Eng. Hersi Said: Mimi sio mfanyakazi wa Yanga, Sipo kwenye orodha ya wanaolipwa na Yanga

Ni kweli unachokisema kiongozi. Iko hivi anaposema muajiriwa anamaanisha yupo kwenye payroll ya Yanga kitu ambacho siyo kweli yeye hayupo kwenye roster ya wanaolipwa mishahara kila mwezi au mkataba. Kwenye governance inakuwaga hivi bosi. Mfano CRDB ina wafanyakazi na wasiowafanyakazi ila wanawasimamia wafanyakazi. Hii tunaiitw bodi ya wakurugenzi. Kwenye bodi kuna waajiriwa wa CRDB (wana mikataba) na wengine siyo waajiriwa wa bank (hawana mikataba na hawapo kwenye payroll). Kinachotokea huwa ni wahusika ambao siyo waajiriwa hulipwa kama posho (remuneration-director fee etc) kwa muda fulani inaweza kuwa kila baada ya miezi sita etc, na wanapohudhuria vikao wanalipwa. So alichokisema Eng. Hersi ni kipo hivyo, siyo kabisa mwajiliwa ila ni mtendaji anayelipwa posho au fee inategemea wao yanga wataitaje. Aina hii ya governance husaidia kuwasimamia waajiriwa na lengo la kina Hersi ni kuhakikisha wanasimamia maslahi ya wanachama na ndiyo maana haiwezekana wawe waajiriwa watashindwa kusimamia hao waajiriwa wa yanga na hii iko kisheria zaidi bosi. Hata CRDB bodi ya wakurugenzi kazi yake ni kuisimamia management na ndiyo maana siyo waajiriwa. Nadhani nimeeleweka
Kazi ya bodi ya Yanga sio kusimamia wafanyakazi ni oversight na kuwa custodian wa mali za timu. Hersi ni mfanyakazi muajiriwa wa Yanga katika level ya management kama vile Managing Director wa CRDB au Perez wa Madrid ambao wote wanalipwa mishahara.
 
Umeongea nini? Mwenyekiti wenu wa Serikali ya mtaa kamuulize halipwi pale Ofisini na km halipwi hela ya kujilipa anatoa Wapi? Msiongee ushubwada
Analipwa ukienda kugongewa muhuri wa serikali ya mtaa na dili za kuuza viwanja.
 
Mimi sio mfanyakazi wa Yanga, Sipo kwenye orodha ya wanaolipwa na Yanga, sipati Tsh. 100 Yanga, mimi kwa maana ya Rais wa Klabu sio mfanyakazi wa klabu, wala haajiriwi na klabu, makamu wa Rais pia, wajumbe wa kamati ya utendaji pia sio wafanyakazi wa Yanga.

“Wafanyakazi wa Yanga wanaanzia Level ya CEO hao ndio waajiriwa wa Yanga sisi ni viongozi ambao tumechaguliwa na Wanachama wa Yanga kuisimamia Yanga,” Rais wa Yanga Sc, Eng. Hersi Said.✍️

Yuko sahihi.
 
Ni kweli unachokisema kiongozi. Iko hivi anaposema muajiriwa anamaanisha yupo kwenye payroll ya Yanga kitu ambacho siyo kweli yeye hayupo kwenye roster ya wanaolipwa mishahara kila mwezi au mkataba. Kwenye governance inakuwaga hivi bosi. Mfano CRDB ina wafanyakazi na wasiowafanyakazi ila wanawasimamia wafanyakazi. Hii tunaiitw bodi ya wakurugenzi. Kwenye bodi kuna waajiriwa wa CRDB (wana mikataba) na wengine siyo waajiriwa wa bank (hawana mikataba na hawapo kwenye payroll). Kinachotokea huwa ni wahusika ambao siyo waajiriwa hulipwa kama posho (remuneration-director fee etc) kwa muda fulani inaweza kuwa kila baada ya miezi sita etc, na wanapohudhuria vikao wanalipwa. So alichokisema Eng. Hersi ni kipo hivyo, siyo kabisa mwajiliwa ila ni mtendaji anayelipwa posho au fee inategemea wao yanga wataitaje. Aina hii ya governance husaidia kuwasimamia waajiriwa na lengo la kina Hersi ni kuhakikisha wanasimamia maslahi ya wanachama na ndiyo maana haiwezekana wawe waajiriwa watashindwa kusimamia hao waajiriwa wa yanga na hii iko kisheria zaidi bosi. Hata CRDB bodi ya wakurugenzi kazi yake ni kuisimamia management na ndiyo maana siyo waajiriwa. Nadhani nimeeleweka
Wewe Shamimu umeongeza idadi ya watu wenye akili uto, sasa tumefikisha wanne, mzee Kikwete, Mzee Manara, Mzee Magoma na wewe Shamimu, jumla 4 ,

