KASULI
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 599
- 677
Kadanganyaa mlango unaofunguliwaa ukawa ngazi hauko juuMkuu umemwanga point moja ya msingi ambayo watu hawaioni,
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kadanganyaa mlango unaofunguliwaa ukawa ngazi hauko juuMkuu umemwanga point moja ya msingi ambayo watu hawaioni,
Huu ndo ukwelii Majaliwa anaeleza kuwa alikutaa watu wanaangaikaa kufungua mlango yaan like wanausukuma sukuma akaubamiza kwa kasia ukafunguka, concept hapa ni rahic tu, majaliwa anasema alichokifnya bila kujali ile kasia aliyopiga ndo ilifungua mlangoEmergency exit inafunguliwa manually tu sio kwamba Kuna kitufe kinahitaji umeme au mfumo wa kilektroniki ila tu inahitaji utaalamu Ili kuweza kuung'oa maana una maeneo ya kuulegeza kabla ya kuusukuma nje
Huyu naye anatupigaa tu....mwananchi wameelezaa tukio zima ndege ilizama majini saa 2:53 na mlango kufungukia saa 3:19, zimamoto walifikaa saa 3:38 bado wakaendelea kumuacha muhanga wa ajali kwa saa moja aokoe watuDakika au Sekunde ?, Si angeweka kitu kama Kasia au mikono yake haikuchoka ?
Unajua dakika 60 ni saa nzima ? Kwahio yeye katika Uokozi huu alishiriki kushikilia mlango ?
Hii kitu tangia itokee inaleta maswali mengi kuliko majibu na huenda ukweli mwisho wa siku ukawa ni wa version kama tano au sita hivi....
Kuna tofauti kati ya mlango unaousemea ww na mlango wa dharuraWala hata huwezi kuufungua ukiwa nje maana lock yake iko ndani, pia ni mpana sana kwa sababu ndio ngazi. Kutokea nje ingekua rahisi kuvunja sehemu yoyote ubavuni mwa ndege kuliko mlango
Tafuta Mahojiano ya kwanza kabisa ya TBC na Majaliwa....Kwa waliopanda ndege, milango ya Ndege hufunguliwa tokea ndani, lakini kuna malalamiko mengitu ya kwamba Majaliwa alishirikiana na wavuvi wengine, wako abiria wanakiri aliyefungua mlango wa ndege nia "air hostess" TZ nchi ya dili, lakini si shangai munakumbuka issue ya "TETEMEKO HALIKULETWA NA SERIKSALI" Kagera Land of fire....
Yes hata mm nlimsikia aliyesema aliona upenyo akapita ambaye binafsi nlihic ni ule mlangoMilango iliofunguka ni miwili ya nyuma wa kushoto na kulia.Tunaitaji kufaham ni mlango upi Eng aliushika for 60m na upi majaliwa aliupiga na kasia.Hii ajali inafikirisha sana:
Kuna mama amehojiwa na Wasaf pia ni mhanga wa hio ajali,anasema ni mvuvi ndo alishikilia mlango na ndo aliemuokoa kwa kukata mkanda,na mvuvi alikua ni mweupe kwa rangi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio black kama majaliwa,sio inshu sana sabab majaliwa hakuingia ndan.Eng anasema yey alishikiria mlango, mama anasema ni mvuvi.Eng anasema alimtuma mvuvi mweny rangi nyeusi aingie ndan na ndo only mvuvi aloingia ndan,huyu mvuvi mweupe alomuokoa mama ni nan [emoji2369]?.Nukuu maelezo ya wahanga "NDEGE ILIVOZAMA TU MAJI YALIINGIA HARAKA SANA KIASI YALIWAFUNIKA BAADHI" Majaliwa aliweza vipi kuwasiliana na maruban kama maji yaliingia kwa haraka ivo na pembel ndo sehem ilocrash au chumba cha maruban ni special[emoji2369].Kuna mhanga anasema yeye aliona tobo akapita before mlango wa nyuma kufunguliwa, kulikua na mambo meng kweny hi ajali.Eng victor anaongelea mlango mmoja(kulia kama sijakosea) ila anataja mabawa mawili,watu wengne waliendaje upande wa pili wa ndege kutake position kweny bawa la kushoto.Distance kutoka kweny milango ya nyuma mpka kweny bawa tumeiona lakin ,je watu walijitosa majini mbona Eng anasema alikua anaokoa mmoja mmoja kwa kuwaweka kweny boti,#MASWALI ni mengi.Naamin wapo weng walioplay key role kweny kuokoa watu ila ni mungu aliamua kumuinua majaliwa [emoji120][emoji120][emoji120]
Huna hoja..utatawaliwa maisha hadi nyumbani kwako!we ndo umefikiri nini sasa?kwa hiyo wewe kwenye sentensi nzima umekunwa na neno 'wivu' tu badala ya kuchukua comment yangu katika ujumla wake,halafu eti unajiona na wewe ni critical thinker,pathetic
unaleta mipasho,hapa JF si mahala pake,shame on youHuna hoja..utatawaliwa maisha hadi nyumbani kwako!
