Eng. Hersi: Haji Manara sio Msemaji wa Yanga, tunaangalia majukumu mapya ya kumpa

Eng. Hersi: Haji Manara sio Msemaji wa Yanga, tunaangalia majukumu mapya ya kumpa

soka si porojo hivi vilabu itafika mahali hakutakua na haja ya hawa watu
 
Dada wa taifa mama bhokenzo hajathibitisha bado ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Nilikuta page moja huko insta kina Dida wamempigia simu wanamuuliza nasikia mmeachana akawa ana waambia sio kweli..ila kwa ninavyomjua angewachambaa ila alikua anajibu kwa upole aisee yani hana cha kusema nilete ushahidi kama kawaida yake..so watu wakaconclude kuna ka kitu kapo kanatokota..
 
Weeh!! Siku hizi nashinda sana Twitter (X) kwenye space hata insta sijaingia, nikipata muda nikajionee mie nisipitwe ubuyu wenyewe huu kabisa ๐Ÿ˜น
 
Safi sana...yule mtu hatufai kama wapenda michezo..umeona intavyuu za kina Ahmed Ally na Ally Kamwe? So nice wanacheka wanataniana...
Ila huyo mwarabu wa jangwani ana jazba...ana chuki mpk macho yanaonyesha...
Hahaaaaaa acha roho mbaya wr binti. Unataka akale wapi manara wa watu?

Mpokeeni hapo Ukoloni.
 
โ€œHaji Manara kwasasa ni Mwanachama hai wa Yanga, tunaangalia majukumu mapya ya kumpatia klabuni. Yanga inaye Afisa habari (Alikamwe) ambaye ndiye anaisemea Klabuโ€ Injinia Hersi

Kwa mnavyomjua zungu lazima ata react vibaya, maana alijua akitoka kifungoni atarudi nafasi yake, ila kakuta Alikamwe kashatengeneza ufalme wake, na alivyo na bifu na Alikamwe patachimbika ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Mzee akubali tuu muda wake umeisha, sitoshangaa mzee WA kupanic akiingia msituni na mzee magoma
View attachment 3075727
Kwa hiyo Manara ni mfanyakazi hewa? Lol

Ova
 
Naona manara system imeanza kumuweka pembeni aina ya usemaji wake imekua haiwavutii tena watu, tatizo lake ni Ego kuamini yeye ni bora kuliko taasisi, baada ya kumaliza adhabu maneno aliyoongea ya press yake ilikua ni ya kumshusha kamwe na kujitukuza yeye
Leo kafiri umeongea pointi. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜, kwenye Yanga dei alitokota sana pia
 
Back
Top Bottom