Simba bado wana mtu mmoja tu mwenye akili Rage, waliobaki wote mbumbumbu na misukule ya semaji lao ambae huwarusha kichura chura kwa mastori yasiyoeleweka kuwa muunganiko wa timu uko njiani sasa unaingia mpakani namanga kuelekea Dar nao walivyojaa ujinga wakapiga makofi huku wakijua kabati lao la makombe limejaa vumbi!
 
Ni kweli hiyo kauli ina utata ila nadhani governance ya Yanga wanaijua wao, possibly analipwa na wanachama au kuna namna. Mara nyingi ukiwa mkurugenzi kwenye bodi hizi za NGO mara nyingi hulipwi kabisa unakuwa na kazi nyingine na huko unajitolea tu. Nadhani muhimu kujua governance ya Yanga ikoje
Hersi amesema halipwi kama Rais wa Yanga, sio mjumbe wa bodi.
 
Nitajie mshahara wa Mwenyekiti wa Chama au taasisi yoyote ile unayoijua wewe.
Mshahara mara nyingi huwa ni siri kati ya muajiri na muajiriwa, hata wewe hujui Mshahara wa Adhidhi Ki, Mzize au Halidi Aucho, ila wanilipwa mishahara.
 
Ni kweli unachokisema kiongozi. Iko hivi anaposema muajiriwa anamaanisha yupo kwenye payroll ya Yanga kitu ambacho siyo kweli yeye hayupo kwenye roster ya wanaolipwa mishahara kila mwezi au mkataba. Kwenye governance inakuwaga hivi bosi. Mfano CRDB ina wafanyakazi na wasiowafanyakazi ila wanawasimamia wafanyakazi. Hii tunaiitw bodi ya wakurugenzi. Kwenye bodi kuna waajiriwa wa CRDB (wana mikataba) na wengine siyo waajiriwa wa bank (hawana mikataba na hawapo kwenye payroll). Kinachotokea huwa ni wahusika ambao siyo waajiriwa hulipwa kama posho (remuneration-director fee etc) kwa muda fulani inaweza kuwa kila baada ya miezi sita etc, na wanapohudhuria vikao wanalipwa. So alichokisema Eng. Hersi ni kipo hivyo, siyo kabisa mwajiliwa ila ni mtendaji anayelipwa posho au fee inategemea wao yanga wataitaje. Aina hii ya governance husaidia kuwasimamia waajiriwa na lengo la kina Hersi ni kuhakikisha wanasimamia maslahi ya wanachama na ndiyo maana haiwezekana wawe waajiriwa watashindwa kusimamia hao waajiriwa wa yanga na hii iko kisheria zaidi bosi. Hata CRDB bodi ya wakurugenzi kazi yake ni kuisimamia management na ndiyo maana siyo waajiriwa. Nadhani nimeeleweka
Umemaliza yote. Na hii inafanana kwa kiasi kikubwa na wakuu wa vyuo nchini
 
Haifanani Chancellors wa vyuo ni ceremonial leaders tu wa vyuo wakati Rais wa Yanga ni mtendaji mkuu wa timu.
 