Namjua vizuri sana Eng Victor, nimefanya nae kazi miradi mingi sana, tulishtuka sana baada ya kuona jina lake katika wale waliofariki,Eng Victor amesema baada ya Ndege ya Precision Air kuanguka alijaribu mara 3 kufungua mlango Bila mafanikio ndipo akaja Muhudumu wa Ndege na kubonyeza mahali mlango ukafunguka
Victor anasema muda wote wa Uokoaji alikuwa ameuzuia mlango kwa mkono takribani Dakika 40-60 na baada ya kuhakikisha Watu wote wametoka aliuachia mlango Ukajifunga kwa sababu ni wa hydroulic
Kabla sijauachia mlango nilimtuma mvuvi mmoja " mdogo mdogo hivi" aokoe mabegi yanayoelea ndani ya Ndege na anitafutie na begi langu lakini begi langu hakuliona
Victor anasema anajisikia maumivu ya hapa na pale na amekubaliana na madaktari wa Bukoba aende Muhimbili kwa Uchunguzi zaidi
Victor anasema Wavuvi wote walimfata na kumkumbatia baada ya zoezi la uokoaji kukamilika naye aliwaambia Nguvu walizomuona nazo kule kwenye Maji siyo zake bali ni muujiza wa Mungu.
Victor alihojiwa na Wasafi tv akiwa ndani ya Ndege ya Precision Air alirejea DSM tayari kwenda Muhimbili
Chanzo: WASAFI TV
Hawezi kukoma maana familia ipo Dar na kazi ni BukobaKapanda tena plesisheni hakomi
Za kihindi bado zipo.Kwahio Majaliwa alipiga mlango upi kwa kasia ukafunguka? Au kulikuwa na milango miwili?
Nina swali la kijinga. Majaliwa alipokea 1,000,000 ya rc, kisha 5,000,000 gsm. Kwamba manusra wote wana roho ngumu au umasikini uliotopea kiasi kwamba hakuna hata aliyenyoosha mkono kumtabaruku mwamba hata pepsi ya 1,000/=!!Aaah kijana amekua exaggerated ila waliosaidia ni wengi mnoo kuanzia Hostess aliyefungua emergency exit, raia wa china, wavuvi waliokuja na mitumbwi all in all Majaliwa sio kama alikua better ila kitendo Cha yeye manusura kupoteza maisha sababu ya kujaribu kumuokoa Rubani nadhani ndio wanamfutia machozi nacho.
Pia serikali wamemkuza Ili kuondoa maswali ya wananchi kwenye uzembe wa kuchelewa kuokoa Ili Sasa attention iwe kwenye SHUJAA!! but ukisikiliza manusura wote utaona msaada ulitolewa na watu wengi sana na sio mtu mmoja kuokoa watu 24!!
"emergency" haiwezi kuzingatia kuwepo/kutokuwepo kwa mfumo umeme.Ina maana system ya ndege bado ilikuwa inafanya kazi hata baada ya ndege yenyewe kusambaratika kiasi kile!?
Wataalam tupeni "ilim"
Ebu sema neno mzee wa makala! Kwa jinsi kipande cha mbele/cabin ilivyoinama kuelekea deep water (tumeona baada ya ndege kuibuliwa na winchi) hadi leo tuyakubali mashairi ya bingwa kuwa aliwasiliana na rubani hadi akamuonyesha pa kuvunja, ila kuna nani sijui alikataza asijunje. Pia kuna top alitangaza anayo mawasiliano na chumba cha rubani.NAITAZAMA AJALI HII NAMNA TOFAUTI
Hata milango ya fahamu??Mimi siyo mtaalamu wa milango
Dili ni kuwapa watoto majina yenye fasiri mujarabu.Yote hiyo Ni sababu ya pesa..uchu wa pesa
Pesa aliyoipata majaliw kama jina lake sahivi kila mtu anaipigia kelele..
Mambo mengine Ni kukaa kimya na maisha yaendelee..