Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,710
- 2,587
ulitaka asiseme alichofanya na kukiona, wewe nae sema ulichokiona ndio tunaenda sawa manake mlizuia wengine wasiseme, wote waliotoka tuwasikie kwanza. Msitulazimishe kusikia mnachotaka nyie tusikie sie tunasikiliza wote mapaka wale wavuvi manake nyie story yenu ni majaliwa pekee haiwezekani kuna ambayo mnaficha tusikie.Huyu ni msenge mmoja ambaye kichwa chake kina umeme mdogo.
Anaposema alijiokoa na kuokoa wengine, ina maana aliwabeba majeruhi wote mgongoni hadi nchi kavu?
Wavuvi wasingefika eneo la tukio na mitumbwi yao, leo hii angekuwa hai?
Muongo huyu, mlango uliofunguliwa ni emergence door...fix tupu sasa hivi, dogo ndio keshasepa hivyo.Eng Victor amesema baada ya Ndege ya Precision Air kuanguka alijaribu mara 3 kufungua mlango Bila mafanikio ndipo akaja Muhudumu wa Ndege na kubonyeza mahali mlango ukafunguka
Victor anasema muda wote wa Uokoaji alikuwa ameuzuia mlango kwa mkono takribani Dakika 40-60 na baada ya kuhakikisha Watu wote wametoka aliuachia mlango Ukajifunga kwa sababu ni wa hydroulic
Kabla sijauachia mlango nilimtuma mvuvi mmoja " mdogo mdogo hivi" aokoe mabegi yanayoelea ndani ya Ndege na anitafutie na begi langu lakini begi langu hakuliona
Victor anasema anajisikia maumivu ya hapa na pale na amekubaliana na madaktari wa Bukoba aende Muhimbili kwa Uchunguzi zaidi
Victor anasema Wavuvi wote walimfata na kumkumbatia baada ya zoezi la uokoaji kukamilika naye aliwaambia Nguvu walizomuona nazo kule kwenye Maji siyo zake bali ni muujiza wa Mungu.
Victor alihojiwa na Wasafi tv akiwa ndani ya Ndege ya Precision Air alirejea DSM tayari kwenda Muhimbili
Chanzo: WASAFI TV
Yule ni nshomile, hakuna ubishi na hilo, akili ikamjia ya ule wimbo unapitea, "NITOKE VIPI"Pumbavu zake yule kijana muhuni wa kijiweni aliwachota vilaza wakachoteka. Na hili linanifanya niwaze kama kwa hizi akili tulizochotewa kwa kuukubali uhuni ule kama tutakaa tuendelee kifikra! Yani tunakaa tunakubaliana na upuuzi wa mtu mmoja zero kichwani halafu tunaanza kuupa mapambio.
Kwa ndege ya Precision au ndege zote?Mlango wa dharura uko mbele kushoto
Mbona keshasema wavuvi waliokuja akasaidiana nao? Na mlango ulipewa support na mtumbwi in fact Kuna mvuvi alimsaidia kumnasua mtoto pamoja na mabegi. Kasikilize interview yake in full maswali yote hayo yana majibuEng. Victor muda wote huo umeshikiria mlango na kuwatoa wenzio ulikuwa unawaweka wapi hao watu? Halafu hizo dk mbona nyingi sana uwanja na ziwa kwani vipo mbalimbali sana? Ifike wakati wamuache kwanza kupona katika ajali mawenge lazima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi kabisa mkuu hiki ndio kimemfanya apewe airtime maana manusura apoteze maisha yake ukilinganisha na wavuvi wengine ambao hawakudhurika per se.Sababu kuu ni kwamba akiwa kwenye harakati za kuvunja mlango kwa kamba iliyofungwa kati ya boti na mlango wa ndege ili kumuokoa rubani kamba ikakatika gafla na kumuumiza usoni naye akajikuta anaokolewa na kujikuta hospitali na baadaye ikagundulika si abiria bali alikuwa katika harakati za kuokoa.