Mshahara mara nyingi huwa ni siri kati ya muajiri na muajiriwa, hata wewe hujui Mshahara wa Adhidhi Ki, Mzize au Halidi Aucho, ila wanilipwa mishahara.
My point ni kwamba kuna nafasi huwa hazipo kwenye payrolls, yaani hawalipwi Mishahara.
 
Haifanani Chancellors wa vyuo ni ceremonial leaders tu wa vyuo wakati Rais wa Yanga ni mtendaji mkuu wa timu.
Inaweza isifanane ila kuhusu namna ya ulipaji inaweza fanana. Hata hivyo Rais wa Yanga sio mtendaji mkuu wa timu. Mtendaji mkuu wa Yanga ni muajiriwa na mnamfahamu
 
My point ni kwamba kuna nafasi huwa hazipo kwenye payrolls, yaani hawalipwi Mishahara.
Ungesema Yanga wameamua wasiwe wanawalipa mshahara Marais wake kwa sasa ungeeleweka, Marais wa Timu nyingine kama Madrid Perez anapokea mshahara. Timu kama TP Mazembe au Mamelodi ni mali za marais wake kwa hiyo sio issue kama wanajilipa au hawajilipi mshahara. Watu wa bodi tu ndio nyingi huwa hazina utaratibu wa kulipa mishahara wajumbe wa bodi ila wanalipwa posho. Halafu Hersi na Makamu wake ni wafanyakazi wa Yanga, hizo nyingine mbwembwe tu.
 
Sasa kama wewe ni rais wa Yanga halafu unasema siyo mfanyakazi wa Yanga maana yake nini?

Kama wewe siyo mfanyakazi wa Yanga basi Yanga ni mfanyakazi wako!
Usihoji sana bila kujua, Ila fanya udadisi wako.

Engineer hapewi mkataba wa kazi na Yanga. Ajira yake inatoka kwa wanachama wa Yanga, kwa kuchaguliwa.
Kuhusu kulipwa nazani ni swala la kutafuta majibu.
 
Inaweza isifanane ila kuhusu namna ya ulipaji inaweza fanana. Hata hivyo Rais wa Yanga sio mtendaji mkuu wa timu. Mtendaji mkuu wa Yanga ni muajiriwa na mnamfahamu
Hersi ni muajiriwa wa Yanga na ndiye mtendaji mkuu na top wa maamuzi katika Yanga, Yeye ndiye mwenye maamuzi ya mwisho ya mchezaji gani asajiliwe, afukuzwe, alipwe shillingi ngapi, uwekezaji, matumizi n.k hizo nyingine ni mbwembwe tu. Yeye pia ndiye msemaji mkuu, sio Ali Kamwe.
 
Usihoji sana bila kujua, Ila fanya udadisi wako.

Engineer hapewi mkataba wa kazi na Yanga. Ajira yake inatoka kwa wanachama wa Yanga, kwa kuchaguliwa.
Kuhusu kulipwa nazani ni swala la kutafuta majibu.
Mkataba wake ndio huko kuchaguliwa na wanachama kwa vipindi maalum, kipindi chake cha uongozi kikiisha ndio mkataba wake umeisha.
 
Ungesema Yanga wameamua wasiwe wanawalipa mshahara Marais wake kwa sasa ungeeleweka, Marais wa Timu nyingine kama Madrid Perez anapokea mshahara. Timu kama TP Mazembe au Mamelodi ni mali za marais wake kwa hiyo sio issue kama wanajilipa au hawajilipi mshahara. Watu wa bodi tu ndio nyingi huwa hazina utaratibu wa kulipa mishahara wajumbe wa bodi ila wanalipwa posho. Halafu Hersi na Makamu wake ni wafanyakazi wa Yanga, hizo nyingine mbwembwe tu.
Nadhani badala ya watu kubisha au kutaka kuringanisha mifumo, ingekuwa jambo la maana sana kama wangejikita katika kuufahamu mfumo wa Yanga wenyewe upoje. Maana katika taasisi operation manual huelezea muundo na utendaji mzima ulivyo.
Vinginevyo tutajikuta tunaishia kuijadili kama tulivyoijadili issue ya bint wa Yombo aliyebakwa mwezi wa 5 sakata likaibuliwa hivi sasa, huku RPC akitumbuliwa kwa kauli ambayo hakusikika akiitoa bali kwa mujibu wa chombo fulani cha habari huku Bashite akifichwa kimkakati na kutengeneza fake story kuwa kapewa sumu ili kuzidi kumjenga.
Tunazidi kuletewa mambo mengi ili tuendelee kubishana, maana wanajua jinsi tusivyo wazuri kwenye reasoning na tunapenda kwenda na trends.
Nadhani mtu atudaidie tuufahamu mfumo na utendaji wa Yanga ulivyo, na huko tutajua majukumu na nafasi ya rais wa Club ni ipi.
 
