[emoji3][emoji3]Majiliwa alikoa mabegi, dogo kawapanga mkapangika.
Na mavitambi yenu ya ulanzi mkatapelewa na majaliwa kuwa kafungua mlango wa ndege kwa nje kumbe dogo alikua anasachi mabegi ya wahanga 😂Kukumbukwa mabegi wakati Watu hawajaokolewa wote?!!
Injinia akili zake kama Daudi Mchambuzi
Na Ile milango ilijam Kwa kusikiliza Kwa makiniNdege ikipata ajali milango ya dharura inatumika ambayo inafunguka mechanically hata kama hakuna umeme...milango unayozungumza wewe inafunguliwa na rubani ndege ikitua salama...kasia inaweza kutumika kama umejam
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado haujanishawishi hii itabidi tupige Practically theory nimegoma, nnavyojua mimi ni ngumu mlango wa ndege kufunguka kwa kupigwa na KasiaNdege ikipata ajali milango ya dharura inatumika ambayo inafunguka mechanically hata kama hakuna umeme...milango unayozungumza wewe inafunguliwa na rubani ndege ikitua salama...kasia inaweza kutumika kama umejam
Sent using Jamii Forums mobile app
Songombingo bado zinaendelea. Kila mtu anakuja na story yake. Lakini mwisho wa siku hili nalo litapitaKwahio Majaliwa alipiga mlango upi kwa kasia ukafunguka? Au kulikuwa na milango miwili?
Umeambiwa milango ya Precision Air ni kama mifuniko ya Cooler za kuhifadhia Samaki kwenye boti ambayo ikijam inabutuliwa kwa kupigwa kidogoNa mavitambi yenu ya ulanzi mkatapelewa na majaliwa kuwa kafungua mlango wa ndege kwa nje kumbe dogo alikua anasachi mabegi ya wahanga 😂
Mmetapelewa kirahisi mnoo hadi mkampa smg na askar kumlinda 😂Umeambiwa milango ya Precision Air ni kama mifuniko ya Cooler za kuhifadhia Samaki kwenye boti ambayo ikijam inabutuliwa kwa kupigwa kidogo
Na ndivyo alivyofanya Maja Mnyama wa Bukoba
Karibu Hapa Kunduchi ujifunze
Kenya na Rwanda wamemzawadia piaMmetapelewa kirahisi mnoo hadi mkampa smg na askar kumlinda 😂
Naomba mwenye kasia pale Ferry aniazime niende JNIA- kule Terminal 1 nikafanye jaribio moja la kubamiza mlango wa kandege kamoja, tuone itakuwaje!
Ndege ya kiduanzi sana hii yaan unazungummilango ya Precision Air ni kama mifuniko ya Cooler za kuhifadhia Samaki kwenye boti
Umesema kwamba?Kenya na Rwanda wamemzawadia pia
Umesema kweli mkuuNaomba mwenye kasia pale Ferry aniazime niende JNIA- kule Terminal 1 nikafanye jaribio moja la kubamiza mlango wa kandege kamoja, tuone itakuwaje!
Media is power! Media can turn the tables upside down!
Kwa waliopanda ndege, milango ya Ndege hufunguliwa tokea ndani, lakini kuna malalamiko mengitu ya kwamba Majaliwa alishirikiana na wavuvi wengine, wako abiria wanakiri aliyefungua mlango wa ndege nia "air hostess" TZ nchi ya dili, lakini si shangai munakumbuka issue ya "TETEMEKO HALIKULETWA NA SERIKSALI" Kagera Land of fire....Eng Victor amesema baada ya Ndege ya Precision Air kuanguka alijaribu mara 3 kufungua mlango Bila mafanikio ndipo akaja Muhudumu wa Ndege na kubonyeza mahali mlango ukafunguka
Victor anasema muda wote wa Uokoaji alikuwa ameuzuia mlango kwa mkono takribani Dakika 40-60 na baada ya kuhakikisha Watu wote wametoka aliuachia mlango Ukajifunga kwa sababu ni wa hydroulic
Kabla sijauachia mlango nilimtuma mvuvi mmoja " mdogo mdogo hivi" aokoe mabegi yanayoelea ndani ya Ndege na anitafutie na begi langu lakini begi langu hakuliona
Victor anasema anajisikia maumivu ya hapa na pale na amekubaliana na madaktari wa Bukoba aende Muhimbili kwa Uchunguzi zaidi
Victor anasema Wavuvi wote walimfata na kumkumbatia baada ya zoezi la uokoaji kukamilika naye aliwaambia Nguvu walizomuona nazo kule kwenye Maji siyo zake bali ni muujiza wa Mungu.
Victor alihojiwa na Wasafi tv akiwa ndani ya Ndege ya Precision Air alirejea DSM tayari kwenda Muhimbili
Source: WASAFI TV