Mnakumbuka kikombe cha babu?Pumbavu zake yule kijana muhuni wa kijiweni aliwachota vilaza wakachoteka. Na hili linanifanya niwaze kama kwa hizi akili tulizochotewa kwa kuukubali uhuni ule kama tutakaa tuendelee kifikra! Yani tunakaa tunakubaliana na upuuzi wa mtu mmoja zero kichwani halafu tunaanza kuupa mapambio.
Hivi rubani alifariki, hakufanikiwa kuokoka?Na sasa anamdondosha kwa hizi Kejeli ?
Hizi ni Blunder walizofanya Serikali kuweka monetary value katika haya mambo ya kiungwana na kufanya haraka haraka, ndio yameleteleza yote haya...., Wote wangekumbukwa kwa kazi nzuri na hata rubani ambaye sasa hivi hayupo na Serikali ipokee lawama zake kwa uzembe.....
Kila mvuvi aliyesogea pale ni shujaa sababu kwa layman unasogea tu hujui kwamba dude linaweza kulipuka au kuzama wakati umo ndani unahitaji kuwa na roho ya upendo (kama tulivyo watanzania wengi huku uraiani);
Daudi, kwanini sasa Majaliwa analindwa?Dogo amewaingiza mjini hadi mkampa askari na SMG ya kumlinda 😆
Hayo makasia yanayotumiwa na wavuvi unayajua yakoje? Au unafananisha na mwiko wanatumia kupikia home? Jikiteni kutafuta reality tu!Kwa maelezo ya Engineer ni kwamba hio milango inafunguka kwa hydrolic,lazima itakuwa milango imara sana hasa ukizingatia haipaswi kufunguka ndege ikiwa mid air pamoja na presha ya angani
Hata mlango wa Allex Mkuu huwezi kupiga kwa kasia ambalo kimsingi ni jepesi
Mkuu, hebu kuwa serious kidogo! [emoji3]Eti msikie huyu abiria alivosema;
Jamani ajali!! ni ajali tu hata Mshedede hausimami lkn sometimes hali huwa tofauti! ni hivi yaani wakati wa ile ajali bana! liji-Mama lili nikumbatia hilo mwee!
basi kwa raha zile zote niipata nguvu za ajabu! sasa nikasisitiza anikumbatie kwa nguvuuu mbele huku! basi weee!!
na kwambiaaa jamani uokoaji ni mzuri sana ukiwa na ke! yaani nilikuwa mwepesiiiii
mie naona yale mafuta mafuta ya wowo! ! ya yule mdada/ mji mama yalisaidia tuelee! naona maajabu sana yaani nikatupiwa boya la wavuvi mara tatu! nikalikataa!...sijui ilikuwaje vile???
hata zile nguvu na utaalamu wa kuelea sijui niliutoa wapi........ila kuna jamaa moja zamiaji... lilinikemea nkadhania mumewe nini???kuuumbe lilikuwa linaona wivu tu! ke sijui wana nini yani wao wanatuambukiza maguvu ushujaaa uuu!
Ili waandishi wasimuulize maswali yatakayovuruga script.Daudi, kwanini sasa Majaliwa analindwa?
Mana mi mpk sa hiz sielewi, hii airtime wamempa huyu dogo haikuwa bure!Ili waandishi wasimuulize maswali yatakayovuruga script.
Aliyeanzisha hizi propaganda ni katibu ccm mkoa somebody Palangyo...bila aibu anatamka wazi kuwa Majaliwa ni kijana wetu hapa ofisini....ccm.Daudi, kwanini sasa Majaliwa analindwa?
Imagine umefunguliwa na Kasia!nchi ngumu Sana hii
Ndio utajua Tanzania Ni nchi ya Maajabu kuliko Maajabu yenyewe.Wadau msidhani kasia ni zito....kasia ni kama bua bua fulani uzito kama kilo 1 tu, sio mninga ule
Halafu ukimuangalia kwa makini yule kijana majaliwa sura yake Ni Kama Ina mshangao fulani hivi!yeye mwenyewe anashangaa wanayosemwa kumuhusu.Aliyeanzisha hizi propaganda ni katibu ccm mkoa somebody Palangyo...bila aibu anatamka wazi kuwa Majaliwa ni kijana wetu hapa ofisini....ccm.
