Eng Victor: Namshukuru Mungu kwa Ujasiri alionipa wa kujiokoa na kuokoa wengine kwenye Ndege, naelekea Muhimbili kwa matibabu zaidi

Emergency exit inafunguliwa manually tu sio kwamba Kuna kitufe kinahitaji umeme au mfumo wa kilektroniki ila tu inahitaji utaalamu Ili kuweza kuung'oa maana una maeneo ya kuulegeza kabla ya kuusukuma nje
Huu ndo ukwelii Majaliwa anaeleza kuwa alikutaa watu wanaangaikaa kufungua mlango yaan like wanausukuma sukuma akaubamiza kwa kasia ukafunguka, concept hapa ni rahic tu, majaliwa anasema alichokifnya bila kujali ile kasia aliyopiga ndo ilifungua mlango

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu naye anatupigaa tu....mwananchi wameelezaa tukio zima ndege ilizama majini saa 2:53 na mlango kufungukia saa 3:19, zimamoto walifikaa saa 3:38 bado wakaendelea kumuacha muhanga wa ajali kwa saa moja aokoe watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi hii ina mambo ya ajabu sana na Watu wa hovyo sana
 
Tafuta Mahojiano ya kwanza kabisa ya TBC na Majaliwa....

Majaliwa hakuna sehem alisema alifungua ule mlango, yeye anasema alivyofika alikuta kama wanaangaika kufungua mlango na ni ni kama ukikuwa umejirock ndo akaupigiza na Kasia ndo ukafunguka...ukifungua akili wala hauitajii kutumia nguvu kubwa kujua mlango wa Ndege hauwez kufunguliwa kwa Kasia kiongozii.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes hata mm nlimsikia aliyesema aliona upenyo akapita ambaye binafsi nlihic ni ule mlango

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we ndo umefikiri nini sasa?kwa hiyo wewe kwenye sentensi nzima umekunwa na neno 'wivu' tu badala ya kuchukua comment yangu katika ujumla wake,halafu eti unajiona na wewe ni critical thinker,pathetic
Huna hoja..utatawaliwa maisha hadi nyumbani kwako!
 
Namjua vizuri sana Eng Victor, nimefanya nae kazi miradi mingi sana, tulishtuka sana baada ya kuona jina lake katika wale waliofariki,
Mungu ni mwema anaendelea vizuri na jana niliongea nae
 
Nina swali la kijinga. Majaliwa alipokea 1,000,000 ya rc, kisha 5,000,000 gsm. Kwamba manusra wote wana roho ngumu au umasikini uliotopea kiasi kwamba hakuna hata aliyenyoosha mkono kumtabaruku mwamba hata pepsi ya 1,000/=!!
 
NAITAZAMA AJALI HII NAMNA TOFAUTI
Ebu sema neno mzee wa makala! Kwa jinsi kipande cha mbele/cabin ilivyoinama kuelekea deep water (tumeona baada ya ndege kuibuliwa na winchi) hadi leo tuyakubali mashairi ya bingwa kuwa aliwasiliana na rubani hadi akamuonyesha pa kuvunja, ila kuna nani sijui alikataza asijunje. Pia kuna top alitangaza anayo mawasiliano na chumba cha rubani.

Au ule mkatiko wa ndege ulitokea baada ya wafu na majeruhi kutolewa!!
 
Sisi tunachojua ni kwamba mlango ulifunguliwa na Shujaa majaliwa. Na kama alivyosema mwenyewe mlango ulipigwa na Kasia na shoka[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yote hiyo Ni sababu ya pesa..uchu wa pesa

Pesa aliyoipata majaliw kama jina lake sahivi kila mtu anaipigia kelele..

Mambo mengine Ni kukaa kimya na maisha yaendelee..
Dili ni kuwapa watoto majina yenye fasiri mujarabu.

Victor=mshindi
Majaliwa-kama ujuavyo tena kajaaliwa kwelikweli
Neema-inakuijia muda wowote bila hata taarifa
Baraka+bahati-hii zaidi ya majaliwa. Mkumbuke aliyekuwa anajiita Baraka Magufuli

Komesha yote ni maana ya PECISION-....viwango bora katika utendaji.

Miaka yote hawajapata ajali, wala ndege kusukumwa. Sio rekodi ya kitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…