Huyu analeta exagerration kwenye story yake.Huyu ni msenge mmoja ambaye kichwa chake kina umeme mdogo.
Anaposema alijiokoa na kuokoa wengine, ina maana aliwabeba majeruhi wote mgongoni hadi nchi kavu?
Wavuvi wasingefika eneo la tukio na mitumbwi yao, leo hii angekuwa hai?
Possibility hii pia ipo.Mkuu inawezekana kuwa wakati anapiga na kasia then mlango ukafunguliwa kwa ndani lakini yeye akajua kasia lake ndiyo limefungua mlango
wahudumu wote wawili hawajafa wako salamaKwahiyo huyo mhudumu baada ya bonyeza mlango afu na yeye aka amua afie ndani ya ndege? Tz ni Taifa la Wajinga hadi Ma Eng wa wasio weza tengeza hata Ufagio wa chooni.
Aisee [emoji3]Umeonaeh, yani ndege inatembea kibubububu tu akuna hata mfumo wa video juu ya mwenendo wake hii ni shida, precision wanazidiwa na mangi hapa jirani kaweka kamera dukani kwake kila kitu anakiona kwenye screen yake ya sunder,
Jana tu nimememkuta akipitia video za nyuma ili kujua nini kimekula magazet yake ndo tukaona kumbe kuna panya mmoja ndo alikuwa anatafuna
Huo ndio wa dharura?Mlango ulofunguliwa na air hostess na Eng akaushika for 60m ni huo au mwingne.Tuujue kwanza huo mlango ni upi ili tuchambue kasia Vs dakika 60View attachment 2417394
kwahiyo ww ndio umeona toyota allex ya kuisema? mbona sisi hatuisemi duet yako?Lakini tuwaze tu hivi inawezekana mlango wa ndege ukawa sawa na wa Toyota allex ukipigwa Kasia unasambaratika......!
Mkuu nisamehe sikuwa na Nia mbaya na Toyota Allex, ni gari ya ndoto yangu ujue[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwahiyo ww ndio umeona toyota allex ya kuisema? mbona sisi hatuisemi duet yako?
Ha ha ha haaaa....Possibility hii pia ipo.
Na inawezekana pia kasia lake likachangia mlango ufunguke kwa urahisi kutokea ndani.
Kwamba alipokua anagonga huku nje huko ndani kukawa kunalegea legea na hatimae mlango kufunguka.
Milango iliofunguka ni miwili ya nyuma wa kushoto na kulia.Tunaitaji kufaham ni mlango upi Eng aliushika for 60m na upi majaliwa aliupiga na kasia.Hii ajali inafikirisha sana:Huo ndio wa dharura?
Sasa Victor analeta Utani.... Kwahio kuna mabegi yaliyookolewa...Kabla sijauachia mlango nilimtuma mvuvi mmoja " mdogo mdogo hivi" aokoe mabegi yanayoelea ndani ya Ndege na anitafutie na begi langu lakini begi langu hakuliona
Kweli aisee tumalize Bukoba ligi..Umesema kweli mkuu
Kwakweli bora tuachwe tu. Tushashindikana.Huenda Dunia nzima walishatushangaa wakachoka wakaona Bora watuache tubaki na upuuzi na ujinga wetu.
Kunakipindi tunageuzwa watoto wa chekechea tunafit tu, muda mwingine vipofu napo tunafit tu, viziwi napo sawa kabisa, tusiojua kusoma na kuhesabu yaani tunafit kabisa. Sasa Dunia itusaidiaje ndugu zangu..........!
Lile tobo pale kwa juu ndo kasia lilipiga....Jamani mtuache sisi hatutaki kucheka! Tena mtuache kabisa!! Kwahiyo kijana alipiga kasia wapi mlango wa namna hiyo ukafunguka?
Yani mie nishajichokea hata... yaani kati ya nchi muumba alizo umba TZ nirahisi kutawala hadi basi.... mwanangu mdogo TAKO lake analiita PUPU...Kwakweli bora tuachwe tu. Tushashindikana.
Umeonaeh, yani ndege inatembea kibubububu tu akuna hata mfumo wa video juu ya mwenendo wake hii ni shida, precision wanazidiwa na mangi hapa jirani kaweka kamera dukani kwake kila kitu anakiona kwenye screen yake ya sunder,
Jana tu nimememkuta akipitia video za nyuma ili kujua nini kimekula magazet yake ndo tukaona kumbe kuna panya mmoja ndo alikuwa anatafuna
Haha haha hahaa.Umeonaeh, yani ndege inatembea kibubububu tu akuna hata mfumo wa video juu ya mwenendo wake hii ni shida, precision wanazidiwa na mangi hapa jirani kaweka kamera dukani kwake kila kitu anakiona kwenye screen yake ya sunder,
Jana tu nimememkuta akipitia video za nyuma ili kujua nini kimekula magazet yake ndo tukaona kumbe kuna panya mmoja ndo alikuwa anatafuna
Hii nchi hata mwendawazimu anaitawala, rahisi mno.Yani mie nishajichokea hata... yaani kati ya nchi muumba alizo umba TZ nirahisi kutawala hadi basi.... mwanangu mdogo TAKO lake analiita PUPU...
Utaambiwa acha wivu.Kwahio Majaliwa alipiga mlango upi kwa kasia ukafunguka? Au kulikuwa na milango miwili?
Bwn. Victor anatupiga kamba aisee.Mlango ulofunguliwa na air hostess na Eng akaushika for 60m ni huo au mwingne.Tuujue kwanza huo mlango ni upi ili tuchambue kasia Vs dakika 60View attachment 2417394