Ngoja mie niendelee mambo mengine, walionusurika MUNGU aendelee kuwalinda, na marehemu wapumzike kwa amani, pia Majaliwa kila raheri katika kazi yake mpya baada ya kuokota dodo kwenye mwarobaini.Mbona keshasema wavuvi waliokuja akasaidiana nao? Na mlango ulipewa support na mtumbwi in fact Kuna mvuvi alimsaidia kumnasua mtoto pamoja na mabegi. Kasikilize interview yake in full maswali yote hayo yana majibu
Ndege ngingi kama sio zote milango ya kawaida kuingia na kutoka abiria huwa iko kishoto na dharura inakuwa kulia.Kwa ndege ya Precision au ndege zote?
Watu wasanii kweli! Amtafutie begi lake kwani huyo mvuvi analijua? Kwenye zahma kama hiyo huwezi kutafuta begi. Uongo mtupuMuongo huyu, mlango uliofunguliwa ni emergence door...fix tupu sasa hivi, dogo ndio keshasepa hivyo.
Hahaha......hii ya begi imenichekesha sanaWatu wasanii kweli! Amtafutie begi lake kwani huyo mvuvi analijua? Kwenye zahma kama hiyo huwezi kutafuta begi. Uongo mtupu
Wahudumu wa ndege wapo wapi mbona hawahojiwi ili tujue zaidi nini kilichotokea baada ya ajali kutokeaKabisa mkuu, Majaliwa hana utaaramu wa mlango wa ndege, so moja kwa moja alijua kasia lake ndilo limefungua mlango
UPO UWEZEKANO WAKATI MAJALIWA AKIJITAHIDI KUOKOA KWA KUVUNJA MLANGO NA HARAKATI HIZOHIZO PIA ZILIKUWA ZIKIENDELEA KWA WALIOKUWA NDANI,Kwahio Majaliwa alipiga mlango upi kwa kasia ukafunguka? Au kulikuwa na milango miwili?
maja alipiga hapo kwenye rangi nyekundu
Hamna mlango wa emergence mjomba? Kwa reasoning yangu ya kilayman mechanism ya kufungua mlango wa emergence haiwezi kuwa sophisticated kama kufungua mlango wa kawaida kwenye normal operation.Tukishirikisha akili..
Mlango wa ATR huwezi kufunguliwa na kasia.
Kumbuka mlango wa hii ndege ukifunguka unabadilika kuwa ngazi.
Tena unafunguka kwa kurudi chini
Sawa ila ndo ivo muvi iilchezwa na watu wengi ila Majaliwa ndo alikuwa stelingiAaah kijana amekua exaggerated ila waliosaidia ni wengi mnoo kuanzia Hostess aliyefungua emergency exit, raia wa china, wavuvi waliokuja na mitumbwi all in all Majaliwa sio kama alikua better ila kitendo Cha yeye manusura kupoteza maisha sababu ya kujaribu kumuokoa Rubani nadhani ndio wanamfutia machozi nacho.
Pia serikali wamemkuza Ili kuondoa maswali ya wananchi kwenye uzembe wa kuchelewa kuokoa Ili Sasa attention iwe kwenye SHUJAA!! but ukisikiliza manusura wote utaona msaada ulitolewa na watu wengi sana na sio mtu mmoja kuokoa watu 24!!
Mbona kama uliofunguliwaa sioo huuuHuu mlango ukipigwa Kasia moja huukuti.
Ishugulishe akili yako kidogo, ukiangalia ule mlango uliopigwa picha baada ya ndege kutolewa majini ni ule wa emergency ambao hauwi ngazi ukifunguliwaa...Tukishirikisha akili..
Mlango wa ATR huwezi kufunguliwa na kasia.
Kumbuka mlango wa hii ndege ukifunguka unabadilika kuwa ngazi.
Tena unafunguka kwa kurudi chini