Hersi anasema halipwi hata 100 ila chawa wake wanajaribu kumtetea kwa kusema analipwa posho. Hawajui posho inaweza kuwa ni kubwa sana kulinganisha na wanaolipwa mshahara.
Wewe unaleta ubishi usio na maana! Marais wa Vilabu mbalimbali duniani Sio Waajiriwa wa Vilabu, na kwahiyo HAWAPO kwenye payroll! Kwa mfano leo hii Uto wakipigwa na mtikisiko wa kiuchumi, ikifika mwisho wa mwezi Mzee Mtime atakuwa na haki ya ku-demand mshahara wake, klabu itatoa wapi huo mshahara; yeye haimhusu; na Uto wakishindwa kulipa, hiyo ni bleach of contract na wanaweza kufikishwa mahakamani! Kinyume chake, Hersi hawezi ku-demand chochote kwa sababu mara nyingi hata hizo posho hulipwa ili kufanikisha kazi fulani, mathalani ya vikao, n.k! Kwahiyo kama Klabu itakuwa haina pesa ya kulipa hata posho za vikao basi ni ama klabu ipunguze idadi ya vikao au Wajumbe wajitegemee wenyewe kwa sababu HAKUNA hata mmoja ambae aliahidiwa malipo yoyote. Sasa wakati Hersi na wenzake wanaamua kufanya 100% charity work kwa mali yao, Mtine na watu wake watakuwa na haki ya kufungasha virago kwa sababu, awali ya yote, hawa walipewa mkataba wa kazi wenye ahadi ya mshahara wa kila mwezi. Na kubwa zaidi, hawa hawatakiwi kufanya kazi nyingine yoyote itakayoingiliana na ajira yao kwenye klabu lakini Hersi na wajumbe wake, wanakuwa na kazi zao na ndo maana kukutana kwao kunakuwa ni siku maalumu tu, na mara nyingi itakuwa weekend ili kazi za Yanga zisiingiliane na kazi zao za kila siku! Hata pale Unyamani, IPO HIVYO. Mangungu kilichompeleka pale ni "kiherehere" chake cha mapenzi kwa klabu kwahiyo hawezi kuwa na mshahara!
 
Maelezo meeengi yasiyo na tija yoyote. Kauli ya Hersi ni kuwa hapokei hata 100 kutoka kwa Yanga. Nyie ndiyo mnadhani mna jukumu la kuwa chawa wake na kuongelea habari za mishahara vs posho. Kwani yeye ni mjinga ashindwe kusema kuna posho za vikao? Yeye amesema hapokei hata 100 full stop.

Halafu kumbe kazi yote pale inafanywa na CEO Mtime, inakuwaje sasa wasio fanya kazi (kwa maneno yake mwenyewe) ndiyo wanaimbwa? Yanga bwana!
 
Utakuwa mentally disturbed kama unaweza kusoma maelezo meeengi yasiyo na tija na bado unajaribu kuya-argue. SORRY, nimeishia kusoma ulipoandika "...hata 100.." nikagundua uelewa wako ni duni mno na hizo takataka zingine wala sikujisumbua kusoma!
 
Back
Top Bottom