weeh!! Siku hizi nashinda sana Twitter (X) kwenye space hata insta sijaingia, nikipata muda nikajionee mie nisipitwe ubuyu wenyewe huu kabisa πΉNilikuta page moja huko insta kina Dida wamempigia simu wanamuuliza nasikia mmeachana akawa ana waambia sio kweli..ila kwa ninavyomjua angewachambaa ila alikua anajibu kwa upole aisee yani hana cha kusema nilete ushahidi kama kawaida yake..so watu wakaconclude kuna ka kitu kapo kanatokota..
Atahasi muda wowote hivyo ni suala la muda wananchi kumuita gaidi mpya porini Kama alivyo afande Magomaπ€£ kwa lugha nyepesi kwamb afanye uasi sio ?
Hahaaaaaa acha roho mbaya wr binti. Unataka akale wapi manara wa watu?Safi sana...yule mtu hatufai kama wapenda michezo..umeona intavyuu za kina Ahmed Ally na Ally Kamwe? So nice wanacheka wanataniana...
Ila huyo mwarabu wa jangwani ana jazba...ana chuki mpk macho yanaonyesha...
Kwa hiyo Manara ni mfanyakazi hewa? LolβHaji Manara kwasasa ni Mwanachama hai wa Yanga, tunaangalia majukumu mapya ya kumpatia klabuni. Yanga inaye Afisa habari (Alikamwe) ambaye ndiye anaisemea Klabuβ Injinia Hersi
Kwa mnavyomjua zungu lazima ata react vibaya, maana alijua akitoka kifungoni atarudi nafasi yake, ila kakuta Alikamwe kashatengeneza ufalme wake, na alivyo na bifu na Alikamwe patachimbika π π π
Mzee akubali tuu muda wake umeisha, sitoshangaa mzee WA kupanic akiingia msituni na mzee magoma
View attachment 3075727
Waoaji hakuna..!π€£Bado tu hujaolewa mjukuu wangu?
Aaah waoaji Wote hawa mjukuu bado unachagua mweusi mweupe mheshimiwa sio muheshimiwa utazeeka hujaolewaWaoaji hakuna..!π€£
Kaole za Aziz k na Mobeto. Batiki hawahishiwi shughuli.Majukumu gani mengine ambayo hapo Yanga bado hayana nafasi?
Au upishi?
Leo kafiri umeongea pointi. ππππ, kwenye Yanga dei alitokota sana piaNaona manara system imeanza kumuweka pembeni aina ya usemaji wake imekua haiwavutii tena watu, tatizo lake ni Ego kuamini yeye ni bora kuliko taasisi, baada ya kumaliza adhabu maneno aliyoongea ya press yake ilikua ni ya kumshusha kamwe na kujitukuza yeye