Ingia youtube andika katibu ccm Bukoba/Kagera usikilize utumbo wake
naona kila mmoja anarusha mishale ila majaliwa gagoma kushuka kileleniEng Victor amesema baada ya Ndege ya Precision Air kuanguka alijaribu mara 3 kufungua mlango Bila mafanikio ndipo akaja Muhudumu wa Ndege na kubonyeza mahali mlango ukafunguka
Victor anasema muda wote wa Uokoaji alikuwa ameuzuia mlango kwa mkono takribani Dakika 40-60 na baada ya kuhakikisha Watu wote wametoka aliuachia mlango Ukajifunga kwa sababu ni wa hydroulic
Kabla sijauachia mlango nilimtuma mvuvi mmoja " mdogo mdogo hivi" aokoe mabegi yanayoelea ndani ya Ndege na anitafutie na begi langu lakini begi langu hakuliona
Victor anasema anajisikia maumivu ya hapa na pale na amekubaliana na madaktari wa Bukoba aende Muhimbili kwa Uchunguzi zaidi
Victor anasema Wavuvi wote walimfata na kumkumbatia baada ya zoezi la uokoaji kukamilika naye aliwaambia Nguvu walizomuona nazo kule kwenye Maji siyo zake bali ni muujiza wa Mungu.
Victor alihojiwa na Wasafi tv akiwa ndani ya Ndege ya Precision Air alirejea DSM tayari kwenda Muhimbili
Chanzo: WASAFI TV
Hakika nchi hii imejaa propaganda na ndizo zinazoendesha nchi.Halafu ukimuangalia kwa makini yule kijana majaliwa sura yake Ni Kama Ina mshangao fulani hivi!yeye mwenyewe anashangaa wanayosemwa kumuhusu.
Kama Eng. alikua na nguvu alizopata kwa muujiza wa Mungu basi hata Kasia lililotumika na Shujaa Majaliwa kufungua mlango wa ndege ni kwa muujiza wa Mungu😎Eng Victor amesema baada ya Ndege ya Precision Air kuanguka alijaribu mara 3 kufungua mlango Bila mafanikio ndipo akaja Muhudumu wa Ndege na kubonyeza mahali mlango ukafunguka
Victor anasema muda wote wa Uokoaji alikuwa ameuzuia mlango kwa mkono takribani Dakika 40-60 na baada ya kuhakikisha Watu wote wametoka aliuachia mlango Ukajifunga kwa sababu ni wa hydroulic
Kabla sijauachia mlango nilimtuma mvuvi mmoja " mdogo mdogo hivi" aokoe mabegi yanayoelea ndani ya Ndege na anitafutie na begi langu lakini begi langu hakuliona
Victor anasema anajisikia maumivu ya hapa na pale na amekubaliana na madaktari wa Bukoba aende Muhimbili kwa Uchunguzi zaidi
Victor anasema Wavuvi wote walimfata na kumkumbatia baada ya zoezi la uokoaji kukamilika naye aliwaambia Nguvu walizomuona nazo kule kwenye Maji siyo zake bali ni muujiza wa Mungu.
Victor alihojiwa na Wasafi tv akiwa ndani ya Ndege ya Precision Air alirejea DSM tayari kwenda Muhimbili
Chanzo: WASAFI TV
Ni kweli.Umeua mazima.
Tumshukuru kwa uthubutu
Mkuu kupokea lawana katika Serikali kunaenda pamoja na kuwajibishwa kwa Viongozi.Wote wangekumbukwa kwa kazi nzuri na hata rubani ambaye sasa hivi hayupo na Serikali ipokee lawama zote kwa uzembe uliofanyika katika uokoaji.....
Mkuu si ujiue tu kuliko kuendelea kuishi na maumivu makali. Ukifa maumivu yote yanaisha unapumzika bila kuumia milele. Fanya hivyo mkuu.Huenda Dunia nzima walishatushangaa wakachoka wakaona Bora watuache tubaki na upuuzi na ujinga wetu.
Kunakipindi tunageuzwa watoto wa chekechea tunafit tu, muda mwingine vipofu napo tunafit tu, viziwi napo sawa kabisa, tusiojua kusoma na kuhesabu yaani tunafit kabisa. Sasa Dunia itusaidiaje ndugu zangu..........!
Kweli kabisaKama Eng. alikua na nguvu alizopata kwa muujiza wa Mungu basi hata Kasia lililotumika na Shujaa Majaliwa kufungua mlango wa ndege ni kwa muujiza wa Mungu😎